afrika

  1. L

    JamiiForums Tanzania Ushirikiano kati ya China na Afrika kwenye sekta ya nishati mpya wahimiza maendeleo ya Afrika

    Katika majira ya joto ya mwaka huu, sehemu kubwa ya eneo la kaskazini mwa dunia ilikuwa na joto kali kiasi kwamba katika baadhi ya maeneo barabara ziliyeyuka, misitu iliwaka moto, watu walipoteza maisha na hata kuyumbisha baadhi ya mifumo ya nishati. Hali hii imekumbusha tena umuhimu wa...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Kongani za viwanda, zawa hatua muhimu kwenye kuhimiza ushirikiano kati ya China na Afrika

    Moja kati ya misemo ya China inayofahamika sana duniani ni kuwa, njia nzuri zaidi ya kumsaidia mtu mwenye njaa, ni kumfundisha namna ya kuvua samaki, kwani njia hiyo ni endelevu zaidi kuliko kumpatia mtu samaki. Uzuri wa China ni kuwa kauli zake huwa zinafuatana na vitendo, na hiki ndicho...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Mwitiko wa China kwenye Ebola nchini DRC waonyesha China ni mshirika wa kuaminika kwenye sekta ya afya kwa Afrika

    Kuanzia nusu ya pili ya mwaka huu, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kong ilikumbwa na mlipuko mpya wa ugonjwa wa Ebola, ambao hadi kufikia tarehe 22 mwezi Agosti, watu zaidi ya 5,500 walikuwa wamethibitishwa kuambukizwa ugonjwa huo, na zaidi ya 2,600 walikuwa wamethibitishwa kuambukizwa. Kwa kuwa...
  4. Lycaon pictus

    JamiiForums Tanzania Tembo wa Afrika wanaweza kufugwa kama wale wa Asia?

    Tembi wa Afrika Wanaweza kufugukia kama wale wa Asia? Yule Hannibal alitumia tembo wa kutoka wapi?
  5. H

    JamiiForums Tanzania UNIDO yaahidi kuifanya Tanzania kuwa nchi ya mfano barani Afrika katika utekelezaji wa Mpango Jumuishi wa Ushirikiano na UNIDO (PCP)

    UNIDO yaahidi kuifanya Tanzania kuwa nchi ya mfano barani Afrika katika utekelezaji wa Mpango Jumuishi wa Ushirikiano na UNIDO (PCP) Ahadi hiyo ilitolewa na Bi. Fatou Haidara, Naibu Mkurugenzi Mkuu wa UNIDO alipofanya mazungumzo na Mheshimiwa Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), Waziri wa Mambo...
  6. Nafaka

    JamiiForums Tanzania Kuwekeza Afrika na kufanya biashara si kazi rahisi

    Wewe imagine anachopitia Sunderland kwa sasa? Mkataba kaingia na TFF wizara ikiwa anaongozwa na waziri aliyepita. Wamesign mkataba wa miaka 5 mbele ya makamera. Mchakato wa kutengeneza jezi unajulikana mtengenezaji hawezi kufyatua jezi bila kuwatumia mockup au hata sample TFF. Naibu waziri...
  7. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Rais Samia UNGA81: Afya Mama na Mtoto Afrika

    Tukutane New York!!!!!! Tanzania ikiendelea kuongoza juhudi za kuimarisha afya na ustawi wa mama na mtoto barani Afrika. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, Bingwa wa AU wa Afya ya Mama na Mtoto, atakuwa mwenyeji wa tukio la UNGA81 kuhusu - Malengo matatu...
  8. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania Afrika kivyetuvyetu: Polisi wa Nigeria wanachunguza vifo vya watu 37 waliokuwa wakishikiliwa kwa tuhuma za uchimbaji haramu wa madini

    Watu thelathini na saba walioshutumiwa kwa uchimbaji madini haramu kaskazini-magharibi mwa Nigeria wamefariki wakiwa kizuizini, maafisa wa eneo hilo wanasema. Polisi wameanzisha uchunguzi kuhusu vifo hivyo, ambavyo Kikosi cha Usalama na Ulinzi wa Raia cha Nigeria (NSCDC) kililaumu mlipuko wa...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Ligi namba 5 Afrika haifai kuwa na waamuzi kama wa jana aliyewanyonga Geita ili kuwapa faida Yanga

    Kwa miaka kadhaa kumekuwa na malalamiko ya waamuzi kuchezesha kwa maelekezo ya timu zenye uwezo wa kifedha ama nguvu serikalini. Kwa kupunguza ama kuondoa kabisa malalamiko kama hayo TFF ilifanya jambo la maana sana kuleta vfs iliyokusudiwa kupunguza makosa ya kibinadamu. Hata hivyo bado...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu: Afrika ijenge uwezo wake wa kusimamia na kuzalisha Huduma za Afya

    DKT. MWIGULU: AFRIKA IJENGE UWEZO WAKE WA KUSIMAMIA NA KUZALISHA HUDUMA ZA AFYA WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameitaka Afrika kujenga uwezo wake wa ndani wa kugharamia, kusimamia na kuzalisha mahitaji muhimu ya huduma za afya, badala ya kutegemea misaada na mifumo ya nje kwa muda mrefu...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) na Katibu Mkuu Balozi Dkt. Samwel Shelukindo wakiwa kw

