afrika

  1. ChoiceVariable

    JamiiForums Tanzania UN yaidhinisha ramani yenye Ukubwa halisi ya Afrika huku USA Wapinga.Tu Damp Dini, Elimu na mifumo Yao ya Utawala.

    My Take Hawa kima weupe walitufogosha sana ,ni wakati wa kuwatupia virago kuanzia dini zao,Elimu zao na mifumo Yao ya usalama Ili tururishe ukuu wa muafrika. https://www.instagram.com/p/Dc5oAiZjT0Q/?img_index=2&igsi=NnhsbDFnY3l1Zml0
  2. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Umoja wa Mataifa (UN) wapiga kura kupitisha ramani mpya ya dunia ili kuonyesha ukubwa halisi wa Afrika

    Umoja wa Mataifa umepiga kura ya kupitisha ramani mpya rasmi ya dunia iliyobuniwa kuonyesha ukubwa halisi wa kijiografia wa bara la Afrika na maeneo mengine ya kanda ya ikweta. Mabadiliko haya yanalenga kuchukua nafasi ya "Mercator projection" (ramani ya kale ya Mercator), ambayo imekuwa...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania DAWASA: Mradi wa Usafi wa Mazingira Afrika Mashariki wa kuchakata majitaka umefikia Asilimia 88

    Mradi wa kwanza wa kisasa na usafi wa Mazingira Afrika Mashariki wa kuchakata majitaka Mbezi Beach unaotekelezwa na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) umefikia asilimia 88 ya utekelezaji wake huku ukitajwa kunufaisha kaya takribani 11,000 katika Wilaya ya Kinondoni...
  4. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Polisi wamwagiwa maji nchini Afrika kusini

    Kumekuwepo na video iliyosambazwa kwenye mitandao ya kijamii ikidaiwa kuonyesha raia wakimwagia maji magari ya polisi. Hata hivyo, kichwa cha habari kilichoambatanishwa na video hiyo kinapotosha uhalisia wa tukio. Baadhi ya watumiaji wa mitandao ya kijamii wameeleza kuwa video hiyo ilirekodiwa...
  5. kavulata

    JamiiForums Tanzania Uimara wa CCM Afrika unatokana na mchanganyiko wake.

    CCM ni kati ya vyama vikongwe na imara sana Afrika chenye uwezo wa kuongoza miaka 50 mingine bila kutetereka. Kinaweza kuhimili changamoto ndogo na kubwa za ndani na nje ya chama bila kupiga chafya nyingi. Uimara wa CCM unatokana na usawa katika mchanganyiko wake wa wanachama na viongozi ambao...
  6. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania EACOP: Bomba la mafuta la Afrika Mashariki

    Thamani: USD Bilioni 3.5+ | Urefu: Km 1,443 Kwa Tanzania ni fursa ya ajira, biashara, mapato, uwekezaji na kuimarisha nafasi yetu kama lango la nishati Afrika Mashariki.
  7. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania Kuelekea safari yangu ya mziki, jana nikakutana na mchambuzi mkubwa Afrika, Hopetyga tz

    Kwa wanao mfahamu HOPETYGA TZ ni mchambuzi wa mambo ya BURUDANI, Jana nika fanikiwa kukutana nae maeneo ya jaws corner, zenji lakini hatukuzungumza chochote, niliona kama ana mgeni japo nilifarijika sana, nilimtafta insta akadai ndio yeye. Kuelekea safari yangu ya mziki inahitaji promo, online...
  8. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Balozi Ahmed Haggag: Bara la Afrika linahitaji kuacha utegemezi wa nje na kujiamini

    CAIRO, Misri: Balozi Ahmed Haggag, Mshauri wa Umoja wa Waandishi wa Afrika, amewataka Waandishi wa Habari kuongoza kampeni ya kuitangaza Afrika na kukuza uchumi wake kwa kutumia rasilimali zake wenyewe. Akizungumza na Waandishi wa nchi mbalimbali za Afrika Jijini Cairo, Balozi Haggag amesema ni...
  9. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Watanzania 173 waliokuwa Afrika Kusini warejea nchini

    Watanzania 173 waliokuwa wakiishi katika Jimbo la KwaZulu-Natal, Afrika Kusini, wamewasili nchini baada ya kuamua kurejea nyumbani kwa hiari kufuatia vuguvugu la kupinga wageni linaloendelea nchini humo. Zoezi la kuwarejesha raia hao limefanyika kwa ushirikiano kati ya Serikali ya Tanzania...
  10. Mohamed Said

    JamiiForums Tanzania Afrika Inatishwa na Historia Yake Yenyewe

    Mzungumzaji anaeleza kuwa viongozi waliopo madarakani wanataka kuandika historia inayowatukuza wao pekee badala ya mashujaa wa kweli: "Afrika inaogopa historia yake yenyewe Hili limekuwa tatizo kubwa sana." "...viongozi wa leo hawa waliokuja kuchukua madaraka baada ya uhuru wao wanataka...
  11. Yoyo Zhou

