afrika

  1. H

    JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa (EAC), Bi. Veronica Nduva, akizungumza na waandishi wa habari kuhusu maandalizi ya Mkutano wa 25 wa Wakuu wa (EAC)

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Bi. Veronica Nduva, akizungumza na waandishi wa habari kuhusu maandalizi ya Mkutano wa 25 wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya hiyo, unaotarajiwa kufanyika tarehe 7 Machi 2026 jijini Arusha.
  2. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Kuna nchi Afrika inazifikia Iran, North Korea kwenye maendeleo ya kiteknolojia?

    Kuna nchi Afrika inazifikia Iran na Korea Kaskazini nchi zilizoishi kwenye vikwazo vya kimataifa kwa muda katika maendeleo ya sayansi na teknolojia ?
  3. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Ni aibu Rais anamkaribisha Rais Wa Ghana kufungua mwaka wa mahakama ya Afrika huku Tanzania ilishajiondoa ili Raia wasifungue kesi

    Tanzania ilijiondoa kupitia ibara 36(4) yq optional protocol to African court of human rights. Ikipinga raia na non governmental kwenda kuishitaki moja kwa moja kwenye hii mahakamama. Hii ni kwa sababu kesi nyingi dhidi ya serikali ya CCM juu ukiukwaji wa haki za binadamu ziliibuka na kuiabisha...
  4. PLOII

    JamiiForums Tanzania Naomba kuuliza, kuna Kiongozi yeyote wa Afrika anatumia mabavu kuongoza kwa kuamini Russia na China watamsaidia likimkuta? This is a shame!

    Habari ya Sunday wana GT! Nimetafakari sana kuhusu Ongozi (sio sanifu) zetu za kiafrika za kutumia nguvu nyingi kupitiliza kwa kukandamiza uhuru wa Raia na mali zao. Hii imekuwa ni kawaida kwa viongozi wetu wa kiafrika na wale wanaotoka Dunia ya tatu na ya kwanza nje ya Afrika wenye viashiria...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Anguko la Ayatollah litachochea Maanguko zaidi ya Madikteta hasa Afrika, CCM jiandaeni.

    Baada ya Kifo cha Ayatollah na kukamatwa kwa Maduro. Uhai wa Serikali za kidikteta dunia utakuwa mfupi sana hasa Afrika Kwa nini naona hali hii? China ambaye anaonekana ni mbadala wa Marekani hakufanya wala kutoa msaada kwa Maduro wala Ayatollah wakati wako kwenye wakati mgumu na hata Silaha...
  6. O

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Afrika (AU) umeonyesha wasiwasi mkubwa kuhusu mashambulizi ya Marekani na Israel dhidi ya Iran.

    Kamisheni ya Umoja wa Afrika imeonyesha wasiwasi mkubwa kuhusu mashambulizi ya kijeshi ya Marekani na Israel dhidi ya Iran, ikisema hatua hiyo inaongeza ukali wa mzozo Mashariki ya Kati.
  7. kavulata

    JamiiForums Tanzania Demokrasia ni lango kuu la migogoro Afrika, hakuna nchi imenufaika

    Demokrasia na haki inaanzia majumbani kwenye ngazi ya famila, inalelewa mashuleni, inakomalia vyuoni na kuanza kutumika Ikulu, taasisi za serikali, mahakamani na bungeni. Juzi niligombana sana na mke wangu kwasabu alimpiga sana mtoto wetu wa miezi 8 eti kwa mujimu wa yeye alitenda kosa la...
  8. Dalton elijah

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Gazeti la mwananchi lilichapisha kuwa Watazania wanaongoza kwa ujinga Afrika

    Kwa siku za hivi karibuni kumwepo na jalada la kipande cha gazeti la mwananchi ambacho kinasomeka kuwa watazania wanaongoza kwa ujinga afrika Ufuatiliji unaonesha kuwa Kichwa hicho cha Habari ni potofu hakina ukweli wowote na kinalenga kupotosha umma dhidi ya watanzania Pia ufutailiaji zaidi...
  9. NGAYANIMO

    JamiiForums Tanzania Vita barani Afrika

    VITA BARANI AFRIKA.. Nchi ya kwanza kujitawala upya katika Afrika ni nchi za Afrika ya Kusini zilizojiunga na kujiendesha wao wenyewe katika mwaka 1910. Misri, katika mwaka wa 1922 walikuwa wanajiendesha wenyewe, na Tangier katika mwaka wa 1925. Madola mengi ya Afrika yalianza kupigania uhuru...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Hatimaye vikwazo vitano visivyo vya kikodi vyapata ufumbuzi mpaka wa Tunduma/Nakonde kuchochea biashara za kimataifa kusini mwa Afrika

    HATIMAYE VIKWAZO VITANO VISIVYO VYA KIKODI VYAPATA UFUMBUZI MPAKA WA TUNDUMA/NAKONDE KUCHOCHEA BIASHARA ZA KIMATAIFA KUSINI MWA AFRIKA. Vikwazo vitano visivyo vya kikodi kati ya kumi vilivyokuwa vikisababisha msongamano mkubwa wa malori na usumbufu kwa wafanyabiashara na wasafirishaji katika...
  11. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Udumavu wa akili unaiweka Afrika nyuma kwenye mambo mengi ya muhimu ya kidunia

