afrika

  1. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Jumuiya yenye hatma ya pamoja: China yasaidia Afrika kukabiliana na changamoto ya mabadiliko ya tabianchi

    Ikilinganishwa na sehemu nyingine haswa nchi zilizoendelea, nchi za bara la Afrika zimetoa hewa ukaa chache. Hata hivyo, bara hilo limekuwa mojawapo ya maeneo yanayoathirika zaidi na mabadiliko ya tabianchi katika miaka ya hivi karibuni. Kutokana na mabadiliko hayo, majanga kama vile ukame...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Kuwa na kilimo cha kisasa ni lengo la pamoja la China na nchi za Afrika

    Mkutano Mkuu wa Kazi Vijijini wa China ulifanyika wiki hii mjini Beijing. Katika miaka ya hivi karibuni, imekuwa desturi kwa Chama cha Kikomunisti cha China CPC kuitisha mkutano kama huo baada ya mkutano mkuu wa kazi za kiuchumi kila mwezi Desemba ili kupanga kazi kuhusu kilimo, vijiji na...
  3. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Afrika inalaani na kukemea: Baraza la Maaskofu Kanisa Katoliki nchini Nigeria nao wameungana na Malawi, Kenya, Zambia kuhoji waraka wa Papa Francis

    Wenye dini yetu ndio tupo mstari wa mbele kuhoji, YES!! Afrika ndio sehemu yenye wakatoliki wengi zaidi duniani na hatuwezi kukubaliana na huu waraka unaoenda kinyume kabisa na maadili yetu, Pongezi ziende kwa nchi za Afrika ambazo zipo mstari wa mbele kututetea waumini, Walianza Malawi, akaja...
  4. Mhafidhina07

    JamiiForums Tanzania Abadani afrika itaendelea kuwa mtumwa na masikini mpaka kiama

    Kwenu wana jamvi leo nimekalia jamvi siti ya mbele kuongelea msiba mkubwa wa nchi za kiafrika kurudi nyuma karne moja iliyokwishapita,si aghalabu ila naona imekifu sasa licha kuanza kwa harakati za kujikumboa kwa mtu mweusi kipindi cha utumwa ambapo ilitumika nguvu nyingi kupinga biashara ya...
  5. L

    JamiiForums Tanzania Pendekezo la “Ukanda Mmoja, Njia moja” limesaidia kuchochea maendeleo ya Afrika katika mwaka 2023

    Mwaka 2023 ulikuwa na matukio kadhaa makubwa kwa bara la Afrika, ambayo yaliangazia njia za kuhimiza maendeleo ya nchi moja moja ya Afrika, na hata maendeleo ya bara zima la Afrika. Katika matukio hayo muhimu China ilitajwa mara kadhaa, na pendekezo la “Ukanda Mmoja, Njia moja” lilionekana kuwa...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Pendekezo la “Ukanda Mmoja, Njia Moja” lawa muokozi wa Afrika katika masuala ya sayansi na teknolojia

    Tangu katika kipindi cha katikati ya miaka ya 1990, China imetambulisha tena sera yake ya Afrika, ikiongeza msaada wake wa maendeleo, na kuyataka makampuni ya China kwenda nje na kuzidisha miradi ya miundombinu. Hata hivyo, sera kabambe ya mambo ya nje ya rais Xi Jinping na pendekezo lake muhimu...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mkeka wa CAF kwa vilabu Afrika: Kuna timu kama Medeama hata utafute kwa tochi hutaziona

    ORODHA ya Vilabu Bora Afrika 2023 (CAF Club Ranking) Rank za caf ngazi ya vilabuCAF rankings,Vilabu 20 bora afrika 2023,Nafasi ya Simba Afrika 2023Nafasi ya yanga afrika 2023,Yanga ranking in Africa 2023,Vilabu kumi bora africa,CAF club points,Rank za caf ngazi ya vilabu,CAF club points,CAF...
  8. Petro E. Mselewa

    JamiiForums Tanzania Klabu Bingwa Barani Afrika: ASEC Mimosas yatangulia robo fainali

    Kufuatia ushindi wao wa 3-0 dhidi ya Galaxy hivi punde na kimahesabu, ASEC Mimosas wametinga hatua ya robo fainali ya Klabu Bingwa barani Afrika. Hadi sasa, ASEC wamefikisha alama 10 huku ikibaki michezo miwili. Simba wana alama 5, Galaxy alama 4 na Wydad alama 3. Kimahesabu, Simba au Galaxy...
  9. T

    JamiiForums Tanzania Kati ya Benki 10 Kubwa Afrika Mashariki, Benki 8 Zinatoka Kenya

    Wakuu habari za Jumatatu. Kuna jambo kidogo limenivutia kidogo kunitazama kwa umakini zaidi, wazungu husema lime 'attract my attention'. Jambo lenyewe ni kwamba, imetolewa orodha ya benki kubwa 10 Afrika Mashariki. Katika orodha hiyo benki 8 kati ya 10 zinatoka Kenya. Kwa mfano, mtaji wa...
  10. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Cape Town, Afrika Kusini ingekuwa Tanzania, yote ingekuwa ni Hifadhi

    Nimebahatika kutembelea miji mingi Duniani iliyoendelea nilichojifunza ni kwamba wazungu hawataki sisi tuendelee kwani wanachokifanya kwao kwetu wanakizuia, mifano mingi kuanzia kutenga maelfu ya square kilometers kwa ajili ya wanyama na “kutunza na kuhifadhi nature” mpaka uchafuzi wa mazingira...
  11. Ritz

