Afrika na kilemba cha ujinga

Afrika na kilemba cha ujinga

Alloyce PR

JF-Expert Member
Joined
Nov 15, 2020
Posts
704
Reaction score
801
"Heela! Itafakari nchi inayoinua mkono na kumwaga damu ya Mwafrika mwenzake, kwa kisingizio dhaifu kuwa mgeni anachuma matunda ya ardhi ambayo wao wameshindwa kuituliza. Ni fedheha kuona ubaguzi ukigeuzwa kuwa vazi la sifa.

Afrika Kusini imevaa kilemba cha ujinga kilichofunika macho ya utu wao. Sisi tubaki tukiipenda Tanzania yetu kwa dhati; tuache majivuno ya dharau yanayotokana na kutembea miji ya ughaibuni. Huko mlikokuwa mkibeba maboksi na kufanya kazi za suluba kwa wakoloni. Inasikitisha unaporejea nyumbani na kumwaga maneno ya hovyo, ukiwa umening'iniza hereni masikioni kama ndama aliyepotea zizini."
— Alloyce, P.R.
 
Jiwe alikuwa na timu smart sana ya mtandaoni, nyie timu ya mama mnamuangusha mama yenu, mnapwaya sana katika propaganda na kufanya mashambulizi.
Duh! Sasa hii inahusiana nini na hayo mkuu. Au hujui mauaji yanayoendelea huko Afrika ya Kusini?
 
"Heela! Itafakari nchi inayoinua mkono na kumwaga damu ya Mwafrika mwenzake, kwa kisingizio dhaifu kuwa mgeni anachuma matunda ya ardhi ambayo wao wameshindwa kuituliza. Ni fedheha kuona ubaguzi ukigeuzwa kuwa vazi la sifa.

Afrika Kusini imevaa kilemba cha ujinga kilichofunika macho ya utu wao. Sisi tubaki tukiipenda Tanzania yetu kwa dhati; tuache majivuno ya dharau yanayotokana na kutembea miji ya ughaibuni. Huko mlikokuwa mkibeba maboksi na kufanya kazi za suluba kwa wakoloni. Inasikitisha unaporejea nyumbani na kumwaga maneno ya hovyo, ukiwa umening'iniza hereni masikioni kama ndama aliyepotea zizini."
— Alloyce, P.R.
Lala sasa, kama posho nadhani imeshatoka unless kama umeshaanza siku mpya kama mida inavyosoma.
 
Dahhh...
Ebu muwe mnaandika heading butu aiseee...
Mie nikajua lemba, yaani lile lemba tunafunga toka Congolese, ukifunga likapata joti... basi unavika mpaka ishakwiva.... ukija kujenga nyumba basi nikuzaa tuuuu hadi kokolikooo
 
Kama kubeba maboksi ughaibuni ni utumwa, mbona foleni za kuomba Visa kwenye balozi za hao wakoloni haziishi?
 
"Heela! Itafakari nchi inayoinua mkono na kumwaga damu ya Mwafrika mwenzake, kwa kisingizio dhaifu kuwa mgeni anachuma matunda ya ardhi ambayo wao wameshindwa kuituliza. Ni fedheha kuona ubaguzi ukigeuzwa kuwa vazi la sifa.

Afrika Kusini imevaa kilemba cha ujinga kilichofunika macho ya utu wao. Sisi tubaki tukiipenda Tanzania yetu kwa dhati; tuache majivuno ya dharau yanayotokana na kutembea miji ya ughaibuni. Huko mlikokuwa mkibeba maboksi na kufanya kazi za suluba kwa wakoloni. Inasikitisha unaporejea nyumbani na kumwaga maneno ya hovyo, ukiwa umening'iniza hereni masikioni kama ndama aliyepotea zizini."
— Alloyce, P.R.
Unajipambanua kwelikweli kuwa mmoja wa watu wenye ulemavu wa fikra.

Angalia hayo maneno uliyoanza nayo kwenye hiyo mistari miwili ya mwanzo, uone kama inao uhusiano wowote na hayo yaliyofuata huko chini!.

Ukiachana na ubovu wa fikra zenyewe zilivyowasilishwa; ni wazi kwamba hujui sababu zinazosababisha hayo yanayotokea Afrika Kusini; lakini ufinyo wa uelewa wako, bado unajiona unajuwa matatizo yote ya huko Afrika Kusini!