    JamiiForums Tanzania 'Uwezo wa kupita kiasi au fursa?' Afrika yatoa jibu tofauti na nchi za Magharibi

    Ripoti iliyotolewa hivi karibuni na Gazeti la South China Morning Post la Singapore inasema, kutokana na bei ya magari ya umeme, betri, na vipuri vilivyotengenezwa nchini China kuendelea kushuka, nchi nyingi za Afrika zinatumai kutumia fursa hii kupunguza gharama za mchakato wao wa nishati ya...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Afrika kuna mambo ya ajabu sana. Mtu mwenye cheo kama hicho anashikiwa bastola na kulazimishwa kwa nguvu!

    Yaani Wafrika kwa kujali matumbo yao na maslahi yao ni noma. Mtu anashikiwa chuma kisa tu maslahi yao yabaki kuwa salama. Afrika sio mahala salama pa kuishi.
  13. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Viongozi Wataka Ushiriki Mkubwa wa Vijana katika Ubunifu wa Kidijitali Afrika

    Viongozi wa Serikali, sekta sekta binafsi na wadau wa teknolojia wametoa wito wa kuongeza uwekezaji kwa vijana katika ubunifu na ujuzi wa kidijitali ili kuiwezesha Afrika kutoka katika utegemezi wa teknolojia na kuwa mzalishaji wa suluhu za kidijitali zinazoendana na changamoto za maendeleo ya...
  14. C-C Digital Pro

    JamiiForums Tanzania Civilian-Coin: Narudia tena, Kuna Rais Afrika Mashariki atajiudhuru na sio Makamu wake.

  15. Dalton Elijah

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Je, ni kweli kuwa makampuni ya Bill gates yanaingiza matunda yasiyokuwa na mbegu Afrika?

    Kumekuwa na madai kwamba Bill Gates na baadhi ya mabilionea pamoja na wanasayansi wanaingiza kwa makusudi katika mfumo wa chakula matunda yasiyo na mbegu au yasiyoweza kuzaliana, kwa lengo la kuwafanya watu wategemee mbegu zinazodhibitiwa na makampuni yao. Katika chapisho hilo, mdai anasema...
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waandishi wa Habari Afrika Waanza Kozi ya 63 Cairo Kudumisha Ushirikiano wa Kimedia

    Shughuli za Kozi ya 63 ya Ufundishaji ya Umoja wa Waandishi wa Habari wa Afrika iliyopewa jina la "Mahfouz El-Ansary" zimezinduliwa rasmi leo asubuhi mjini Cairo kwa ushirikiano wa Baraza Kuu la Udhibiti wa Vyombo vya Habari na Wizara ya Mambo ya Nje ya Misri, Kozi hiyo inashirikisha waandishi...
  17. Alexido jz instagram

    JamiiForums Tanzania Wabongo bwana, eti huyu alikua anamtumia hela baba yake amjengee NYUMBA, akiwa afrika kusini

    Video imepatikana kijana wetu aloewauwa baba yake na baba yake mdogo kisa walikula hela zake za kumjengea NYUMBA alipo kua afrika kusini, huyu kijana ndio yule wa mwananyamala. Hivi huyu niwakutuma kweli hela Kwa unavo muona
  18. L

    JamiiForums Tanzania China na Afrika zajivunia matunda ya ushirikiano wake kwenye vyombo vya habari

    Kuanzia Agosti 19 hadi 21, Beijing ilipokea ugeni mzito kutoka nchi mbalimbali za Afrika. Ugeni huu ulikuja kuhudhuria Mkutano wa 7 wa Ushirikiano wa Vyombo vya Habari kati ya China na Afrika, ambao uliandaliwa na Idara ya Taifa ya Redio na Televisheni, Serikali ya Manispaa ya Mji wa Beijing, na...
  19. Kijakazi

    JamiiForums Tanzania Ukatili Afrika kwa nini? Ufunguzi wa KFC (kentucky fried chicken) ghana angalia mwenyewe!

    wakati rais wa communist ghana akizurura dunia nzima kudai fidia kwa utumwa uliofanyika miaka 400 iliyopita, nchini kwake ghana watu wake wanataka kuuwana sababu ya kuku wa kfc, watu wake wanaishi kama wanyama, hata wanyama wana imani na huruma kwa kiasi fulani, karibu ...
  20. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Uzinduzi wa JNHPP: Tanzania Kilele cha Nishati Afrika

    Tanzania inasimama tena kwenye kilele cha mafanikio makubwa ya kiuchumi na kiufundi barani Afrika huku taifa likijiandaa kwa ajili ya uzinduzi rasmi wa mradi mkubwa wa kimkakati wa kuzalisha umeme wa Bwawa la Mwalimu Nyerere (JNHPP) huko Rufiji Jumamosi hii. Kila Mtanzania mwenye uzalendo...
Back
Top Bottom