Serikali kupitia Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), imetangaza kuajiri madaktari wapya 610, watakaokwenda kutoa huduma kwa wananchi katika maeneo mbalimbali nchini, pamoja na kusaidia kukabiliana na janga la Virusi vya Corona.
Akitoa taarifa mbele ya Waandishi wa...
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu amesema sababu ya kutotangaza mwenendo wa ugonjwa wa Corona ni kutokana na maboresho yanayofanyika kwenye Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii, ambapo kuna marekebisho yanafanyika na ndani ya siku chache marekebisho...
Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema mlipuko wa CoronaVirus unaweza kusababisha vifo kwa Waafrika wapatao 190,000 ndani ya mwaka mmoja tangu uanze kama ukishindwa kudhibitiwa
Mkurugenzi wa WHO Afrika, Dkt. Matshidiso Moeti amesema kuna uwezekano COVID19 haitosambaa kwa kasi barani humo kama...
Wakati wa asubuhi, hakikisha kifungua kinywa kina range kati ya saa kumi na mbili mpaka saa mbili hapa ni kama hauna familia, au uko kazini. Kama una familia basi isivuke saa nne asubuhi.
Wakati wa mchana, hakikisha mlo wa mchana unakuwa kati ya saa sita mpaka saa saba mchana ulivuka hapa we...
Ukimya wa Wizara ya Afya ya Zanzibar kuhusiana na Taarifa za Maambukizi mapya ya corona umeleta mashaka makubwa , hakuna tena taarifa mpya kama Tanganyika wanavyofanya.
Wafuatiliaji wa mambo wana hofu kwamba huenda Mh Waziri kapokea maelekezo maalum , haiwezekani Tanganyika na Zanzibar kukosa...
Hii nchi ina maajabu sana, pamoja na mbunge tajwa hapo juu aliekuwa akiwakilisha jimbo la Ndanda kupitia CHADEMA kutangaza kujiuzulu ubunge na kujivua uanachama wa CHADEMA na kujiunga na CCM lakini bado anaendelea kupata stahiki zote kama mbunge na Ndugai bado anamtambua kuwa Cecil Mwambe ni...
Herd immunity (population immunity, herd effect, community immunity or social immunity ) au kwa tafsiri ya kiswahili kinga ya jamii, kinga ya kundi.
Nianze kwa mfano: Nyumbani mnaishi watu 10, ikatokea umeingia ugonjwa unaoweza kuambukiza. ukawapata watu sita kati yenu, lakini hawa watu sita...
Vipimo vya maabara huwa sahihi kama ukipima kile kinachotakiwa kupimwa. Njia ya upimaji tutasema ni bora pale ambapo kipimo kimoja kitapimwa zaidi ya mara moja na kutupa majibu yanayofanana. Kwa kifupi hapa tunamaanisha usahihi wa kipimo.
Sensitivity: Ni ule uwezo wa kipimo kugundua watu walio...
Pole na kazi Mkuu!
Ni imani yangu u mzima wa afya na unaendelea vyema na kuchapa kazi ya kujenga nchi yetu na ni imani yangu pia ujumbe huu utaupata na kuufanyia kazi.
Kwa ufahamu wangu mdogo nimeona hii ni platfom nzuri kwangu kuweza kukufikishia malalamiko yangu kama siyo yetu sababu sina...
Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu amemuagiza Katibu Mkuu wa Wizara hiyo kuwasimamisha kazi Mkurugenzi wa Maabara ya Taifa ya Afya ya Jamii, Dr. Nyambura Moremi na Jacob Lusekelo Meneja uthibiti na ubora ili kupisha uchunguzi.
Sasa wameanza kushughulika na wataalam badala ya kudeal na Corona
Dr...
Leo Rais wa Tanzania amehutubia taifa na kusema, utaratibu mzima wa upimaji na utoaji majibu ya vipimo kwa wahisiwa wa ugonjwa wa COVID-19 hapa Tanzania yamezungukwa na uongo, ujanja ujanja na ulaghai mkubwa. Hivyo takwimu zote za COVID-19 hapa Tanzania zilizotolewa na Waziri Mkuu au Waziri wa...
Maisha ya mwanadamu ni mafupi hivyo tusimbeze yoyote anayeamua kuyalinda maisha yake na familia yake bila kuvunja sheria.
Hakuna ujasiri wowote wa mtu kufia bungeni eti anawakilisha wananchi waliomchagua, hiyo Johnthebaptist nakataa kabisa.
Kwa hili la Corona mashujaa ni wahudumu wa afya walio...
MKAZI wa Chanika jijini Dar es Salaam Seleman Mwamsumbwe (pichani kushoto) akiwa na dada yake(kulia) ameomba kukutana na Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Ummy Mwalimu kwa lengo la kumueleza habari njema ya kwamba amegundua dawa inayoweza kutibu ugonjwa wa COVID-19...
Na Thompson Mpanji,Mbeya.
JESHI la Polisi mkoani Mbeya limeanza kupambana na wanaokaidi maelekezo ya wataalamu wa Afya katika mapambano dhidi ya COVID-19.
Mwandishi wa Habari hizi ameshuhudia Baadhi ya Askari wa Jeshi hilo Kikosi cha Usalama Barabarani katika vituo vya Nane...
Safari za nje ya nchi kufungwa tutegemee kupoteza watu mashuhuri wengi, kwani wengi wao walikuwa wakitegemea kliniki za nje ya nchi, sipati picha kama kipindi hichi Mbunge Tundu Lissu, angepata matatizo muda huu tungempoteza.
Wangonjwa wa Pumu sasa wanakufa kwa kukosa msaada zamani akianguka...
Si jambo jipya tena, maambukizi ya corona Tanzania yapo kwa kasi kubwa sana kwenye jamii, pia tumeendelea kuona vifo vikiongezeka siku hadi siku.
Tuna maswali mengi sana kama watanzania juu ya mikakati ya wizara ya Afya ya Tanzania kukabiliana na Tatizo la Corona. Je sekta ya Afya imejiandaa...
Waziri wa Afya mh Ummy Mwalimu yuko mubashara TBC na Channel ten akiwasilisha hotuba ya makadirio ya mapato na matumizi ya wizara yake kwa mwaka wa fedha 2020/21
Up dates:
Uzi huu ni mrefu.
Ukichangia naomba ujikite Zaidi katika kutoa maoni yako lakini kukosoa kunaruhusiwa.
Binafsi nadhani maamuzi haya yangechukuliwa mwezi mmoja uliopita pale Waziri Mkuu alipotangaza kuzifunga shule na vyuo, lakini haikuwa hivyo badala yake shule zilifungwa kisha hakukuwa na...
afrika
afya
brazil
ccm
corona
covid
covid-19
covid19
hela
jafo
korona
kubwa
lockdown
magufuli
maisha
maombi
mungu
nyuzi
pandemic
pepo
propaganda
rais
serikali
tahadhari
taifa
taifa letu
tanzania
ulaya
ushauri
video
wanawake
watanzania
who
wizara ya afya
Katika ratiba ya vikao vya Bunge tarehe 29.4.2020 Waziri Ummy Mwalimu atawasilisha BAJETI ya kufunga Awamu ya Tano.
Bajeti hii ya Sekta ya Afya itakuwa ya kihistoria kwa kuwa inasomwa wakati Tanzania na Dunia inapitia ktk majaribu makubwa katika kipindi Cha zaidi ya miaka Mia moja!
Bila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.