Baadhi ya walimu wa shule za msingi na sekondari wilayani Mbozi mkoani Songwe, wameomba uwepo wa majukwaa ya mara kwa mara yatakayolenga kutoa elimu ya utambuzi wa Taasisi sahihi za kifedha zinazotoa huduma za mikopo, ili waweze kujiepusha na Taasisi ambazo zimekuwa zikiwakopesha mikopo yenye...
#HABARI Waziri wa Maliasili Mohamed Mchengerwa na RC Mbeya wamefika Kijiji cha Mwanavala wilayani Mbarali kutokana na agizo la Waziri Mkuu la kuwataka kufika ili kuona hali ya ugomvi uliotokea baina ya wananchi na Askari wa TANAPA na kubaini hakuna vifo wala mifugo iliyoshikiliwa wala ng'ombe...
Kennedy Nyangige mwanafunzi wa mwaka wa kwanza katika chuo cha udaktari Bugando anashikiliwa na jeshi la polisi mkoani Mwanza kwa tuhuma za kujiteka na kisha kutuma meseji kwa wazazi, ndugu na viongozi wake wa chuo akidai ametekwa na inatakiwa milioni 3.5 ili aachiwe.
RPC Mwanza Wilbroad...
Kwa muda mrefu sasa nimekua nikifanya tafiti juu ya uelewa wa mpira wa mashabiki wa simba, na mambo niliyagundua ni yafuatayo
1) Wengi wao mpira wameanza fatilia 2019
2) Wengi wao dish zimeyumba
3)Wengi wao much know
4) Wenye akili wanajitoa ufahamu
5) Wengi wanabishia uzoefu
6) Watu...
Picha: Ummy Mwalimu
Serikali imesema dawa za kidonge myeyuko cha Amoxicillin, Zinki na ORS kwa ajili ya watoto wenye umri chini ya miaka mitano, haziuzwi, zinatolewa bure kwa wananchi, kwa sababu zinanunuliwa na serikali kwa kushirikiana na wadau.
Hayo yamesemwa na Waziri wa Afya Mhe.Ummy...
Waziri wa Afya Ummy Mwalimu leo ametoa hotuba kuhusu Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Fedha ya Wizara ya Afya kwa Mwaka 2023/2024 ambapo amesema katika kipindi cha July 2022 hadi March 2023 Hospitali ya Taifa Muhimbili- Mloganzila ilifanikiwa kutoa huduma ya upandikizaji wa uboho (bone marrow...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.