afrika

  1. Pakome

    JamiiForums Tanzania Huyu kijana wa Afrika ya Kusini sijui ana tatizo gani, anahangaika kuongeza makalio ingawa si kawaida kwa wanaume kufanya hivyo

    Katika utu uzima wangu sikuwahi kuona mwanaume akifikiri kuwa makalio yake ni tija Lakini kwa huyu kijana imekuwa tofauti sana Sijui anafanya haya kwa lengo gani kwasababu kama ni mazoezi hatujazoea haya anayofanya
  2. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Afrika Kusini imezindua kiwanda kipya cha kutengeneza maroboti walimu aina ya IRIS

    Afrika Kusini imezindua kiwanda kipya cha kutengeneza roboti walimu aina ya IRIS, ikiwa na lengo la muda mrefu la kupeleka teknolojia hiyo katika shule 23,000 nchini humo. Mbunifu wa IRIS, Thando Gumede, amesema lengo ni hatimaye kuhakikisha kila shule nchini Afrika Kusini inakuwa na roboti...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Nchi zilizoendelea kama South Afrika na Ulaya huwezi kukuta mabasi yanapewa amri kama hizi za kupakilia Magufuli stand .

    Sisi tuliotembea nchi kama South Afrika na Ulaya tunafahamu haya Ukiwa na safari na basi unaweza ukapandia popote. Unaweza ukapandia kwenye ofisi za basi unalotaka kusafiri nalo, ukapandia hata kwenye mgahawa linapopita. Hii ya Mkuu wa mkoa wa Dar kusema daladala zitakosa wateja ni pointless...
  4. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Ameongeza Ushawishi Wa Tanzania Barani Afrika na Duniani Kote Kwa Ujumla wake. Ingekuwa Ni Nchi Ndiye Angekuwa Rais Wake

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika Kwa sasa Tanzania ndio Habari ya Mjini Barani Afrika,Ndio Jina linalotamkika midomoni Mwa Wa Afrika. Ndio Nchi ambayo kila mtu anatamani kuitembelea na kufika na ndio sababu ya kuona ongezeko kubwa sana la idadi ya watalii wanaokuja kutalii na na hata...
  5. B

    JamiiForums Tanzania MADA MOTO : Uhuru wa Wanataaluma Barani Afrika | Intellectual Freedom and Future of African Universities

    14 August 2026 University of Dar es Salaam UDSM Tanzania Hatma, Uhuru wa Wanataaluma Barani Afrika | Intellectual Freedom and Future of African Universities https://m.youtube.com/watch?v=6VQIiwLieKc wanataaluma wa chuo hicho kimeaandaa mazungumza juu ya hatma ya uhuru wa wanataaluma barani...
  6. Victor Mlaki

    JamiiForums Tanzania Afrika, Tanzania kwa upekee ni eneo lenye watu wenye nguvu, bidii na akili nyingi; Mikakati mahususi ya udhibiti ukweli uliofichwa

    Historia bila hiyana imeweza kutunza kumbukumbu nyingi za utu, nguvu na bidii za jamii ya Waafrika. Historia inapotaja ustaarabu wa mwanzo wa Mtu haijaacha kuitaja Afrika. Mabaki ya mifupa ya mtu wa kale zaidi yanathibitisha ukweli kuwa ukongwe wa Jamii ya binadamu una asili katika eneo hili...
  7. C-C Digital Pro

    JamiiForums Tanzania Civilian-Coin: Kuna Rais atajiudhuru Urais hapa Afrika Mashariki.

    Si maneno yangu Bali ni Civilian-Coin Nalimi Kisandu (CIVILIAN-COIN). NANI KUJIUDHURU Urais? Kuna nchi Fulani Afrika Mashariki, Rais atajiudhuru kwa ujinga wake wa kumuona Civilian-Coin hafai Kila eneo. Tega sikio na macho.
  8. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Ndiye Sauti Ya Afrika Na Mwafrika na Ambayo Ikizungumza Sauti yake inasikika,Kusikilizwa na Kuheshimika Vyema. Ndio Maana Tunapokea Wageni

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Ndiye Sauti ya Afrika na Mwafrika kwa Sasa .Ndio sauti ambayo ikizungumza inasikika ,kusikilizwa na kuheshimiwa na watu wote. Ndio Nguvu ya Muafrika na ndio Tumaini la Bara letu. Kwa miaka ya Hivi karibuni Afrika...
  9. Blasio Kachuchu

    JamiiForums Tanzania Jamii ya Wandondi na Wandwewe yaomba amani Tanzania na Afrika

    Na Mwandishi Wetu. JAMII ya Wandondi na Wandwewe, imetoa mwito wa kitaifa na kimataifa kwa watu wote wenye nia njema kuungana katika Dua Maalum kwa ajili ya Amani, Umoja, Maridhiano, Mshikamano na Ulinzi wa Maisha ya Binadamu. Dua hiyo ni mwito wa pamoja unaolenga kuwakutanisha watu wa imani...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Aibeba Tanzania Kileleni Afrika, Mkutano wa Africa50 Watoa Mwelekeo Mpya wa Uwekezaji wa Miundombinu

