Duh, kipindi cha michezo east africa radio ni vurugu tupu

nakisikiliza hapa ni kero aisee haijulikani nani muongozaji nani mchambuzi yaani wanapiga kelele hakuna anayetaka kumsikiliza mwenzake..utasikia Abisai sikiza ngooja ngojaaaa...hapana nisikize kwanza ,huku mweingine naye anaendelea kuongea ya kwake
vuluvuluuuuuuuuuu

Hahahhaah na mimi nilikua nasikiliza... kile cha saa sita mchana nacho
 
nakisikiliza hapa ni kero aisee haijulikani nani muongozaji nani mchambuzi yaani wanapiga kelele hakuna anayetaka kumsikiliza mwenzake..utasikia Abisai sikiza ngooja ngojaaaa...hapana nisikize kwanza ,huku mweingine naye anaendelea kuongea ya kwake
vuluvuluuuuuuuuuu
Asana wewe unasikiliza ili upate taarifa gani.
 
nakisikiliza hapa ni kero aisee haijulikani nani muongozaji nani mchambuzi yaani wanapiga kelele hakuna anayetaka kumsikiliza mwenzake..utasikia Abisai sikiza ngooja ngojaaaa...hapana nisikize kwanza ,huku mweingine naye anaendelea kuongea ya kwake
vuluvuluuuuuuuuuu
Ni miongoni mwa vipindi vya hovyo kabisa vya michezo. Nilishaacha kitambo kukifuatilia.
 
Clouds Sports Xtra..japo Lumbwano anapenda sana habari za mchangani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom