Nafasi ya amani Afrika
Chanzo cha picha,ABI
Kwa mujibu wa Global Peace Index 2026, Tanzania ipo katika nafasi ya 17 barani Afrika kwa kiwango cha amani, huku ikiwa ya 98 duniani. Inazidiwa hadi na Zambia
MY TAKE
Kila siku wanadai eti wanalinda amani. Wanalindaje amani ambayo haipo?
Wanalinda...
Huku waziri aloteuliwa na Samia akifungia vyama vya Siasa, Mtoto wa Rais wa Uganda amefungia vyombo vya habari.
Kisa mtangazaji wake alihoji kutata kujua kama Janeth Mke wa Museven amekufa huko Marekani au yupo hai.
Mnamo Machi 21, 2026.
Yoweri Museveni alisema kwaamba ana hofu kubwa juu ya...
Kuna taarifa imetoka kuhusu orodha ya mataifa 10 yenye amani zaidi Afrika. Tanzania haimo, je ni sahihi kuwa Tanzania haimo hata kwenye kumi bora yenye amani barani afrika. Toa maoni yako.
Nafasi ya amani Afrika
Teknolojia imekuja kwa kasi ila kasi ya afrika kwenye kuipokea inachangamoto kubwa.
Kwa magari ya umeme nimegundua mfumo wake wa betri umewekwa chini na si rafiki kwa nchi yetu.
kwa nini sio rafiki?.Embu tuangalie barabara zetu zenye mashimo,mawe,madimbwi,rafu na n.k.
Kwa uvumilivu wa betri...
Tutumie faida ya machafuko huko South Africa kukuza utalii Tanzania. Ikibidi itumike mbinu mbinu kuwa-support viongozi wa maandamano March to March na Dudula ili pawake kila siku kuharibika huku tunajaza watalii
Kumekuwepo Picha inayosambazwa kwenye mitandao ya Facebook, Instagram na X (zamani Twitter) kumuonesha mwanaume wa Zimbabwe aliyekwenda Afrika Kusini mwaka 2009 na kurejea nyumbani baada ya miaka 16 kufuatia mashambulizi dhidi ya wahamiaji (xenophobic attacks), ambapo amekuta nyumba ya familia...
Mbunge wa Buchosa, Eric Shigongo, amesema Tanzania inashika nafasi ya tano barani Afrika kwa shughuli za kubeti na nafasi ya tatu kwa unywaji wa pombe, akieleza kuwa hali hiyo si sifa nzuri kwa taifa lenye idadi kubwa ya vijana. Ameitaka Serikali kuweka mazingira yatakayowasaidia vijana...
Afrika ni seme akili zetu zinatembea pole pole mda fulani.Hata kuwaamsha vipi kuwa kuna hatari wao bado wame lala.
Mfano hapo south africa kwa kiwango cha uhamiaji ule hawa kuona tatizo siku zote usalama wanchi mpaka wanashituliwa na wananchi.
Ukija kwa mgabe mpaka nchi imeangukia pua ndio...
Rais wa Marekani Donald Trump amesema kuwa nchi hiyo ilitoa dola milioni 375 kwa ajili ya juhudi za kupambana na Ebola barani Afrika, huku pia akikosoa kile alichokitaja kama ushiriki mdogo wa kifedha kutoka sehemu zingine duniani.
Alisema: "Tulilipa Afrika dola milioni 375 kwa ajili ya Ebola."...
Nchi nyingi za Afrika zimekuja na katiba mpya ila imekua ni ngumu sana kwa hizo katiba kutamka waziwazi kuwashughulikia mafisadi ama kwa kuwafunga au kuwanyonga
Ni ngumu sana kwa nchi ya Afrika kusikia high profile politician ambaye ni fisadi kufungwa au kunyongwa kwanini inakua hivi
Sababu...
Wakati wa ukoloni, Wazungu waliona thamani ya madini ya Afrika mapema sana. Walitambua kwamba dhahabu, almasi, shaba na madini mengine yalikuwa msingi wa nguvu za kiuchumi na kisiasa duniani.
Badala ya kuruhusu Waafrika kutumia rasilimali hizi kama njia ya kujenga miundombinu na kuendeleza...
My Take
Jarida Maarufu la Habari za Intelijensia na Usalama Afrika "The African Report" limechapisha habari hii kuhusu Wakuu wetu.
Kama sio ukweli na chokochoko za kibeberu kutia chumvi basi ni vyema Serikali ikakanisha.
Mjumbe Hauwawi...
Habari wakuu,
Leo Juni 9, 2026, kampuni ya Anthropic (watengenezaji wa Claude) wamezindua mifano miwili mipya ya akili unde - Claude Fable 5 na Claude Mythos 5. Hii ni habari kubwa kwenye dunia ya teknolojia, na ina mambo ya kujadili hasa kwetu sisi tunaofuatilia masuala ya haki za kidijitali...
Tanzania imetajwa kuwa miongoni mwa nchi 10 zenye madeni makubwa katika Bara la Afrika ikishika nafasi ya nane kwa kuwa na deni kubwa la nje, huku nchi ya Misri ikiongoza kwa kuwa na deni la zaidi ya dola bilioni 7.2 (Sh 18.76 trilioni).
Taarifa iliyotolewa na Shirika la Utangazaji la Uingereza...
Kukosoa serikali ni jambo la kawaida na muhimu katika demokrasia. Lakini ukosoaji unapopoteza msingi wa ukweli na kuhamia kwenye propaganda, taifa lote hupoteza nafasi ya kufanya mjadala wa maana kuhusu maslahi yake ya muda mrefu.
Just Imagine viongozi wa upinzani wanasema Rais Samia ameenda...
Kumekuwa na kauli inayorudiwa mara kwa mara kwamba sababu ya Afrika kutokuendelea ni dini, na mara nyingi hoja hiyo hulenga zaidi Uislamu. Lakini je, hoja hiyo ina uzito wa kutosha inapochunguzwa kwa kina?
1. Kwanza, tujiulize: maendeleo ni nini?
Maendeleo si suala la dini pekee wala kutokuwa...
Tanzania inaweza kuhusishwa na mfano wa Strait of Hormuz kwa sababu ya umuhimu wake wa kiuchumi na kijeshi kama njia kuu ya usafirishaji wa mafuta na bidhaa nyingine muhimu.
Strait of Hormuz ni ghuba nyembamba inayounganisha Bahari ya Hormuz na Ghuba ya Uajemi, na ni muhimu kwa usafiri wa...
Sawa ni super pawa ila sijawahi kuona sehemu urusi anapounga mkono pakawa salama zaidi ya watu kupitia mateso,vita visivyo kuwa na ukomo,maendeleo yanakuwa kwenye jeshi tu na watawala wala sio wananchi.
Tukiwachekea hawa tuna ungana na historia za wengine.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.