The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 5,464
- 17,281
Baada ya Papa Francis kuagiza kanisa katoliki kote ulimwenguni isipokua China kubariki ndoa za mashoga, sasa ni wakati muafaka Kanisa Katoliki Afrika kujiondoa kutoka kwenye mikono ya ukoloni wa Vatican na kujitenga kama ilivyo Kanisa Katoliki China.
China kanisa katoliki la Vatican halina nguvu yoyote ya kuteua wala kutangaza majimbo ya kiutawala ya kanisa badala yake ni kanisa katoliki China likishirikiana na serikali ya China ndio wanasimika mapadri na maaskofu kwenye majimbo.
Kama Kanisa Katoliki Afrika ama majimbo/makoloni ya kanisa katoliki ya Afrika hawakubaliani na maagizo ya Papa, watumie fursa hii kujitoa na kujiendesha wenyewe independently na Vatican.
Vinginevyo tekelezeni maagizo ya baba mtakatifu papa Francis.