- Source #1
- View Source #1
Kumekuwepo na chapisho linalosambaa kwenye mitandao ya kijamii huhusani Facebook likiwa na nukuu ambayo inatoa ijumbe kutoka kwa raisi wa Uganda yoweri museven amesema kuwa afrika ina wajinga wengi sana.
Katika chapisho hilo ambalo limewekwa kwenye mitandao ya kijamii lina nukuu ya ujumbe ufuatao '"Afrika Ina wajinga wengi sana, mtu anakunywa pombe na anakula hovyo halafu anakufa akiwa bado na miaka 25 watu wanasema Mungu amemuita!!! Mungu anawezaje kumuita mtoto mdogo namna hiyo?... Mbona wengine hawaitwi?... Mimi sio mjinga siwezi kufa kijinga namna hiyo" - Yoweri Museveni
je ni upi uhalisia wa chapisho hilo?

- Tunachokijua
- Kumekuwa na Nukuu inayosambaa katika baadhi ya mitandao a kijamii na kudaiwa kuwa ietolewa na Rais wa Uganda, Yoweri Museveni akisema kuwa "Afrika ina wajinga wengi sana.
JamiiCheck imefuatilia na kujirirdhisha kuwa hakuna kumbukumbu yoyote inayoonesha kuwa Rais Museveni aliwahi kutuoa ujumbe huo hadharani.
Hakuna Chanzo cha kuaminika kutoka nchini Uganda ama nje ya Uganda kilichochapisha Taarifa ama nukuu hiyo. Aidha hakuna kumbukumbu katika kurasa zake rasmi za mitandao ya kijamii kuonesha kuwa alichapisha taarifa hiyo.