Halafu, bila ya mategemeo, unarukia kuyasema ya Tanzania?

Sasa tuelewe nini, kwamba Tanzania, ili tusionekane kama hao wa Afrika Kusini, tukubali "...mgeni achume matunda ya ardhi ambayo wao wameshindwa (kuituliza?) ili tusionekane wabaguzi"?
Hiyo ndiyo itakuwa ishara ya sisi "kuipenda Tanzania"?

Haya ni mawazo ya namna gani haya!
 
Jiwe alikuwa na timu smart sana ya mtandaoni, nyie timu ya mama mnamuangusha mama yenu, mnapwaya sana katika propaganda na kufanya mashambulizi.
Kidogo nikubaliane nawe, lakini nikastuka nilipowakumbuka USSR; Magonjwa mtambuka; stroke, Tumaineli na wengi wa aina hiyo!
 
Jiwe ilikuwa nusu ya machawa wake wana akili na nusu hawana akili. Kwa huyu mama machawa karibia wote ni vichwa Tikiti, huwezi kusema kuna mwenye afadhali, huyo USSR na Magonjwa wao ni mojawapo ya wale askari wa mtandao waolirukia upande wa mama kwa miguu yote kabla hata matanga hayajaanuliwa.
 
Unajipambanua kwelikweli kuwa mmoja wa watu wenye ulemavu wa fikra.

Angalia hayo maneno uliyoanza nayo kwenye hiyo mistari miwili ya mwanzo, uone kama inao uhusiano wowote na hayo yaliyofuata huko chini!.

Ukiachana na ubovu wa fikra zenyewe zilivyowasilishwa; ni wazi kwamba hujui sababu zinazosababisha hayo yanayotokea Afrika Kusini; lakini ufinyo wa uelewa wako, bado unajiona unajuwa matatizo yote ya huko Afrika Kusini!

Halafu, bila ya mategemeo, unarukia kuyasema ya Tanzania?

Sasa tuelewe nini, kwamba Tanzania, ili tusionekane kama hao wa Afrika Kusini, tukubali "...mgeni achume matunda ya ardhi ambayo wao wameshindwa (kuituliza?) ili tusionekane wabaguzi"?
Hiyo ndiyo itakuwa ishara ya sisi "kuipenda Tanzania"?

Haya ni mawazo ya namna gani haya!

👇👇

View: https://twitter.com/africatodayMG/status/2047672294051291528?t=7bTBnTpAZRtaET4Ht6JEUg&s=19
 
Unajipambanua kwelikweli kuwa mmoja wa watu wenye ulemavu wa fikra.

Angalia hayo maneno uliyoanza nayo kwenye hiyo mistari miwili ya mwanzo, uone kama inao uhusiano wowote na hayo yaliyofuata huko chini!.

Ukiachana na ubovu wa fikra zenyewe zilivyowasilishwa; ni wazi kwamba hujui sababu zinazosababisha hayo yanayotokea Afrika Kusini; lakini ufinyo wa uelewa wako, bado unajiona unajuwa matatizo yote ya huko Afrika Kusini!

Halafu, bila ya mategemeo, unarukia kuyasema ya Tanzania?

Sasa tuelewe nini, kwamba Tanzania, ili tusionekane kama hao wa Afrika Kusini, tukubali "...mgeni achume matunda ya ardhi ambayo wao wameshindwa (kuituliza?) ili tusionekane wabaguzi"?
Hiyo ndiyo itakuwa ishara ya sisi "kuipenda Tanzania"?

Haya ni mawazo ya namna gani haya!

View: https://twitter.com/MR__Sulaiman1/status/2047676754114883975?t=FLuPWoPatLuMJqZbKOqHug&s=19
 
Unajipambanua kwelikweli kuwa mmoja wa watu wenye ulemavu wa fikra.

Angalia hayo maneno uliyoanza nayo kwenye hiyo mistari miwili ya mwanzo, uone kama inao uhusiano wowote na hayo yaliyofuata huko chini!.

Ukiachana na ubovu wa fikra zenyewe zilivyowasilishwa; ni wazi kwamba hujui sababu zinazosababisha hayo yanayotokea Afrika Kusini; lakini ufinyo wa uelewa wako, bado unajiona unajuwa matatizo yote ya huko Afrika Kusini!

