africa

  1. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Equity Bank is one of the most digitalized banks not just in Africa but in the whole world.

    Hii benki imejikita kabisa katika mambo ya teknolojia. Transactions zao nyingi saa hii zinafanyiwa nje ya majumba ya benki ( nje ya banking halls). Wanafanya transactions nyingi kutumia mobile apps na other digital technologies. Yaani ni benki chache sana duniani zimeweza kudigitalize kiasi cha...
  2. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania JKIA handled the highest cargo volumes in Africa in 2020

    Wenye wivu wajinyonge. JKIA handled highest cargo volumes in Africa in 2020 - report Overall passenger numbers are expected to reach 2.4 billion in 2021 In Summary The Kenyan airport handled more than 330,000 tonnes International cargo revenues are expected to reach $152 billion by VICTOR...
  3. N

    JamiiForums Tanzania Duh, kipindi cha michezo east africa radio ni vurugu tupu

    nakisikiliza hapa ni kero aisee haijulikani nani muongozaji nani mchambuzi yaani wanapiga kelele hakuna anayetaka kumsikiliza mwenzake..utasikia Abisai sikiza ngooja ngojaaaa...hapana nisikize kwanza ,huku mweingine naye anaendelea kuongea ya kwake vuluvuluuuuuuuuuu
  4. JamiiForums Tanzania A tale of Africa! A true love

    A Tale of Africa ---------------------------- To the Himba of Namibia in Southern Africa, the date of birth of a child is fixed, not at the time of its arrival in the world, nor in its design, but much earlier: since the day the child is thought in His Mother's mind.⠀ ⠀ When a woman decides...
  5. JamiiForums Tanzania Kwa usalama wa chombo chako cha moto fikiria Blackhorse Africa

    Blackhorse africa ni kampuni ya kisasa yenye uwezo wakukuondolea wasiwasi wa magri yako bajaji, pikipiki na trecta, kwa teknolojia ya kisasakabisa unaweza ukakiona chombo chako cha moto kupitia simu yako popote ulipo unaweza ukajua spidi yake, unaweza ukajua kipo wapi, kimesafiri umbali gani na...
  6. JamiiForums Tanzania Nimeona hizi picha kwenye Yahoo, nimesikitishwa eti ndizo picha bora za Afrika

    Nimeona hizi picha kwenye yahoo, nimesikitishwa eti ndizo picha bora za Africa, Zione hapa baadhi Hivi kweli hakuna kitu more positive katika Aftrica? Habari yote iko hapa.. Africa's week in pictures: 21-27 May 2021
  7. JamiiForums Tanzania South Africa's ex-president says he is ready for graft trial

    kesi ya Jacob Zuma hiyo South Africa's ex-president says he is ready for graft trial JOHANNESBURG (AP) — Former South African President Jacob Zuma says he is ready for his trial on charges of corruption, racketeering, and money laundering. Zuma appeared at the Pietermaritzburg High...
  8. JamiiForums Tanzania Afrika Kusini: Wanawake waruhusiwa kuolewa na mwanaume zaidi ya mmoja

    ....that Women are allowed to marry more than one man.
  9. JamiiForums Tanzania Orodha ya Wasanii wa Afrika wenye mkwanja mrefu, huyu wetu anayemiliki nyumba 126 imekuaje?

    Harmonize kasema hakuna msanii wa Tanzania alie mkubwa Afrika ila tunadanganyana tu, akabezwa. List ya wasanii wanaomiliki mkwanja mrefu imetoka na msanii wetu tunaemuita mkubwa ametoka kapa hata kwenye 15 hayupo. Hii ina maana vile vyanzo vya mapato vyote inavosemekana vyake havimuingizii...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Rapper J. Cole to play for Rwandan club in Basketball Africa League

    Rapper J. Cole is expected to play for the Rwanda Patriots BBC in the inaugural season of the Basketball Africa League, sources told The Undefeated. J. Cole, 36, arrived in Rwanda two days ago and is in the midst of quarantining in order to play in the 12-team league. Born Jermaine Lamarr...
  11. JamiiForums Tanzania Africa International PGR Scholarships 2021-22

