Jeshi la Polisi Mkoa wa Mwanza linamshikilia na linaendelea kumhoji mkazi wa Mtaa wa Temeke kata ya Mhandu, wilaya ya Nyamagana, Loveness Daniel Kisile (30) kwa tuhuma za kutoa taarifa za uongo kwa mume wake na ndugu zake akidai ametekwa na watekaji wanahitaji Milioni 10 ili wasimdhuru na kutoa...
Sasa ni dhahiri kila jambo tulifikirie kabla ya kulaumu Polisi. Hata Kenya wakati mchungaji Makenzi akiua waumini, watu waliaminishwa kwamba Polisi walikuwa wanawateka.
Haya sasa, taasisi ya dini yenye heshima kabisa, imeungana na Jeshi la Polisi kwamba sheikh alijiteka.
Kennedy Nyangige mwanafunzi wa mwaka wa kwanza katika chuo cha udaktari Bugando anashikiliwa na jeshi la polisi mkoani Mwanza kwa tuhuma za kujiteka na kisha kutuma meseji kwa wazazi, ndugu na viongozi wake wa chuo akidai ametekwa na inatakiwa milioni 3.5 ili aachiwe.
RPC Mwanza Wilbroad...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.