Waziri amesema wazazi wajiongeze, then baadae ikatoka barua ya kufunga shule kwa muda kutokana na mvua zinazoendelea.
Natamani kuona bajeti ya mwaka huu ya wizara ya mawasiliano itakuwa imesemaje kwenye digital. Sisemi kwamba watoto waende shule, bali wanaweza kuendelea kujifunza wakiwa...
Mimi niko ofisini ila napenda kufuatilia mambo ya bungeni kupitia chanel ya Youtube ya Bunge, kwa kweli sauti iko chini sana, yaani kwa sauti hiyo hiyo ukiweka mziki sauti inakuwa kubwa inasikia vyema ila ukiweka bunge hata sauti ikiwa 100 lazima mtu asichezesha hata miguu ili kusikia vyema. Je...
Angalia hii video wadau wakijaribu kujiokoa kutoka kwenye mafuriko. Mmoja katumia kamba vizuri kujiokoa mwingine anapata tabu sana.
Nasisitiza kama una safari ya Dar fanya mazoezi ya kuogelea. Kama upo Dar na haujui kuogelea nitafute.
Wakuu, hebu tujadili suala hili objectively,
1. Unamzungumziaje Rais Magufuli dhidi ya uhuru wa habari Nchini Tanzania?
2. Kwa namna yake mzee chuma, Magufuli au tuseme sera zake ziliwaathiri vipi waandishi wa Habari?
3. Kulikuwa na uvumi kuwa Magufuli alikuwa akiwafuatilia waandishi wa habari...
Unapigiwa simu na mzee wako anakuambia kuna mdogo wako nimempa namba yako anakuja huko. Unapigiwa simu mtu kashafika mjini anakusubiri kwa Magufuli, mzee wako anakuambia, sasa shangazi yako anaumwa, huyo mtoto ni mwanaye haukuwahi kumuona kwa kuwa alikuwa kwa ndugu yake wa kijijini, ila kwa kuwa...
Majukumu ni ngumu kuyaacha, ila nawaza namna ya kubadili utaratibu. Yaani mtoto wa kwanza unapewa majukumu mazito, wakati mwingine uko mtoto unaambiwe, "wewe ndio mkubwa", "Una wadogo zako" haya yote ni kukufanya uone tayari uko uwanjani.
Ukishaingia uwanjani ndio kimbembe kabisa, hadi mtoto wa...
Nilikuwa nasoma sehemu nikakuta kuwa watoto wa kwanza wanalalamikia kuwa "Makamu Mzazi". Yaani ni mtoto anayekabidhiwa jezi kabla mchezo hajauelewa. Mtoto wa kwanza anatarajiwa kulea wadogo zake na wazazi wake at the same time. Nadhani ukiona mtu amekomaa kimawazo, unauliza tu "Hivi wewe ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.