Ifike muda mindset zetu afrika zibadilike

Captain mopao

Senior Member
Feb 25, 2021
133
379
Kuna jambo Africa hua tunazingua kbsaa. Africa tunapenda kuonewa huruma kulalamika sana na ku pretend kua sisi ni wema kuliko mataifa mengine

Siku hizi kuna wimbo wa ukoloni pamoja na mabeberu baadhi ya watu hutumia picha enzi za biashara ya utumwa ili kujenga chuki

Wengi huona km mataifa ya barani ulaya ni wabaguzi sana na tumewapa sifa kua ni wabaguz wa rangi. Jambo moja Africa tunapaswa kufaham kua biashara ya utumwa ilikuwepo dunia nzima si kwetu hata wzungu wenyewe walikua watumwa kwa mataifa mengine

Kusambaza picha za enzi za utumwa ni kujenga taswira mbaya kwa watoto wetu nankuwapandikiza chuki. Sikatai wapo wazungu waarab na wachina wabaguzi lakini pia waafrica wabaguz wapo sie hatujakamilika

Kuna siku nilikua napiga story na mkolea mmoja ananiambia anawachukia sana wajapan. Anasema japan waliitawala Korea na kuwatesa sana wakorea, pia waliwabaka walifanya unyama mkubwa kipindi cha ukoloni

Baada ya kupata uhuru korea iliwaomba japan kuwalipa fidia kutokana na mambo waliyofanyiwa. Japan ilikataa kulipa ile fidia, korea wakaamua kutengeneza sanam inayoelezea utumwa

Wakazisambaza nchi za magharib, ingawa ilikua ni fedheha haikusaidia kitu. So unaweza kuona wao utumwa ulikua miaka mingi ila wamewarithisha chuki kizazi mpka kizaz na hakuna faida kua maadui

Hii taswira nayo naiona africa tuna ona sisi tuna ona tumeonewa sana na waingereza na kujenga chuki kwa wazungu jambo ambalo si la faida kwetu

Nawasilisha, karibuni wakereketwa wa utumwa kwa maoni ushauri povu
 
Kuna kitu unanufaika nao si bure.Ivi umewahi kuwaza ngozi nyeupe ina target gani nawe ngoz nyeusi? Acha kujilegeza kama vile umepapaswa naniliu
 
Kuna kitu unanufaika nao si bure.Ivi umewahi kuwaza ngozi nyeupe ina target gani nawe ngoz nyeusi? Acha kujilegeza kama vile umepapaswa nahyo cm unayotumia imetengenezwa na baba ako?

Kuna kitu unanufaika nao si bure.Ivi umewahi kuwaza ngozi nyeupe ina target gani nawe ngoz nyeusi? Acha kujilegeza kama vile umepapaswa naniliu
Cm unayotumia katengeneza baba ako?
 
Kuna kitu unanufaika nao si bure.Ivi umewahi kuwaza ngozi nyeupe ina target gani nawe ngoz nyeusi? Acha kujilegeza kama vile umepapaswa naniliu
Cm unayotumia katengeneza baba ako?
Hapana ila imetengenezwa na kinyume cha uliyemtaja ila wa kwako mkuu
 
Back
Top Bottom