    Rais Samia Aibeba Tanzania Kileleni Afrika, Mkutano wa Africa50 Watoa Mwelekeo Mpya wa Uwekezaji wa Miundombinu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, ameendelea kuimarisha nafasi ya Tanzania katika kuchochea mageuzi ya kiuchumi barani Afrika baada ya nchi kuwa...
  11. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Big Oil Companies Shell & Co: Kwanini zina shida Afrika tu?

    kuna kitu bado sijaelewa, kwa nini big natural resources capitalistic companies zina shida barani afrika tu au niwe specific sub-saharan afrika kwetu tu lkn kwingine kote ni success pande zote mbili i.e muwekezaji na host country? ukiangalia kwa mfano oil shell wamekuwa na shida kubwa kubwa...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Baada ya Tanzania Kuzisaidia nchi za Afrika kupata Uhuru nazo sasa zaisaidia Tanzania

    Ripoti hii si uchunguzi wa kweli; ni jaribio la kisiasa la kuficha nyayo za utawala wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kufuatia uchaguzi wa Oktoba 2025 ambao, kwa mujibu wa taarifa hii, ulikuwa wa udanganyifu na ulioambatana na ukatili. Naibu Jaji Mkuu wetu anaitwa kushiriki katika Tume hiyo kama...
  13. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania Sababu za Marekani kukosa ushawishi dhidi ya China katika ushirikiano wa miundombinu na Afrika

    China na Angola hivi karibuni zimesaini makubaliano kuhusu mradi wa ujenzi wa bandari mpya huko Barra do Dande wenye thamani ya dola milioni 900 za Kimarekani. Angola ni moja ya nchi muhimu zaidi ambayo Marekani na China zinashindania ushawishi barani Afrika. Marekani imewekeza sana katika njia...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Dkt. Samia anafungua Mkutano Mkuu wa Wanahisa wa AFRICA50 na Jukwaa la Miundombinu kwa Afrika

    https://www.youtube.com/watch?v=5g9jC1GuadI Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akifungua Mkutano Mkuu wa Wanahisa wa AFRICA5O na Jukwaa la Miundombinu Afrika (INFRA AFRICA), Agosti 05, 2026.
  15. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Botswana na Namibia ni nchi tajiri zaidi barai Afrika, msikate tamaa tunaweza!

    gdp per capital income, >95% black countries (ukiondoa visiwa kama Shelisheli na Mauritius) are the richest in afrika, na ilipaswa kuwa hivyo, Botswana: 8,490 usd Namibia: 5,570 usd richer than egypt, morocco, tunisia, algeria, libya, indonesia, iran, india, pakistan, vietnam plus Botswana...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Wanahabari Kuelekea Mkutano Mkuu wa Wanahisa wa Afrika50 na Jukwaa la Miundombinu Afrika, 2/08/2026

    https://www.youtube.com/watch?v=hCEd0tdpyNQ
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Tanzania kuwa Mwenyeji wa Mkutano Mkuu wa Wanahisa wa Africa50 na Jukwaa la Miundombinu Afrika

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania itakuwa mwenyeji wa Mkutano Mkuu wa Wanahisa wa Taasisi ya Africa50 pamoja na Jukwaa la Miundombinu Afrika (Infra for Africa Forum), uliobeba kaulimbiu ya “Miaka kumi ya mafanikio kutoka maono hadi utekelezaji - A Decade of Economic Impact: From...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Marekani yapandisha hadi Tsh. Milioni 52.8 dhamana ya visa kwa waombaji kutoka nchi 30 za Afrika, ikiwemo Tanzania

    Marekani imetangaza kufanya mpango wa dhamana ya visa kuwa wa kudumu, huku ikiongeza kiwango cha juu cha dhamana hadi Dola 20,000 kwa baadhi ya waombaji wa visa za biashara (B-1) na utalii (B-2) kutoka nchi 30 za Afrika, zikiwemo Tanzania, Nigeria, Uganda na Zambia. Mpango huo umeondoa kiwango...
  19. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Marekani yaweka rasmi dhamana ya visa ya hadi $20,000 kwa Nchi 30 za Afrika. Tanzania ikiwepo

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani inatarajia kufanya kuwa wa kudumu mpango wa majaribio unaowataka raia wa mataifa 50, mengi yakiwa ya Afrika, kutoa dhamana kubwa wanapoomba viza, huku gharama zake sasa zikitarajiwa kufikia hadi $20,000. Ilani ya awali, iliyochapishwa Ijumaa katika Rejista...
  20. Fbn

    JamiiForums Tanzania Afrika nchi nyingi kuna kikosi cha raisi wakatl teyari idara ndani ya ikulu

    Siku ya kupatikana katiba mpya inaweza kuondoa raisi kuwa na kikosi kama chake. Kwa afrika kinatumika vibaya ukilinganisha na nchi kubwa. Rais anapounda kikosi chake ina maana anaweza kumuweka hata mwanaye au rafiki kumlinda yeye. Mifano hipo tokea kwa Idd Amin,Museveni, Tanzania, Zimbabwe...
Back
Top Bottom