Alloyce PR
JF-Expert Member
- Nov 15, 2020
- 685
- 792
MAAJABU YA BARA LA AFRIKA.
"Tajiri yuko tayari kutoa mamilioni kufadhili sherehe yako ya kijinga, lakini ukimwomba TZS 500,000 ya mtaji, anapata 'stroke' ya ghafla.
Ni hapa pekee ambapo unaweza kuwa 'Most Wanted' (unatafutwa sana), si kwa sababu wewe ni jambazi, bali kwa sababu CV zako zimejaa kila ofisi hadi walinzi wanakujua kwa jina. Unasubiri 'fursa' kwa miaka 20 mpaka mvi zinaanza kuandika CV kichwani mwako, huku bado ukiwa umebeba bahasha ya kaki!"— Alloyce, P.R.