    Ili Afrika iweze kuendelea sawa na sehemu kubwa ya dunia ifanyavyo basi ni vyema ikakabiliana na changamoto kubwa ya udumavu wa akili unao ikumba sehemu kubwa ya watu hasa kusini mwa jangwa la Sahara. Viongozi wanao lalamikiwa kuwa viongozi wasiofaa ndio hao hao waliopo na wanaotoka katika...
  12. Q

    JamiiForums Tanzania Tumeua Kidogo tu, Nonsense of the highest level

    Alitaka wauawe wangapi ndipo aseme walitosha kuwa wengi. Kwa mtu mwenye akili timamu na hofu ya Mungu hawezi tamka maneno kama hayo, ni mnyama pekee asiye na utu au hayawani au wakala wa shetani ndiye anaweza kusema hivyo. Ukiona mtu ana pongeza watu kuuawa kwa sababu yeyote ile hata humu JF...
  13. S

    JamiiForums Tanzania Majibu ya Mange kwa Rais wa Afrika Kusini: Unaweza kuombea mkopo benki na riba ukapunguziwa

    Sijui huyu bwana aliongea nini hasa kuhusu ukoloni mambloeo wa wazungu, ila Mwanaharakati, Mange Kimambi, kamjibu hivi kupitia mtandao wa X: No. @CyrilRamaphosa Africa must confront black colonialism before it starts shouting about white colonialism returning. The real and present danger to...
  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Machumu: Rais Samia ameteuliwa kuwa kinara wa Umoja wa Afrika katika masuala ya Afya ya Uzazi Mama na Mtoto

    Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu, Bakari Machumu amezungumza na Vyombo vya Habari kuhusu Ziara ya Kikazi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt Samia Suluhu Hassan Addis Ababa, Ethiopia, leo Februari 16, 2026. Machumu amesema sehemu ya mafanikio ni Rais Samia kuteuliwa kuwa...
  15. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Ateuliwa Kuwa Bingwa Wa Afya ya Mama na Mtoto Barani Afrika

    Ndugu zangu Watanzania, Usishindane na aliyebarikiwa na Mungu, huwezi kumshusha aliyeinuliwa kwa mkono wa Mungu,Huwezi Kumpaka matope na kumchafua aliyepewa kibali na Mungu . Rais Samia kwa hakika ni chaguo la Mungu,ni Mpango wa Mungu. Alizaliwa kwa makusudi maalumu katika Ardhi hii.. ni Rais...
  16. L

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Ashiriki Mkutano Wa Umoja Wa Afrika Kuhusu G20. Hoja Zake Nzito Zaendelea Kuing'arisha Tanzania

    Ndugu zangu Watanzania, Kwa hakika Tumepata Rais Sasa. Kwa hakika Tumepata nahodha hodari ,kwa hakika tumepata Jemedari hodari. Kwa hakika watanzania tuna kiongozi mbele yetu tunayepaswa kujivunia. Tuna kila sababu ya kusema asante Mungu kwa kutupatia Rais Samia . Leo Rais wetu Mpendwa...
  17. F

    JamiiForums Tanzania Dhana kwamba jasusi lazima awe “mtu safi” ndiyo inaua ujasusi wa Afrika

    Nchi nyingi za Afrika zimejifunga kwenye dhana potofu kwamba ili mtu awe jasusi lazima awe na tabia njema, rekodi safi ya kisheria, asiwe na “makovu” ya maisha, na aonekane kama askari au mtumishi wa serikali wa mfano. Dhana hii si tu ya kizamani ni hatari kwa usalama wa taifa. Ujasusi si...
  18. H

    JamiiForums Tanzania Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inashiriki Mkutano wa 48 wa Baraza la Mawaziri Afrika unaofanyika jijini Addis Ababa, Ethiopia kuanzia Februari 11-12

    Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inashiriki Mkutano wa 48 wa Baraza la Mawaziri Afrika unaofanyika jijini Addis Ababa, Ethiopia kuanzia Februari 11-12, 2026. Ujumbe wa Tanzania katika mkutano huo unaongozwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mheshimiwa Mahmoud Thabit...
  19. PAYE

    JamiiForums Tanzania Burkina Faso yavifuta vyama vyote vya siasa

    Serikali ya Burkinabe imefuta rasmi Vyama na Mashirika yote ya Kisiasa nchini humo Mamlaka ikisema uamuzi huo ni hatua kuu katika ujenzi wa Serikali, ndani ya mfumo wa mpito unaoendelea tangu Mapinduzi ya 2022. Baraza la Mawaziri la Burkina Faso limebainisha kuwa kuenea kwa Vyama vya Siasa...
  20. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Tanzania imeshika nafasi ya 22 Afrika kwa kuwa na IQ (uwezo wa akili) mkubwa zaidi barani Afrika

    Tanzania imetajwa na mtandao wa International IQ Test kuwa ya 22 barani Afrika kwa kuwa na kiwango cha juu cha uwezo wa akili kwa mwaka 2026, huku Algeria, Tunisia na Morocco zikiongoza orodha hiyo kwa upande wa bara la Afrika. Kwa Afrika Mashariki, Kenya imeongoza imeshika nafasi ya kwanza...
Back
Top Bottom