Huenda Tanzania ikawa inauza data kwa bei ndogo kuliko nchi zote Afrika

stakehigh

JF-Expert Member
Aug 9, 2019
6,384
3,494
For the second year running, Tanzania is the country in East Africa where you will pay lowest to access the internet on your smartphone, according to data released recently by British technology research firm Cable.

The report, Worldwide Mobile Data Pricing 2021, reveals that Somalia is no longer offering the most affordable mobile internet in Africa, moving to third, as Sudan and Algeria take the first and second places respectively.

“In Sudan, the cost of mobile internet is $0.27, cheapest in Africa and fifth in the world. Algeria is second at $0.51 and Somalia third at $0.60. Tanzania has the cheapest data in East Africa at $0.75 for every gigabyte of data,” says the survey.

Excellent infrastructure​

The data collected and analysed between December 8, 2020 and February 25, 2021 shows that Tanzania is followed by Rwanda at $1.25, Uganda ($1.56) and Burundi ($2.10) while Kenya, which was second in East Africa last year charging $1.04, now charges $2.25 per gigabyte (GB).

Dan Howdle, consumer telecoms analyst at Cable said many countries with cheap data have excellent mobile and fixed broadband infrastructure, enabling providers to offer large amounts of data, and bring down price per gigabyte.

Others with less advanced broadband networks are heavily reliant on mobile data” he said.

Nigeria and South Africa, which command high internet traffic from its tech savvy population are charging $0.88 and $2.67 respectively.

Countries with long-established, ubiquitous 4G or new 5G infrastructure, the study points out, tend to fall towards the cheaper end of the table.

“This is due to the fact that mobile data plans have escalated far beyond the 1-10GB per month median, offering instead plans with caps in the hundreds of gigabytes, or even completely unlimited. The cost per gigabyte in these countries will tend therefore to be very low.”

Hiyo 0.75$ ni sawa na madafu bei gani? inaweza kuwa inacheza roughly kwenye 1500/= japo GB moja kwenye mitandao mingi ni 2000/= hiyo itabidi uitumie kwa siku, ukitaka kutumia kwa wiki utalipia 14,000/= sasa hizi si ndio zile bei zililalamikiwa juzi?

Hapo hakuna hata dakika moja ya kuongea, ukitaka na dakika za kuongea kwa bei hiyo ujue watapunguza MB, kwangu naona bado gharama za internet Tz haziridhishi.
 
Hiyo 0.75$ ni sawa na madafu bei gani? inaweza kuwa inacheza roughly kwenye 1500/= sasa 1500/= japo GB moja kwenye mitandao mingi ni 2000/= hiyo itabidi uitumie kwa wiki, ukitaka kutumia kwa siku utalipia 14,000/= sasa hizi si ndio zile bei zililalamikiwa juzi?
Mkuu,
Tatizo Mataga yanafikili kampuni za mawasiliano ndiyo zinapandisha Bei ya vifulushi,ataga yanashindwa kujua seikali ndiyo inahusika kutokana na Kodi kuwa kubwa.
 
Soko likiwa na wateja wengi halafu alots of competition kutoka kwa watoa huduma always bei zitakuwa ndogo ili makampuni yashindane kupata wateja!.

Sasa kwa Africa nimetembea nchi nyingi mfano Kenya Safaricom na south Africa vodacom wana nguvu sana sokoni na wamecapitalize soko hivyo ni ngumu kuwaaminisha watu juu ya mitandao mingine.

Tofauti na Tanzania ambapo soko makampuni yanashare yaani ukizengua tunazengua so lazima bei ziwe chini.

Ingawa bundle sio halisi.
 
Suala la data, kwa uzoefu wangu nadhani mpaka naondoka nchini Tanzania ndiyo nchi yenye bei ya chini kuliko zote nilizowahi kutembelea kwa Africa. Africa kusini wana bei ya juu sana ya data, pia Kenya ila hawafikii SA, Uganda atleast more or less the same as TZ. Malalamiko yote niliyoyasikia hivi karibuni nadhani ni umasikini tu unatusumbua.
 
One gigabyte (1GB) of data costs $0.26 in India, compared to an average $6.66 in the UK and $12.37 in the US, finds a global analysis of mobile data prices by UK-based price comparison portal Cable.
- so United states Gb moja ni kama 25,oooTsh, but cha ajab united states has the best internet enterprenuers while tanzania has no internet enterprenuers! Hii nchi kiukweli inabidi turudi kwenye utumwa tu
 
Mkuu,
Tatizo Mataga yanafikili kampuni za mawasiliano ndiyo zinapandisha Bei ya vifulushi,ataga yanashindwa kujua seikali ndiyo inahusika kutokana na Kodi kuwa kubwa.

Where does the internet come from tuanzia apo, and who suplies data in tanzania?
 
Ndugulile angependelea tununue gb moja kwa elfu ishirini. Sijui anafaidikaje watanzania wasipopata habari.
Mkimuona huko mwambie siku hizi mwanafunzi wa chuo kikuu bila internet hawezi kufuzu, pia mumuambie wanafunzi wa chuo hawana kipato.
 
Hiyo 0.75$ ni sawa na madafu bei gani? inaweza kuwa inacheza roughly kwenye 1500/= sasa 1500/= japo GB moja kwenye mitandao mingi ni 2000/= hiyo itabidi uitumie kwa wiki, ukitaka kutumia kwa siku utalipia 14,000/= sasa hizi si ndio zile bei zililalamikiwa juzi?

Hapo hakuna hata dakika moja ya kuongea, ukitaka na dakika za kuongea kwa bei hiyo ujue watapunguza MB, kwangu naona bado gharama za internet Tz haziridhishi.

Je unataka bei ziweje?
 
Nimesoma kichwa cha habari tu ila nimesikitika sana kuona kuna baadhi ya watanzania wana roho mbaya kama hivi. Kabla hujaanza kuongea Tanzania ina gharama ndogo ya data inabidi ulinganishe na kipato cha watanzania na kipato cha raia wa hizo nchi zingine. Huko unakosema data ni ghali kipato cha nchi per capita ni kikubwa pia hivyo kimahesabu data kwa hizo nchi ina gharama ndogo. Linganisha vipato vya hayo mataifa na vipato vya watanzania, usilinganishe gharama ya data.
 
Data is data! hakuna data kwa ajili ya watu maskini na kwa ajili ya matajiri its the same resource.
 
Nimesoma kichwa cha habari tu ila nimesikitika sana kuona kuna baadhi ya watanzania wana roho mbaya kama hivi. Kabla hujaanza kuongea Tanzania ina gharama ndogo ya data inabidi ulinganishe na kipato cha watanzania na kipato cha raia wa hizo nchi zingine. Huko unakosema data ni ghali kipato cha nchi per capita ni kikubwa pia hivyo kimahesabu data kwa hizo nchi ina gharama ndogo. Linganisha vipato vya hayo mataifa na vipato vya watanzania, usilinganishe gharama ya data.

kitu kingine cha kuongezea: haya mambo ya kuiweka tanzania kama exception ya umaskini iwe mwisho, hii ndo inaofanya watanzania wengi kila sku kelele zao ni serikali, sjui ajira amna, serikali, data sjui imekuaje serikali, hii miundo mbinu ya data za internet, computer, simu inatengenezwa na raia wa kwaida kabisa, (wakina steve jobs, bilgates na wengineo wengi).sasa hii nchi kila kitu serikali ebu tue civilized aiseee (japokua serikali ina umuhimu sana lakini this is too much)
 
Back
Top Bottom