Idara ya Ushauri wa Afya ya Marekani: Tanzania ni salama kutembelea

Mathanzua

JF-Expert Member
Jan 4, 2017
15,841
20,687
22.jpg

IDARA ya Ushauri wa Afya ya Marekani imeitaja nchi ya Tanzania kuwa ni miongoni mwa nchi salama ambazo wananchi wake (Wamarekani) wanaweza kuitembelea katika majira haya ya joto.

Taarifa iliyotolewa na idara hiyo na kutangazwa na kituo cha Televisheni cha CNN, imesema wananchi wake wanaweza kuitembelea Tanzania lakini wakifika lazima wafanye vipimo vya Covid-19 kabla ya kuendelea na shughuli zao.

Hivi karibuni Serikali ya Tanzania kupitia kwa Rais John Magufuli ilifungua milango kwa watalii kutoka nchi mbalimbali kuja kuitembelea na kwamba ugonjwa wa COVID-19 umedhibitiwa hapa nchini lakini ni vyema wananchi na wageni kuendelea kuchukua tahadhari.

Wamarekani wanaruhusiwa kuingia kwenye nchi hizi bila masharti:
  • Albania
  • Dominican Republic
  • Kosovo
  • Maldives
  • Mexico
  • North Macedonia
  • Serbia
  • Tunisia
  • Turkey
Wamarekani wanaruhusiwa kuingia kwenye nchi hizi kwa masharti ya kupima Covid-19.
  • Antigua and Barbuda
  • Aruba
  • Barbados
  • Belize
  • Bermuda
  • Cambodia
  • Croatia
  • Dominica
  • Ecuador
  • Egypt
  • French Polynesia
  • Ireland
  • Jamaica
  • Rwanda
  • St. Barts
  • St. Lucia
  • St. Maarten
  • St. Vincent and Grenadines
  • Tanzania
  • Turks and Caicos
  • Ukraine
  • United Arab Emirates
  • United Kingdom
27.jpg

34.jpg

Chanzo: Where US citizens can travel
 
Leo sio mabeberu tena
Nani kasema sio mabeberu,bado ni mabeberu.Literally everything they do proves that wao ni mabeberu.Tanzania bado tu maadui zao kwa kuwa tumewazuia kupora tasilima zetu wanavyotaka.Kuna sababu za msingi kwa nini wameruhusu wananchi wao kutembelea Tanzania this summer,na most likely ni political,si unajua uchaguzi ni November.Nadhani kwa kuwa Marekani kuna sintofahamu ya kiafya kwa sasa wanajaribu ku-ease tension ya Wamarekani ili kujaribu kumuongeza popularity Trump.Hata hivyo it's too little to late.Marekani is already sliding to extreme poverty and chaos,na si muda mrefu itakuwa a third world country.
 
MK254 njoo uone ili unywe sumu na macharia wenu wajinga kbs nyinyi ss mabwana zenu wametu acknowledge

Kingereza kimewapa chenga sana nyie watu, leo ukisema Watanzania wanaruhusiwa kuingia Somalia una maana kwamba ni salama? Taarifa zinasema Tanzania imeruhusu Wamarekani kuingia, lakini Wamarekani kwenye tovuti yao wameshikilia kwamba Tanzania sio nchi salama kwa afya ya Wamarekani...
Hapa wameweka orodha ya mataifa ambayo yameruhusu Wamarekani wakiwa na nia ya kuingia hawatazuiwa, ila pia tafuta mtu akusaidie kuelewa hizi taarifa Health Alert: U.S. Embassy Dar es Salaam | U.S. Embassy in Tanzania
 
Huu uzi ni umeletwa kwenu Kwa hisani ya utapiamlo utotoni
 
Kingereza kimewapa chenga sana nyie watu, leo ukisema Watanzania wanaruhusiwa kuingia Somalia una maana kwamba ni salama? Taarifa zinasema Tanzania imeruhusu Wamarekani kuingia, lakini Wamarekani kwenye tovuti yao wameshikilia kwamba Tanzania sio nchi salama kwa afya ya Wamarekani...
Hapa wameweka orodha ya mataifa ambayo yameruhusu Wamarekani wakiwa na nia ya kuingia hawatazuiwa, ila pia tafuta mtu akusaidie kuelewa hizi taarifa Health Alert: U.S. Embassy Dar es Salaam | U.S. Embassy in Tanzania
Chuki yako itakuponzaa na hapo unapoifichia eti kingereza unajidanganya .... Punguza roho mbaya chief
 