    Funding type: Tuition fee. Stipend. Bench Fees / Research Training & Support Grant...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Ifike muda mindset zetu afrika zibadilike

    Kuna jambo Africa hua tunazingua kbsaa. Africa tunapenda kuonewa huruma kulalamika sana na ku pretend kua sisi ni wema kuliko mataifa mengine Siku hizi kuna wimbo wa ukoloni pamoja na mabeberu baadhi ya watu hutumia picha enzi za biashara ya utumwa ili kujenga chuki Wengi huona km mataifa ya...
  13. JamiiForums Tanzania Youth and Gender Officer at Focus Africa

    Youth and Gender Officer, Arusha Office About the Job The Youth and Gender Officer will be responsible for developing gender mainstreaming strategies, policies and creating gender awareness while developing gender initiatives that would position Focus Africa as a gender friendly environment. ...
  14. JamiiForums Tanzania Huawei kurusha satelaiti mbili za 6G mwezi Julai

    Kampuni ya Teknolojia ya Huawei inatarajiwa kurusha satelaiti mbili angani mwezi Julai, 2021 ikilenga kuingia katika teknolojia ya intaneti ya 6G. Kampuni hiyo ya China imekuwa mstari wa mbele duniani kuboresha kasi ya upatikanaji wa mtandao wa intanet, hii ikiwa ni mara ya pili kurusha...
  15. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi tuna majirani wa aina gani, hakuna hata mmoja aliye kwenye mataifa 20 bora Africa

    Tuna majirani wa hovyoo sana, full wazembe tu, hapa naponda hata Uganda, yaani wote waliotuzunguka ukianzia kule kwa vita vita kama Somalia na Sudan Kusini uje mpaka kwa wale hujiita vinara wa amani na wenye wingi wa raslimali, Tanzania, wote hakuna hata moja ndani ya mataifa yenye HDI bora...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Africa medics warn of India-like Covid surge

    Sijaona bado maagizo kuhusu sharti ya kuvaa barakoa, hasa kwenye mabasi, wakati wa kuingia katika majengo ya serikali n.k. Tanzania si serious, ila virusi ni serious! Soma hiyo (Citizen ya leo): 'Act now': Africa medics warn of India-like Covid surge Some countries, including the Democratic...
  17. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Busiest Airports in Africa 2021

    BUSIEST AIRPORTS IN AFRICA 1-Johanneburg international Airport🇿🇦 188 Flights 2-Cairo Airport Egypt 🇮🇶 111 Flights 3-Addis Ababa Airport 🇪🇹99Flights 4-CapeTown Airports🇿🇦82flights 5-Lagos Airports🇳🇬78Flights 6-Cassblanca Airports🇲🇦 76Flights 7-Der er salaam Airport🇹🇿 71flights 8-Zanzibar...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Keya, Marekani: Mbu wa kutengenezwa kuachiwa

    Wakazi wa Florida wameingiwa na hasira wakati wanasayansi wakijiandaa kuachia mamilioni ya mbu wa ambao wamefanyiwa marekebisho ya jini, kuanza maisha katika maeneo yao, gazeti la The Telegraph limeandika. Jaribio l utafiti, linaloongozwa na kampuni ya Oxitec, litahusisha takriban mbu milioni...
  19. P

    JamiiForums Tanzania A living legend: Bado namuomboleza Hayati Magufuli, Shujaa wa Afrika

    Kila mara nikikaa kuwaza au kufikiria juu ya Magufuli roho inaniuma sana. Nawaza hivi kwanini watu wema ndio huwa wanatangulia kuliko waovu. Hayati Magufuli alijitahidi kutuonesha njia sisi Watanzania kuwa tuna nchi ya aina gani. Aliweza kuongea kwa ujasiri juu ya vile Tanzania imebarikiwa...
  20. JamiiForums Tanzania Huenda Tanzania ikawa inauza data kwa bei ndogo kuliko nchi zote Afrika

    For the second year running, Tanzania is the country in East Africa where you will pay lowest to access the internet on your smartphone, according to data released recently by British technology research firm Cable. The report, Worldwide Mobile Data Pricing 2021, reveals that Somalia is no...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…