Hivi tuna majirani wa aina gani, hakuna hata mmoja aliye kwenye mataifa 20 bora Africa

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,748
48,371
Tuna majirani wa hovyoo sana, full wazembe tu, hapa naponda hata Uganda, yaani wote waliotuzunguka ukianzia kule kwa vita vita kama Somalia na Sudan Kusini uje mpaka kwa wale hujiita vinara wa amani na wenye wingi wa raslimali, Tanzania, wote hakuna hata moja ndani ya mataifa yenye HDI bora, yaani choka mbaya wa kutupwa mbali.
Kwenye maisha huwa naamini majirani huwa muhimu sana kwenye ukuaji wako, sasa ukizungukwa na mivivu ujue basi utakwama tu....
Acha niachie hapo maana nikiendelea kuandika naona nitakufuru, lakini majirani zetu ukweli wenu lazima niwaambie....povu ruksa...

======================

CountryHuman Development Index Population 2021
Seychelles0.80198,908
Mauritius0.7961,273,433
Algeria0.75944,616,624
Tunisia0.73911,935,766
Botswana0.7282,397,241
Libya0.7086,958,532
South Africa0.70560,041,994
Gabon0.7022,278,825
Egypt0.7104,258,327
Morocco0.67637,344,795
Namibia0.6452,587,344
Sao Tome And Principe0.609223,368
Republic Of The Congo0.6085,657,013
Ghana0.59631,732,129
Zambia0.59118,920,651
Equatorial Guinea0.5881,449,896
Kenya0.57954,985,698
Angola0.57433,933,610
Zimbabwe0.56315,092,171
Cameroon0.56327,224,265
Comoros0.538888,451
Rwanda0.53613,276,513
Nigeria0.534211,400,708
Uganda0.52847,123,531
Tanzania0.52861,498,437
Mauritania0.5274,775,119
Madagascar0.52128,427,328
Benin0.5212,451,040
Lesotho0.5182,159,079
Ivory Coast0.51627,053,629
Togo0.5138,478,250
Senegal0.51317,196,301
Sudan0.50744,909,353
Malawi0.48519,647,684
Ethiopia0.47117,876,227
Gambia0.4662,486,945
Guinea0.46613,497,244
Liberia0.4655,180,203
Guinea Bissau0.4612,015,494
Sierra Leone0.4388,141,343
Eritrea0.4343,601,467
Burkina Faso0.43421,497,096
Mali0.42720,855,735
Burundi0.42312,255,433
South Sudan0.41311,381,378
Chad0.40116,914,985
Niger0.37725,130,817
Somalia16,359,504
 
Lazybones republic lazima izembee kama kawaida yao.

Wale wa vita vita na mabomu kama Somalia kidogo utawaelewa, pia hata Uganda kiana tunaweza tukawaelewa maanna hawana bandari, ila hawa wa Kusini wana liinchi kama lote full rotuba nzuri kona zote, madini ya kumwaga, vivutio bora vya kitalii, bandari yao inategemewa na mataifa sita, pia zingatia ni muungano wa sijui niziite nchi mbili au..... Yaani wana kila sababu za kuongoza kiuchumi.

Sasa wakitajwa kama masikini waliojichokea unashangaa kasoro huwa nini haswa.
 
🤔Nathani Tatizo lao Ni Ubongo,Ilibadilishwa na ya Kuku😂🤣🤣🤣🤣
 
Mkuu mbona wote tupo kwenye 0.5....?, mimi nikajua labda ndugu mko angalau 0.6, Acha tambo za kitoto
 
Mkuu mbona wote tupo kwenye 0.5....?, mimi nikajua labda ndugu mko angalau 0.6, Acha tambo za kitoto

Hehehe usijifariji bana, kila herufi ina umuhimu wake, waulize wajuzi wa kwenye matakwimu, hebu ona mataifa yaliyo mbele yenu yaani akina Comoros ambao mliingilia mambo yao ya ndani enzi zile.
 