Halafu, bila ya mategemeo, unarukia kuyasema ya Tanzania?

Sasa tuelewe nini, kwamba Tanzania, ili tusionekane kama hao wa Afrika Kusini, tukubali "...mgeni achume matunda ya ardhi ambayo wao wameshindwa (kuituliza?) ili tusionekane wabaguzi"?
Hiyo ndiyo itakuwa ishara ya sisi "kuipenda Tanzania"?

Haya ni mawazo ya namna gani haya!

View: https://twitter.com/JKapitene/status/2047736024806076785?t=3S2Q0iE-dobtqueaCCrniQ&s=19
 
Unajipambanua kwelikweli kuwa mmoja wa watu wenye ulemavu wa fikra.

Angalia hayo maneno uliyoanza nayo kwenye hiyo mistari miwili ya mwanzo, uone kama inao uhusiano wowote na hayo yaliyofuata huko chini!.

Ukiachana na ubovu wa fikra zenyewe zilivyowasilishwa; ni wazi kwamba hujui sababu zinazosababisha hayo yanayotokea Afrika Kusini; lakini ufinyo wa uelewa wako, bado unajiona unajuwa matatizo yote ya huko Afrika Kusini!

Halafu, bila ya mategemeo, unarukia kuyasema ya Tanzania?

Sasa tuelewe nini, kwamba Tanzania, ili tusionekane kama hao wa Afrika Kusini, tukubali "...mgeni achume matunda ya ardhi ambayo wao wameshindwa (kuituliza?) ili tusionekane wabaguzi"?
Hiyo ndiyo itakuwa ishara ya sisi "kuipenda Tanzania"?

Haya ni mawazo ya namna gani haya!

View: https://twitter.com/CAPTAINPLANETGH/status/2047607125484925148?t=ZK6MoiWP63Q-pXmHgYI05w&s=19
 
Kama kubeba maboksi ughaibuni ni utumwa, mbona foleni za kuomba Visa kwenye balozi za hao wakoloni haziishi?
Udhaifu wa fikra.

Wanaamini huko kuna life, sawa na mtu aliye nje ya mkoa wa Dar es Salaam anaishi huko ndani-ndani, kama Shinyanga, Tabora na hajawahi kufika Dar es Salaam.

Anaamini kila aliyeko Mkoa wa Dar es Salaam ana maisha mazuri, kudhani kufanikiwa ni haraka n.k.
 
Unajipambanua kwelikweli kuwa mmoja wa watu wenye ulemavu wa fikra.

Angalia hayo maneno uliyoanza nayo kwenye hiyo mistari miwili ya mwanzo, uone kama inao uhusiano wowote na hayo yaliyofuata huko chini!.

Ukiachana na ubovu wa fikra zenyewe zilivyowasilishwa; ni wazi kwamba hujui sababu zinazosababisha hayo yanayotokea Afrika Kusini; lakini ufinyo wa uelewa wako, bado unajiona unajuwa matatizo yote ya huko Afrika Kusini!

Halafu, bila ya mategemeo, unarukia kuyasema ya Tanzania?

Sasa tuelewe nini, kwamba Tanzania, ili tusionekane kama hao wa Afrika Kusini, tukubali "...mgeni achume matunda ya ardhi ambayo wao wameshindwa (kuituliza?) ili tusionekane wabaguzi"?
Hiyo ndiyo itakuwa ishara ya sisi "kuipenda Tanzania"?

Haya ni mawazo ya namna gani haya!

View: https://twitter.com/SIKAOFFICIAL1/status/2047649944832540789?t=DDuiNVZcdQDdqbS8VE4-iA&s=19
 
Unajipambanua kwelikweli kuwa mmoja wa watu wenye ulemavu wa fikra.

Angalia hayo maneno uliyoanza nayo kwenye hiyo mistari miwili ya mwanzo, uone kama inao uhusiano wowote na hayo yaliyofuata huko chini!.

Ukiachana na ubovu wa fikra zenyewe zilivyowasilishwa; ni wazi kwamba hujui sababu zinazosababisha hayo yanayotokea Afrika Kusini; lakini ufinyo wa uelewa wako, bado unajiona unajuwa matatizo yote ya huko Afrika Kusini!

