Timu za Kariakoo ifike mahala msajili wachezaji toka Afrika Kaskazini na muachane na Afrika ya Magharibi na Kati

Shida sio kusajili kwa kuangalia Eneo ila sema tunapenda shortcut.... Hata hapa Tanzania kuna vipaji vingi tu vya mpira ila Tatizo hatuthamini vya kwetu Mchezaji wa Ndani akisajiliwa kila mtu anakuwa na mashaka naye na hat wengne huwa hawana namba za uhakka,

Ila akisajiliwa mchezaji wa nje ya mipaka hata kam hatujawahi kumuona hat siku moja basi tunaamin anajua mpira,

Vilabu vya ndani viunde programm zenye userious achana na hizi under twenti za mchongo, kwa kuanzia hizo programm ziwe zinaandaa Tournaments zinazohusisha shule za sekondari na zinachukua vijana kutoka kwenye hayo mashindano,

Hii itasaidia pia kupata vijana wenye umri mdogo kweli pasipo kudanganyana,... Lakin pia hao vijana wakishapatikana wawekwe kambi moja alafu yafanyike yafuatayo...
1. walishwe vizuri
2. Wapigishwe Gym ili wapate physique body nzuri
3. Wafundishe skills zote za mpira ikiwemo shooting,passing,goolkeeping skills etc....

Hii itasaidia kupata timu bora za vilabu na Timu ya taifa pia.... Hata hivyo itasaidia san kukuza uchumi wa timu zetu maan watakuwa wametumia gharama ndogo kuwatengeneza wachezaji hao na wanaweza kuwauza kwa gharama kubwa sana maan pia watakuwa na umri mdogo na wana vipaji pia.
 
Hizi U20 zetu vijana wanaingia kwa koneksheni tu ni hovyo kabisa.
 
Ni dhahiri kuwa vilabu vya Afrika Kaskazini ndivyo zinazofanya vizuri kuliko vile vya AfriKa Magharibi.

Hakuna haja ya kuokoteza wachezaji toka West Africa, wenye viwango duni. Wekezeni katika kusajili Toka North Africa.
Kwani hizo timu za Kaskazini hazina wachezaji kutoka Afrika Magharibi? Hapa ishu ni mchezaji mzuri. Hao wachezaji wa Afrika Magharibi ndio wamejaa Ulaya.
 
Uchawi uko hapa
 
Kwa mpira gan wanaocheza hao kaskazini, m sijaona. wanachojua ni vurugu tu n fujo hlf CAF ipo tu inawaangalia na haina cha kuwafanya. we angalia ata mechi zao zinavyopangwa na kuchezeshwa
 
South Africa na nchi za Africa ya kaskazini gharama za wachezaji ni kubwa sana. Wengi wao Wana mishahara mikubwa karibia na baadhi ya ligi za ulaya.

Ni gharama kubwa sana.
Simba kwa huyo Ayoub Lakred wametoa pesa ndefu sana.
Percy Tau wa Al Ahly analipwa $100,000 roughly $25,000 kwa wiki. Kuna wachezaji Epl pale uingereza hawapati hii Hela.
 
Ni dhahiri kuwa vilabu vya Afrika Kaskazini ndivyo zinazofanya vizuri kuliko vile vya AfriKa Magharibi.

Hakuna haja ya kuokoteza wachezaji toka West Africa, wenye viwango duni. Wekezeni katika kusajili Toka North Africa.
kila kitu kina muda wake, usifosi. Kila jambo lina hatua zake hata kiumbe kinaanza kamasi, yai alafu kiumbe, mpaka hapa tulipofika tujipongeze sana kwamba ligi yetu imeanza kuwa kivutio kwa wachezaji wa magharibi ambao huku kwetu ilikuwa ni ndoto kuwapata, na hata tukiwapata walikuwa wazee, lkn now mpaka vijana wadogo wa magharibi wana dream kucheza Tanzania, kwenye maisha ukiruka step kifuatacho kupotea, tumeshaanza kuvuka mipaka, Azam kaanza na America kusini, tunasogea mdogo mdogo mpaka tutafika na ulaya sio tu Africa kaskazini.
 