    JamiiForums Tanzania Yemen inalazimisha meli za Israel kuzunguka Afrika kupata hasara kubwa ya kiuchumi

    Wanaukumbi. ISRAELI WAPATA CHANGAMOTO YA USAFIRI 🇮🇱🇵🇸 Akifanyiwa mahojiano kupitia kituo cha redio cha 104 cha Israeli, Kamanda wa zamani wa Jeshi la Wanamaji la Israeli, Eliezer Merom alisema kwamba, "Israeli iko chini ya kizuizi cha majini. Kwa sasa inapata changamoto kubwa ya usafirishaji...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Nchi sita zaidi za Afrika kunufaika na soko la China

    Kuanzia tarehe 25 Desemba mwaka huu Angola, Gambia, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Madagascar, Mali, na Mauritania zitaungana na nchi nyingine za Afrika zenye uhusiano wa kidiplomasia na China katika kunufaika na soko la China kwa asilimia 98 ya bidhaa zake za kilimo kuingia bila kutozwa...
  13. L

    JamiiForums Tanzania China na Afrika zinajitahidi kutafuta njia zao za maendeleo

    Tarehe 18 Desemba ni siku ya maadhimisho ya miaka 45 tangu sera ya mageuzi na ufunguaji mlango ianze kutekelezwa nchini China. Katika kipindi hicho, China sio tu imefanikiwa kujiinua kiuchumi, na mafanikio yake kuwa dhahiri kwa wote, bali pia imetoa usaidizi mkubwa kwa maendeleo ya Afrika na...
  14. W

    JamiiForums Tanzania Viongozi 9 kutoka Afrika waliotawala kwa muda mrefu zaidi na bado wapo madarakani

    1. Teodoro Obiang Nguema Mbasogo - Miaka 44 Huyu anashikilia rekodi ya kuwa Mtawala aliyekaa muda mrefu zaidi madarakani. Ni Rais wa Equatorial Guinea ambaye ameshika madaraka tangu Agosti 1979 baada ya kumpindua Mjomba wake Francisco Macías Nguema. Mbali na Afrika, Mbasogo anashikilia rekodi...
  15. N

    JamiiForums Tanzania Wananchi kutokuelewa mambo kwa haraka kunachelesha maendeleo Afrika

    Naweza kusema licha ya changamoto nyingi za kiuongozi zilizopo nchi zetu za kiafrika lakini pia wananchi kutokuelewa mambo Kwa uharaka na kutekeleza kunafanya nchi zetu kuchelewa kupiga hatua za kimaendeleo. Nitatoa mifano kadhaa. 1. ujenzi wa vyoo Bora, hapa ni matrilioni...
  16. Tajiri Tanzanite

    JamiiForums Tanzania Afrika tutapata maendeleo endapo tutawapa wazungu nafasi ya Urais na Mawaziri

    Hapo vip!! Huu ndio ukweli ulete hoja zako za kiafrika haiwezi kubadilisha huu ukweli. Ukweli ni unadhihirishwa wazi na maendeleo ya Afrika tangu tuanze kupata uhuru..na kuna baadhi a nchi za wazungu walikuwa wapo chini kimaendeleo kuliko hizi nchi zetu za Afrika mfano sirilanka,maleysia n.k...
  17. S

    JamiiForums Tanzania Wivu siyo asili yetu afrika, Bali ni janga linalotutafuna kuliko bangi

    Kuna misemo na nahau nyingi sana tuliwahi kujifunza huko shule ya msingi ambayo ilitosha kutupatia msingi wa maisha yetu hata leo! Mfano wa msemo! "Kutokujua kutumia kilicho bora; ni mwanzo mzuri wa kutumia kibovu" "Watu wengi huangamia kwa kukosa maarifa" "Mkataa pema, Pabaya panamuita"...
  18. GoldDhahabu

    JamiiForums Tanzania Kati ya Mkaburu na Mzulu, yupi anastahili kuiongoza Afrika Kusini?

    Kura yangu ingeenda kwa Mkaburu kwa sababu zifuatazo: 1. Uongozi wao ndiyo uliyoiwezesha Afrika Kusini kuwa miongoni mwa nchi zilizoendelea duniani 2. Makaburu wanaonekana ni wachapa kazi tofauti na "Wazulu" wanaoonekana ni wavivu na wapenda starehe 3. Tokea "Wazulu" washike hatamu...
  19. SankaraBoukaka

    JamiiForums Tanzania Kila timu inaruhusu goli ila janga kubwa SIMBA ni ufungaji..

    Kila timu duniani inaruhusu goli ila janga KUBWA Simba ni kushindwa kufunga magoli pamoja na nafasi nyingi zinazotengenezwa. Mechi na Wydad kama tungekuwa na washambuliaji wanaojielewa ilikuwa mapema sana ushindi... Nafasi nyingi zilipatikana ila uwezo mdogo nakukosa umakini kunasababishwa na...
  20. Petro E. Mselewa

    JamiiForums Tanzania Kiwango cha Simba kingekuwa kipimo cha Klabu Bingwa Afrika, michuano hii ingedharaulika sana

    Kwa kiwango na uchezaji wa Simba hii, hakika michuano hii ingedharaulika na kutofuatiliwa. Simba imechoka na haina hata uwezo wa kupiga pasi tano. Simba wamekuwa wakijipambanua kuwa wao ndiyo wacheza-klabu Bingwa Afrika. Wamekuwa wakiwabeza na kuwatweza Yanga kuwa michuano hiyo hawaiwezi na si...
Back
Top Bottom