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Dkt. Mahmoud Thabit Kombo (Mb.) na Katibu Mkuu Balozi Dkt. Samwel Shelukindo wakiwa kwenye picha ya pamoja na Waheshimiwa Mabalozi wanaowakilisha nchi zao Tanzania, pamoja na Wawakilishi wa Mashiriki na Taasisi za Kimataifa nchini...
  12. Traxtion

    JamiiForums Tanzania Raia 134 wa Burundi wamekamatwa Tanzania huku mvutano wa uhamiaji ukizidi kushika kasi katika ukanda wa Afrika Mashariki

    Tanzania imewakamata raia 134 wa Burundi kwa madai ya kuingia nchini kinyume cha sheria, huku hatua za kudhibiti uhamiaji zikizidi kuimarika Afrika Mashariki. Mamlaka nchini Tanzania katika Mkoa wa Mara zimesema raia hao wa Burundi walikamatwa wakati wa operesheni iliyolenga watu wanaoishi...
  13. Pfizer

    JamiiForums Tanzania Balozi Omar aongoza ujumbe wa Tanzania mkutano wa Koafec-Korea Kusini kujadili akili unde katika maendeleo ya Bara la Afrika

    Na Benny Mwaipaja, Seoul, Korea Waziri wa Fedha, Mhe. Balozi Khamis Mussa Omar (Mb), amewasili Seoul nchini Korea Kusini, ambako anaongoza Ujumbe wa Tanzania kwenye Mkutano wa 8 wa siku nne wa Jukwaa la Ushirikiano wa Kiuchumi kati ya Korea Kusini na nchi za Afrika (Korea-Africa Economic...
  14. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Afrika Ijitegemee Huduma za Afya - PM Nchemba

    Nchi za Afrika zinapaswa kujenga uwezo wake wa ndani wa kugharamia, kusimamia na kuzalisha mahitaji muhimu ya huduma za afya, badala ya kutegemea misaada na mifumo ya nje kwa muda mrefu-Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba 📍Arusha-Tanzania 🗓️Septemba 09, 2026 ———————————————- Ameyasema hayo wakati...
  15. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu: Afrika ijenge uwezo wake wa kusimamia na kuzalisha huduma za Afya

    WAZIRI MKUU, Dkt. Mwigulu Nchemba, ameitaka Afrika kujenga uwezo wake wa ndani wa kugharamia, kusimamia na kuzalisha mahitaji muhimu ya huduma za afya, badala ya kutegemea misaada na mifumo ya nje kwa muda mrefu. Dkt. Mwigulu ameyasema hayo leo, Jumatano Septemba 09, 2026, wakati akimwakilisha...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Makabila Maarufu Afrika

    Ukiachana na Wamasai ambao wapo Kenya na Tanzania. Wachagga ndio Kabila pekee ambalo lipo Tanzania tu lilotokea kwenye hii list. Cha kushangaza Wachagga sio wanaongoza kwa idadi ya watu hapa Tanzania kama ilivyo kwa nchi nyingine nyingi ambazo makabila yaliyotokea ndio yanaongoza kwa wingi...
  17. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania Lini Afrika itapata Ballon d'Or tena?

    Afrika imewahi kuwa na mshindi mmoja tu wa Ballon d'Or, na huenda ikasubiri zaidi kuona mchezaji mwingine akifuata nyayo za George Weah baada ya orodha ya mwaka huu kutangazwa. Nahodha wa Morocco, Achraf Hakimi, na mshambuliaji wa Senegal, Sadio Mane, ndio wachezaji wawili pekee kutoka Afrika...
  18. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Abdul kufanya Ziara kwa Wakuu wa NCHI Afrika, ni Maandalizi ya Kutaka URAIS ?

    Ninauliza !!. Kwa upande mmoja, Kikwete anasukuma Kete yake ya Kumpachika RIDHIWANI. Kwa Kikwete, RIDHIWANI anapangwan kuja kama kinachoitwa' Msuluhishi, Mtuliza Mambo ' . Suala Moja la Uhakika linalowasumbua Timu Samia na Timu Kikwete ni UWAJIBIKAJI WA MAUAJI YA OKTOBA 29!!.
  19. bless on

    JamiiForums Tanzania Utajiri wa Musk: Miaka 14 ya Bajeti za Afrika Mashariki

    Takwimu mpya zinashtua na kuumiza kichwa kwa pamoja: Utajiri wa Dola Trilioni 1 ($1,000,000,000,000) wa Elon Musk unaweza kuendesha bajeti zote za Tanzania, Kenya, na Uganda kwa miaka 14 mfululizo! Yaani mtu mmoja ana hela ya kulisha, kuhudumia, na kuendesha nchi tatu nzima za Afrika Mashariki...
  20. Jannatul Firdaus

    JamiiForums Tanzania YANGA; Tunakwenda kuitikisa Afrika

    Klabu ya Yanga SC imewatoa hofu mashabiki na wanachama wake kuelekea msimu mpya wa mashindano, ikisisitiza kuwa mikakati iliyowekwa inalenga kufanya makubwa zaidi si tu katika soka la ndani, bali pia katika ngazi ya bara la Afrika. Akizungumza kuhusu mwelekeo wa timu hiyo, Afisa Habari wa Yanga...
Back
Top Bottom