Civilian Coin
JF-Expert Member
- Dec 2, 2012
- 2,305
- 4,334
Kuhusu HIV/AIDS majibu ni NEGATIVE yaani Don Nalimison pia sio Mwathirika wa UKIMWI.
Hahaha! Ni kweli mkuu, yupo very open na ishu zake, kwa sisi waafrika tuliozoea unafiki tunamuona kichaa. Don inabidi aondoke Tz akaishi kwenye Open minded societiesHuyu mwamba siyo kichaa ni genius
HUJAMBO MAMA...... are normal.
....no abnormality.
...... Normal.
...... Is normal
Kila kitu kipo normal.
Sijambo baba shikamoo.HUJAMBO MAMA