Kwani hizo timu za Kaskazini hazina wachezaji kutoka Afrika Magharibi? Hapa ishu ni mchezaji mzuri. Hao wachezaji wa Afrika Magharibi ndio wamejaa Ulaya.

Wamejaa, lakini wanafika hata robo yao wanaofanya vizuri!

Angalia wakaskazini achraf hakimi, ziyech, mohamed salah, n.k, wenye asili ya afrika kama benzema, zidane n.k.
 
Shida sio kusajili kwa kuangalia Eneo ila sema tunapenda shortcut.... Hata hapa Tanzania kuna vipaji vingi tu vya mpira ila Tatizo hatuthamini vya kwetu Mchezaji wa Ndani akisajiliwa kila mtu anakuwa na mashaka naye na hat wengne huwa hawana namba za uhakka,

Ila akisajiliwa mchezaji wa nje ya mipaka hata kam hatujawahi kumuona hat siku moja basi tunaamin anajua mpira,

Vilabu vya ndani viunde programm zenye userious achana na hizi under twenti za mchongo, kwa kuanzia hizo programm ziwe zinaandaa Tournaments zinazohusisha shule za sekondari na zinachukua vijana kutoka kwenye hayo mashindano,

Hii itasaidia pia kupata vijana wenye umri mdogo kweli pasipo kudanganyana,... Lakin pia hao vijana wakishapatikana wawekwe kambi moja alafu yafanyike yafuatayo...
1. walishwe vizuri
2. Wapigishwe Gym ili wapate physique body nzuri
3. Wafundishe skills zote za mpira ikiwemo shooting,passing,goolkeeping skills etc....

Hii itasaidia kupata timu bora za vilabu na Timu ya taifa pia.... Hata hivyo itasaidia san kukuza uchumi wa timu zetu maan watakuwa wametumia gharama ndogo kuwatengeneza wachezaji hao na wanaweza kuwauza kwa gharama kubwa sana maan pia watakuwa na umri mdogo na wana vipaji pia.
Mashabiki pia Wana ushamba mwingi.

Wakiona mchezaji wa nje tu, shobo nje hata Kama ni wa kawaida.

Mfano: Mzize ni Bora kuliko Onana lakini unakuta Onana ana thamani na Mshahara mkubwa kuliko Mzize
 
Shida sio kusajili kwa kuangalia Eneo ila sema tunapenda shortcut.... Hata hapa Tanzania kuna vipaji vingi tu vya mpira ila Tatizo hatuthamini vya kwetu Mchezaji wa Ndani akisajiliwa kila mtu anakuwa na mashaka naye na hat wengne huwa hawana namba za uhakka,

Ila akisajiliwa mchezaji wa nje ya mipaka hata kam hatujawahi kumuona hat siku moja basi tunaamin anajua mpira,

Vilabu vya ndani viunde programm zenye userious achana na hizi under twenti za mchongo, kwa kuanzia hizo programm ziwe zinaandaa Tournaments zinazohusisha shule za sekondari na zinachukua vijana kutoka kwenye hayo mashindano,

Hii itasaidia pia kupata vijana wenye umri mdogo kweli pasipo kudanganyana,... Lakin pia hao vijana wakishapatikana wawekwe kambi moja alafu yafanyike yafuatayo...
1. walishwe vizuri
2. Wapigishwe Gym ili wapate physique body nzuri
3. Wafundishe skills zote za mpira ikiwemo shooting,passing,goolkeeping skills etc....

Hii itasaidia kupata timu bora za vilabu na Timu ya taifa pia.... Hata hivyo itasaidia san kukuza uchumi wa timu zetu maan watakuwa wametumia gharama ndogo kuwatengeneza wachezaji hao na wanaweza kuwauza kwa gharama kubwa sana maan pia watakuwa na umri mdogo na wana vipaji pia.

Acha wapambane na wachezaji kutoka mataifa mengine.

Na wao kama wanaweza sio lazima wachezee simba na yanga. Waige akina Samata, Msuva na wengine. Waende wakakiwashe huko.

Mambo ya kubebana wakati timu zinahitaji matokeo sio wakati wake huu. Mwenye kipaji na anaejitammbua atatoboa tu.
 
Back
Top Bottom