Afrika ni Afrika tu aisee!

Afrika ni Afrika tu aisee!

ameshindwa kumfukuza huyo mdudu badala ya kumuua?

wewe unaona umeandika nini hapo, swali lako unaona lina mtiririko sahihi wa lugha?
Ulitaka kumaanisha hivi? 👇🏻
Kwa nini hakumfukuza mdudu, akaishia kumuua?

au.. kwa nini alimfukuza wakati alipaswa kumuua?
 
Back
Top Bottom