Kingereza kimewapa chenga sana nyie watu, leo ukisema Watanzania wanaruhusiwa kuingia Somalia una maana kwamba ni salama? Taarifa zinasema Tanzania imeruhusu Wamarekani kuingia, lakini Wamarekani kwenye tovuti yao wameshikilia kwamba Tanzania sio nchi salama kwa afya ya Wamarekani...
Hapa wameweka orodha ya mataifa ambayo yameruhusu Wamarekani wakiwa na nia ya kuingia hawatazuiwa, ila pia tafuta mtu akusaidie kuelewa hizi taarifa Health Alert: U.S. Embassy Dar es Salaam | U.S. Embassy in Tanzania
Hiyo link Ni ya tarehe 17 July,2020 two weeks nyuma,ficha upunbavu wako bradhee
 
22.jpg

IDARA ya Ushauri wa Afya ya Marekani imeitaja nchi ya Tanzania kuwa ni miongoni mwa nchi salama ambazo wananchi wake (Wamarekani) wanaweza kuitembelea katika majira haya ya joto.

Taarifa iliyotolewa na idara hiyo na kutangazwa na kituo cha Televisheni cha CNN, imesema wananchi wake wanaweza kuitembelea Tanzania lakini wakifika lazima wafanye vipimo vya Covid-19 kabla ya kuendelea na shughuli zao.

Hivi karibuni Serikali ya Tanzania kupitia kwa Rais John Magufuli ilifungua milango kwa watalii kutoka nchi mbalimbali kuja kuitembelea na kwamba ugonjwa wa COVID-19 umedhibitiwa hapa nchini lakini ni vyema wananchi na wageni kuendelea kuchukua tahadhari.

Wamarekani wanaruhusiwa kuingia kwenye nchi hizi bila masharti:
  • Albania
  • Dominican Republic
  • Kosovo
  • Maldives
  • Mexico
  • North Macedonia
  • Serbia
  • Tunisia
  • Turkey
Wamarekani wanaruhusiwa kuingia kwenye nchi hizi kwa masharti ya kupima Covid-19.
  • Antigua and Barbuda
  • Aruba
  • Barbados
  • Belize
  • Bermuda
  • Cambodia
  • Croatia
  • Dominica
  • Ecuador
  • Egypt
  • French Polynesia
  • Ireland
  • Jamaica
  • Rwanda
  • St. Barts
  • St. Lucia
  • St. Maarten
  • St. Vincent and Grenadines
  • Tanzania
  • Turks and Caicos
  • Ukraine
  • United Arab Emirates
  • United Kingdom
27.jpg

34.jpg

Chanzo: Where US citizens can travel
Yaani wamarekani wanaweza tembelea katika nchizi ikiwemo Tanzania ,kutokana na nchi husika kuruhusu.Yaani wengi wametafsiri vice versa
 
Nani kasema sio mabeberu,bado ni mabeberu.Literally everything they do proves that wao ni mabeberu.Tanzania bado tu maadui zao kwa kuwa tumewazuia kupora tasilima zetu wanavyotaka.Kuna sababu za msingi kwa nini wameruhusu wananchi wao kutembelea Tanzania this summer,na most likely ni political,si unajua uchaguzi ni November.Nadhani kwa kuwa Marekani kuna sintofahamu ya kiafya kwa sasa wanajaribu ku-ease tension ya Wamarekani ili kujaribu kumuongeza popularity Trump.Hata hivyo it's too little to late.Marekani is already sliding to extreme poverty and chaos,na si muda mrefu itakuwa a third world country.
Mimi huwa nakereka kusikia eti mabeberu wanataka kutupora mali zetu eti sasa ni maadui zetu kwa kuwa tumewazuia! Beberu akuone adui na bado anakupa $600+millioni BURE, sio mkopo? Kwanza, tunaporwa au tunawapa wenyewe kwa kusaini mikataba mibovu kwa manufaa binafsi? JK alisema eti inabidi tukajifunze jinsi ya kuandika mikataba! Ajabu sana, wakati waziri anabadilisha terms za mkataba hotelini kwa ku strike out lugha asioitaka na kuweka yake. Tusiwalaumu mabeberu tulaumu viongozi wasio na uzalendo.
 
Nani kasema mabeberu?
Baniani mbaya, kiatu chake dawa.
Ubeberu unakuja pale tu wanapotunyima mikopo na kutaka kutuibia mali asili zetu.
 
Back
Top Bottom