WAZIRI DKT. NDUMBARO AAGIZA TIMU ZA LIGI KUU KUWAKATIA BIMA ZA AFYA WACHEZAJI
Waziri wa Utamaduni Sanaa na Michezo mhe. Dkt. Damas Ndumbaro amelielekeza Baraza la Michezo la Taifa “BMT” kuhakikisha kuwa ifikapo Januari, 2024 kila klabu ya ligi kuu ya NBC iwe na Bima ya afya kwa wachezaji wake...
Muswada wa Bima ya afya kwa wote ulifanikiwa kupitishwa bungeni mwezi uliopita, na tayari umetiwa saini na Rais wa Tanzania kuwa sheria rasmi, hivyo mchakato wa kutengeneza kanuni na taratibu za ufanyaji kazi kabla ya kuanza kutekelezwa umeanza rasmi.
Bahati mbaya sana watu wengi hawajui mifumo...
Habari,
Niko hapa tangu asubuhi nimemsindikiza mke wangu kufungua kadi ya mama mjamzito.
Tangu nimefika muda huo, kwanza wajawazito wanaofungua kadi nao wanachanganywa na wagonjwa wa kawaida kitu ambacho ndiyo kwanza nimekiona leo hapa.
Pili nimeandikisha mapokezi tukaelekezwa maabara tukiwa...
Serikali kupitia Bohari ya Dawa (MSD) Kanda ya Dar es Salaam imesambaza vifaa tiba vya zaidi ya sh. milioni 930 kwa ajili ya vituo vya afya 24 vya halmshauri ya Wilaya ya Ulanga.
Akizungumza Wilayani humo mkoani Morogoro, Mbunge wa Jimbo la Ulanga Salim Hasham amesema, wamepokea vifaa tiba...
MAMA YANGU MZAZI ALIFARIKI NIKAMUOMBEA AKAFUFUKA; PROPHET MALISA
"Moja ya kitu ambacho sitakuja kukisahau katika maisha yangu yote ni siku ambayo mama yangu mzazi alifariki halafu nikamuombea akafufuka, na hakufariki mara moja, ni mara tatu na zote nilimfufua"- Prophet Malisa
Hata hivyo mama...
=============
Serikali iemanza kufanya uchunguzi kuhusu video inayosambaa mtandoni ikiwaonyesha watoa huduma za afya wakisherehekea siku ya kuzaliwa kwa kumwagiana majitiba maarufu ‘dripu’.
Akizungumza na Mwananchi leo Jumapili, Desemba 3, 2023 Mganga Mkuu wa Serikali, Profesa Tumaini Nagu...
JIMBO LA KALIUA: KITUO CHA AFYA CHA USINGE CHAPOKEA VIFAA TIBA VYENYE THAMANI YA ZAIDI TSH. MILIONI 200
Mganga Mkuu wa Wilaya ya Kaliua, Dkt. Amin Vasomana ameshiriki zoezi la kupokea vifaa Tiba vyenye thamani ya Tsh. 214,253,955.11.
Zoezi hilo limeshuhudiwa na viongozi mbali mbali akiwemo...
GENTAMYCINE nichukue nafasi hii Kumpongeza Mwaposa na Waumini wake wasio na sehemu za Kukaa ( huku wakiwa Wanakoga, Wanakunywa na Wanajamba ) hovyo Viwanja vya Tanganyika Packers Kawe na Waumini hao wa Kike Mabinti, Wamama na hata Wabibi wakiwa tayari Kulalwa ( kutoa Ngono ) kwa kuanzia Shilingi...
Viongozi wa sekta ya afya wametakiwa kuwaeleza wananchi mafanikio yanayopatikana katika sekta ya afya ili kufahamu namna serikali ilivyoboresha huduma za afya nchini.
Naibu waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Festo Dugange ametoa maagizo hayo alipokuwa...
1. Hongera waliopata
2. Je, ni kweli wanalipa maana kumekuwa na tabia, tangu huko nyuma, ya kulipa kwa mbinde mpaka walio nje kufedheheka kwa kukosa huduma za kishule AU ni uchaguzi UNAKARIBIA.
Short of that napongeza hatua hii.
Habari wana Bodi,
Ninachokishuhudia katika mwenendo wa watendaji pamoja na hali ya sasa ya mfuko wa Bima yà Afya, inakatishà tamaa yà kwanini mfuko huu unawafanyia hivi wateja wake?
Kabla sijaendelea naomba niweke jambo moja sawa.. watumishi wa umma Tanzania tambueni kuwa ninyi sio Miungu watu...
Wagonjwa wana haki zao. Nchi nyingi duniani kama Denmark, Hungary, Japani, Marekani, Afrika Kusini na Uingereza wanayo maandiko ya kitaifa ambayo yanaainisha haki za mgonjwa. Maandiko kama hayo yanaelezea haki za kila mtu/mgonjwa anayehitaji huduma za tiba ili kulinda hadhi, utu wake na heshima...
Kuelekea kikao cha Mkutano Mkuu wa CCm kuna propaganda zinaendelea zikisema Mzee Mpango anaumwa wakati huohuo zikidai KM CCM amejiuzulu
Hawa watu wa tweeter wapuuzwe, tufike wakati tubaki na verified information tu. Tunapokuwa na viongozi wa kisiasa wanaoandika na kupost kila kinachovumishwa...
Nisiwe muongeaji sana. Wizara ya afya angalieni namna ya kuboresha kondomu mlizoingia nazo ubia na makampuni ya uzalishaji wa kifaa tiba hiki muhimu hasa kwa sisi vijana.
Kuna kondomu aina ya ZANA zinazosambazwa na serikali kupitia wizara ya afya kiukweli zile ndomu hazina ubora wowote kiufupi...
Komredi Shemsha Mohamed Akabidhi Gari la Wagonjwa lililotolewa na Serikali litakalotumika Katika Kituo cha Afya Mwanunda Wilaya ya Itilima Mkoa wa Simiyu
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Simiyu, Shemsha Mohamed amekabidhi gari la wagonjwa lililotolewa na Serikali ambalo...
Kuna mafua makali yameongezeka hasa ukanda huu wa Pwani.
Nina uhakika wizara ya afya ina takwimu za kutosha. Tuambieni what is going on.
Enzi zile tungesema Corona.
Wizara ya Afya Tanzania
Habari za jioni wana JF,poleni na majukumu.
Nahitaji msaada kwa anaefahamu chuo kinachotoa diploma ya famasia na wanafunzi wanaruhusiwa kuvaa mavazi ya kawaida na wala sio sare kama wavaavyo wanafunzi wa sekondari.
Nahitaji kusoma diploma ya famasi lakini jambo la "sare" linakuwa gumu kutokana...
Uvaaji wa maVazi ni ishara ya jambo fulani kwa mvaaji kama vile huzuni, furaha, umoja, aina ya kazi ufanyayo na ujumbe unaotaka kuwasilisha kwa jamii.
Jezi mpya ya Simba Ina mabango 2 kifuani yanayoitangaza bidhaa ya moxtra, hii inamaanisha nini kwa atakaekuwa ameivaa hii jezi, imekosewa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.