Wale wa vita vita na mabomu kama Somalia kidogo utawaelewa, pia hata Uganda kiana tunaweza tukawaelewa maanna hawana bandari, ila hawa wa Kusini wana liinchi kama lote full rotuba nzuri kona zote, madini ya kumwaga, vivutio bora vya kitalii, bandari yao inategemewa na mataifa sita, pia zingatia ni muungano wa sijui niziite nchi mbili au..... Yaani wana kila sababu za kuongoza kiuchumi.

Sasa wakitajwa kama masikini waliojichokea unashangaa kasoro huwa nini haswa.
Policies za ujamaa ndio ziliwakweza. Lakini ukiwaambia hawataki kusikia. Wao wanadhani ujamaa uliwasaidia sana. One of the worst things about ujamaa ni hiyo mentality ya uzembe na kutegemeana. Yaani itawachukua miaka nyingi wao kuwacha tabia hio ya kuzembea na kutegemea serikali kwa kila kitu. Wamezoeshwa kupewa kila kitu cha bure, shule ni bure, hospitali ni bure, maji ni bure, ardhi wanapewa bure na serikali. Sasa unategemea nini? Siku zote mtoto wa kudekezwa lazima atazembea tu. Hapa Kenya hatutegemei serikali sana kwa hivyo tunajituma kishenzi maana tunajua tukizembea serikali haitatusaidia.

Sasa tukija kwenye hii HDI wao wanazingatia standard of living ya wananchi wa nchi fulani. Na wanazingatia vigezo kadhaa ikiwemo quality na access to education. Pia wanaangalia acess to quality healthcare ambayo itaongeza life expectancy. Licha ya TZ kuwa na healthcare na education inayotolewa bure na serikali, bado tumewashinda kwenye HDI kwa sababu serikali yao inawapa very low quality education na very low quality healthcare. Serikali yao ikaze kamba iongeze quality ya healthcare na education na pia iruhusu private sector kutoa huduma za afya na elimu kwa sababu private sector duniani kote huwa wanatoa high quality service. Serikali pekee haiwezi. Serikali pekee haiwezi kuserve Malazy 60 million na iwape huduma ya hali a juu. HDI wanazingatia education, life expectancy na income ya wananchi.
 
Hii biashara ya kuokoteza vitaarifa kwenye viblogu uchwara kuja kutambiana humu ndani huwa hamchoki jamani?
 
Seychelles wanatisha aisee, na ni nchi ndogo tu.
"It is one of only two African countries classified as a high-income economy by the World Bank (the other being Mauritius)"
Nchi ndogo ni rahisi kuwa first world bora tu wana good leadership. Nchi kubwa ni majanga. Kabla utoe kila mtu from poverty kwa nchi kubwa mtakuwa mumenga'nga'na sana. Botswana amabayo pia ni nchi ndogo wanafanya vizuri sana. Wao tayari wako upper middle income na I can predict in less than 10 years pia watakuwa high income country. Nchi ndogo ambayo ina resources na good leadership lazima iwe high income very fast. Gni per capita inazingatia idadi ya watu. Kwa hivyo Seychelles ina watu wachache yaani watu 99,000 halafu wana GNI kubwa so Gni per capita yao itakuwa kubwa. HDI inazingatia GNI per capita.
 