Halafu, bila ya mategemeo, unarukia kuyasema ya Tanzania?

Sasa tuelewe nini, kwamba Tanzania, ili tusionekane kama hao wa Afrika Kusini, tukubali "...mgeni achume matunda ya ardhi ambayo wao wameshindwa (kuituliza?) ili tusionekane wabaguzi"?
Hiyo ndiyo itakuwa ishara ya sisi "kuipenda Tanzania"?

Haya ni mawazo ya namna gani haya!

View: https://twitter.com/Chude_ND1/status/2047580044042662358?t=IjmOr7UBw4CaoWBwTTYKEg&s=19
 
Unajipambanua kwelikweli kuwa mmoja wa watu wenye ulemavu wa fikra.

Angalia hayo maneno uliyoanza nayo kwenye hiyo mistari miwili ya mwanzo, uone kama inao uhusiano wowote na hayo yaliyofuata huko chini!.

Ukiachana na ubovu wa fikra zenyewe zilivyowasilishwa; ni wazi kwamba hujui sababu zinazosababisha hayo yanayotokea Afrika Kusini; lakini ufinyo wa uelewa wako, bado unajiona unajuwa matatizo yote ya huko Afrika Kusini!

Halafu, bila ya mategemeo, unarukia kuyasema ya Tanzania?

Sasa tuelewe nini, kwamba Tanzania, ili tusionekane kama hao wa Afrika Kusini, tukubali "...mgeni achume matunda ya ardhi ambayo wao wameshindwa (kuituliza?) ili tusionekane wabaguzi"?
Hiyo ndiyo itakuwa ishara ya sisi "kuipenda Tanzania"?

Haya ni mawazo ya namna gani haya!

View: https://twitter.com/NigeriaStories/status/2047602495946387944?t=9EfwaK89qiYDu97uCZESPQ&s=19
 
Unajipambanua kwelikweli kuwa mmoja wa watu wenye ulemavu wa fikra.

Angalia hayo maneno uliyoanza nayo kwenye hiyo mistari miwili ya mwanzo, uone kama inao uhusiano wowote na hayo yaliyofuata huko chini!.

Ukiachana na ubovu wa fikra zenyewe zilivyowasilishwa; ni wazi kwamba hujui sababu zinazosababisha hayo yanayotokea Afrika Kusini; lakini ufinyo wa uelewa wako, bado unajiona unajuwa matatizo yote ya huko Afrika Kusini!

Halafu, bila ya mategemeo, unarukia kuyasema ya Tanzania?

Sasa tuelewe nini, kwamba Tanzania, ili tusionekane kama hao wa Afrika Kusini, tukubali "...mgeni achume matunda ya ardhi ambayo wao wameshindwa (kuituliza?) ili tusionekane wabaguzi"?
Hiyo ndiyo itakuwa ishara ya sisi "kuipenda Tanzania"?

Haya ni mawazo ya namna gani haya!

View: https://twitter.com/NigeriaStories/status/2047632707815907797?t=TOtVEwlXm8ExQ5QfcaUg6A&s=19
 
Unajipambanua kwelikweli kuwa mmoja wa watu wenye ulemavu wa fikra.

Angalia hayo maneno uliyoanza nayo kwenye hiyo mistari miwili ya mwanzo, uone kama inao uhusiano wowote na hayo yaliyofuata huko chini!.

Ukiachana na ubovu wa fikra zenyewe zilivyowasilishwa; ni wazi kwamba hujui sababu zinazosababisha hayo yanayotokea Afrika Kusini; lakini ufinyo wa uelewa wako, bado unajiona unajuwa matatizo yote ya huko Afrika Kusini!

Halafu, bila ya mategemeo, unarukia kuyasema ya Tanzania?

Sasa tuelewe nini, kwamba Tanzania, ili tusionekane kama hao wa Afrika Kusini, tukubali "...mgeni achume matunda ya ardhi ambayo wao wameshindwa (kuituliza?) ili tusionekane wabaguzi"?
Hiyo ndiyo itakuwa ishara ya sisi "kuipenda Tanzania"?

Haya ni mawazo ya namna gani haya!

View: https://twitter.com/LBGamestips/status/2047604172745318468?t=TXleHSAJ4JlrPjdQRT3KLQ&s=19
 
Back
Top Bottom