Kwa maelezo haya ina maana Mitihani ya wanafunzi sasa ni sehemu ya mradi wa chuo. Ukiwauliza viongozi hawa siyo ajabu wakasema gharama ni kubwa na bhla-bhla nyingiiii! Ukweli ni kwamba ni ukosefu wa mawazo yanayofaa, naogopa kusema ujinga.
Vyuo vya maana, siyo tu vinatoza ada, bali pia...
Yawezekana kuna wale wanaofahamu kwa nini CDF aliyasema hadharani badala ya kuteta wakiwa wawili maana CDF ana mawasiliano ya moja kwa moja na rais juu ya masuala ya usalama. Huenda rais ameshakuwa haambiliki au wengine wanahisi ni njia ya wakuu hawa kuyaweka hadharani ili hatua zikichukuliwe...
Yaonekana ni udhaifu wa vyuo vyote. UD nayo sasa eti inafundisha kilimo. Wasiwasi wangu ni kuanzia kwa viongozi wa vyuo hivi. Ukikutana na mmoja wa viongozi wa vyuo vyetu, usiangalie suti aliyovaa. Halafu ongea naye, mara moja unakata tamaa.
Hawajitambui. Miaka niliyosoma waziri akitumwa kuja...
Hiyo inaitwa University of TBC>
Hawa jamaa vipi? Siku hizi imekuwa ni mashindano kuonesha vipindi TBC utadhani vipindi vya maendeleo ya kijiji cha ujamaa.
Yawezekana kuna mashindano ya kutaka kuonekana ili baadaye rais asema viongozi hawa wanafaa. Kwa mimi m-Tz wa kawaida, nataka matokeo ya...
Ni rais mzembe tu! Hata kurudi toka Dubai ni mpaka kelele zilipigwa ndo akajitambua kwamba Hanang kuna mafuriko. Arabuni kwake ni zaidi ya Kizimkazi. Ni matokeo ya ubwana na utumwa. Ukitaka kuelewa zaidi Soma kitabu cha Walter Rodney; How Europe Underdeveloped Africa.
Madhara ya utumnwa ni...
Samia alipoingia madarakani, kama kawaida , wapambe walishabikia ubora wake kwa hotuba mbili au tatu alizotoa. BIla kufahamu kwamba hata bwege akipewa kusoma haotuba, itapendeza tu! Mwenztu mmopja hapa JF aliandika sentensi moja tu, ........ hatuna rais, ni suala la muda. Muda umefika sasa...
Najiuliza kama mtoto wa Samia ndo angekuwa ametekwa tangu tar 7 je, wangesubili hadi Hamas watoe video ya mauaji kweli?
Hii tabia ya kuamini wako salama na vitoto vyao....! Na sasa vikiingia tu, nao utakuiwa mradi wa kuchota pesa za serikali na kuvigawia. Vinaanza wizi kabla hata ya kujua...
Sasa UDOM wanafungua tawi Njombe, anakotoka VXC wa UDOM, anakotoka Msajili wa Hazina, anakotoka katibu mkuu kiongozi mdogo wake VC wa UDOM.
Mnyororo wa ukabila umeanza sasa!
Mwanzilishi ni Luhanjo anayeaminika anajua kuwafunda viongozi.
Mjadala wa siku nyingi ni juu ya pesa inayotumika kujengewa wanaohamishwa Ngorongoro. Sasa tutathibitisha mauzo ya mwarabu. Serikali haitaki kusema ni pesa ya mauzo ya Ngorongoro, ina maana ni pesa ya serikali.
Pia soma > Manyara UPDATE: Waliofariki kwa Mafuriko Wilayani Hanang wafikia 63
Kama...
Serikali hii haina tofauti na mkulima anayecheza ngoma kila baada ya mavuno, kukiwa na mgonjwa anaomba msaada.
CCM walikuwa na kikao cha kifahari wakijidai ni semina ya mafunzo. Sasa hivi wako kimya bila hata mchango wowote. Mwananchi yeyote akijichanganya tu akatoa pesa yake, ameliwa. KUna...
Huyo unayemsifu unajua alifanya nini alipokuwa waziri wa mambo ya ndani? Acha ushabiki. Ninachokiona nchi iko katikati ya ukabila. Kuna mjitu inashabikia kila mtu, hata muovu, bora awe kabila lake.
Anaijua siasa wakati aliingia chama kimekomaa! Ngoja aingie aanze kukomoana tena na akina Nape...
Kwa hiyo unaamini wanapokwenda kwa mikataba ya serikali, waarabu wanakuwa wastaarabu. Wanakuwa na utu. Ukienda bila serikali wanakuwa wanyama.
Hawa ni wapuuzi tu! Bado wanaamini wanastahili kupata watumwa.
Kila aliyesikiliza mjadala wa ripoti ya CAG na majawabu ya mawaziri, ameelewa wazi kwamba mawaziri wanahusika na wizi huo. Kama wasingehusika, ingekuwa ni taharuki maana hakuna anayetaka kuibiwa.
Pamoja na kuhusika ktk wizi, yaonekana wapo ktk nafasi kwa urafiki binafsi na rais, na kuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.