Kwa wale ambao wanataka kujua jinsi HDI inavyokuwa calculated. Tazama formula hapa chini: Mambo matatu ndio yanazingatiwa. 1 Life expectancy 2. Education 3. Gni per capita (income)

In its 2010 Human Development Report, the UNDP began using a new method of calculating the HDI. The following three indices are used:

1. Life Expectancy Index
LEI is 1 when Life expectancy at birth is 85 and 0 when Life expectancy at birth is 20
2. Education Index[9]

2.1 Mean Years of Schooling Index (MYSI)[10]Fifteen is the projected maximum of this indicator for 2025.2.2 Expected Years of Schooling Index Eighteen is equivalent to achieving a master's degree in most countries.
3. Income Index (II)
={\frac {\ln({\textrm {GNIpc}})-\ln(100)}{\ln(75,000)-\ln(100)}}

II is 1 when GNI per capita is $75,000 and 0 when GNI per capita is $100.
Finally, the HDI is the geometric mean of the previous three normalized indices:

{\textrm {HDI}}={\sqrt[{3}]{{\textrm {LEI}}\cdot {\textrm {EI}}\cdot {\textrm {II}}}}.

LE: Life expectancy at birth
MYS: Mean years of schooling (i.e. years that a person aged 25 or older has spent in formal education)
EYS: Expected years of schooling (i.e. total expected years of schooling for children under 18 years of age)
GNIpc: Gross national income at purchasing power parity per capita
 
Hiyo takwimu yaweza mmewapa na vivutio hivi mkafanya kila kiingiacho kwenye vyanzo hivyo ni pato lenu kama mlivyong'ang'ana kwa....
MLIMA KILIMANJARO
SAMATA
IDRIS hivi majuzi sijui mlifanya fitna
MAGUFULI mkaanza kumtakataka ila sisi tunawatazama tu
 
Hao wote uliowataja hapo hawana issue huku kwetu! 🤣
 
Policies za ujamaa ndio ziliwakweza. Lakini ukiwaambia hawataki kusikia. Wao wanadhani ujamaa uliwasaidia sana. One of the worst things about ujamaa ni hiyo mentality ya uzembe na kutegemeana. Yaani itawachukua miaka nyingi wao kuwacha tabia hio ya kuzembea na kutegemea serikali kwa kila kitu. Wamezoeshwa kupewa kila kitu cha bure, shule ni bure, hospitali ni bure, maji ni bure, ardhi wanapewa bure na serikali. Sasa unategemea nini? Siku zote mtoto wa kudekezwa lazima atazembea tu. Hapa Kenya hatutegemei serikali sana kwa hivyo tunajituma kishenzi maana tunajua tukizembea serikali haitatusaidia.

Sasa tukija kwenye hii HDI wao wanazingatia standard of living ya wananchi wa nchi fulani. Na wanazingatia vigezo kadhaa ikiwemo quality na access to education. Pia wanaangalia acess to quality healthcare ambayo itaongeza life expectancy. Licha ya TZ kuwa na healthcare na education inayotolewa bure na serikali, bado tumewashinda kwenye HDI kwa sababu serikali yao inawapa very low quality education na very low quality healthcare. Serikali yao ikaze kamba iongeze quality ya healthcare na education na pia iruhusu private sector kutoa huduma za afya na elimu kwa sababu private sector duniani kote huwa wanatoa high quality service. Serikali pekee haiwezi. Serikali pekee haiwezi kuserve Malazy 60 million na iwape huduma ya hali a juu. HDI wanazingatia education, life expectancy na income ya wananchi.
Unapoongelea kitu quality lazima uwe na benchmark....ebu tueleze unapima ubora upi na upi na una uhakika gani kwamba nchi fulani ni bora kuliko nyingine? Give us your standard quality as your model
 
Hehehe usijifariji bana, kila herufi ina umuhimu wake, waulize wajuzi wa kwenye matakwimu, hebu ona mataifa yaliyo mbele yenu yaani akina Comoros ambao mliingilia mambo yao ya ndani enzi zile.
Sawa kinachonishangaza kuna nchi Zina 0.8 zimetulia tuli wala hazina tatizooo na mtu, wewe Kenya tupo wote kwenye 0.5...., unabwabwaja kweli kweli ebu Acha nongwa, nawaza hapa wewe ingekuwa ndio hizo nchi zenye 0.8 sijui ingekuwaje! !
 
Back
Top Bottom