Search results

  1. jsenyinah

    Trump kuingia Ofisini January 20,2017.Amwaga ajira 8,000

    Rais mteule Donald Trump ambaye anaingia ofisini January 20,2017, amemwaga ajira 8,000 kwa wamarekani hasa walio nje ya Taifa hilo ili warejee kwenye Taifa hilo ambalo yeye anasema "limeshakuwa na mabadiliko makubwa". Takribani ajira 5,000 ni za wataalam wa mawasiliano. Source: Foxy News
  2. jsenyinah

    Licha ya kuwa na matumizi makubwa ya pesa, bado wapo juu tu

    Wachaga wana matumizi makubwa sana,lakini wameendelea sana! Ukilinganisha na makabila mengine, wachaga wanakula sana bata! Wana matumizi makubwa sana karibu kila siku. Cha ajabu, walianza kuendelea wao, walianza kusoma sana wao, walianza kuwa na miundombinu mizuri wao, wanywaji wao...
  3. jsenyinah

    Uchagani na misiba isiyoisha

    Hodi humu ndani! Kifo ni LAZIMA, kifo ni safari ya kwenda mbinguni, kifo ni mapenzi ya Mungu. Naongea haya kwa uchungu sana. Nimezunguka na kuishi maeneo mengi nchin Tanzania, swala la vifo (vya kasi) kwa wenzetu Wachaga,ni kubwa sana. Siongei kwa ushabiki au napenda iwe hivyo,la hashaa! Kwa...
  4. jsenyinah

    MUNGU: Hili ndo lengo la kulala kwa mwanadamu

    Jee...!!! unajua lengo hasa la Kulala..? Hasa wakati wa Usiku..!!! Lengo la kulala ni kukumbushwa Kifo unapoweka Ubavu wako Kitandani ukumbuke siku utayolala katika Kaburi lako, Unapofunga Mlango ukumbuke Ubao utaowekwa juu yako, Unapozima taa ukumbuke Giza la Kaburini, na unapojifunika Shuka...
  5. jsenyinah

    Ni mwaka sasa, napata usingizi saa 8 usiku na naamka saa 11 alfajiri.Ndoto ninazoota ni ngumu

    NI MWAKA SASA, USINGIZI HUJA KUANZIA SAA 8 USIKU NA UNAKATA SAA 11 ALFAJIRI. Kichwa cha habari hapo juu chajieleza. Ni miezi isiyopungua kumi na tatu (13) sasa,hata niwe nimechoka vipi, hata niwahi kulala vipi , usingizi wangu huanza kuja kuanzia saa nane (8) usiku na hukatika saa 11...
  6. jsenyinah

    Mtaalam wa kutengeneza website na logo anahitajika

    Jamani nina shida na huyo mtaalam,naomba mawasiliano
  7. jsenyinah

    Shule ya sifa: Shule ya Sekondari Milambo, Tabora

    Nipo hapa nyumbani naendelea kuisogeza siku hii ya tarehe 01.01.2017. Ghafla nikaikumbuka shule hii ya sekondari Milambo iliyopo mjini Tabora,takribani kilomita 2 tu toka kituo kikuu cha mabasi Tabora,na ipo njiani kama unaelekea Urambo,nyumbani kwa marehemu Mh. Samweli Sitta (Mungu amrehemu)...
  8. jsenyinah

    Hashimu Rungwe Spunda:Serikali isifanye biashara

    Rungwe aitaka Serikali isifanye biashara
  9. jsenyinah

    ‪Rais Magufuli: Viongozi wa dini mnivumilie kwakuwa fedha zitaendelea kupotea hata kanisani...‬

    RAIS AWASILI BUKOBA: Rais John Magufuli amewasili mjini Bukoba kuwatembelea wananchi waliopata maafa ya tetemeko la ardhi mwaka jana. ------- Hatimaye Rais John Magufuli amewasili mjini Bukoba na kushiriki misa ya kufungua mwaka mpya 2017 katika Kanisa la Kuu Katoliki mjini Bukoba. Katika...
  10. jsenyinah

    TANZIA: Kapteni Keenan Mhaiki, amefariki dunia

    OFISA Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ndege za Serikali (TGFA), Kapteni Keenan Mhaiki, amefariki dunia jana saa 5:25 asubuhi katika Hospitali ya Agha Khan Jijini Dar es Salaam. Alilazwa katika hospitali hiyo Alhamisi iliyopita, kabla ya sikukuu ya Krismasi, kwa ugonjwa wa saratani ya ini. Kaka...
  11. jsenyinah

    1. Serikali kuhamia Dodoma, 2. Jumamosi siku ya usafi Na 3. Katazo kunywa pombe muda wa kazi

    Habarini za leo wanaJF, hongereni na mapumziko ya mwisho wa wiki, wiki ya mwisho ya mwaka 2016! Ikumbukwe pia, mshahara uliotoka December 22 & 23 unaendelea kutumika mpaka mwisho wa mwezi wa January, 2017, mwezi wa kodi za pango, ada za watoto nk. Nije kwenye mada tajwa hapo juu. Ndani ya...
  12. jsenyinah

    KILIMO BIASHARA:Mkombozi wa maskini na kuacha kulalamika

    Habarini za leo wandugu, ni matumaini yangu kwamba 'boxing day' imekwenda salama kabisa mkiwa na familia zenu. Leo nimeamua kutiririka kuhusu agenda tajwa hapa juu, KILIMO BIASHARA. Tukitekeleza haya yafuatayo,tutaondokana na umaskini kwa kuwa na uhakika wa uzalishaji wa mazao ya kilimo...
  13. jsenyinah

    Asilimia 90% ya waTZ hula kiporo siku ya leo 'boxing day'

    *Kwahesabu za harakaharaka asilimia 90 ya watanzania leo watakula kiporo*
  14. jsenyinah

    Ndugu zetu hawa hawajaiona Christmass.Mungu ibariki Tanzania

    Heri ya Xmass ndugu zangu. Ndo tunatoka ibadani, misa ya kwanza! Baadae nikasema nizunguke zunguke mtaani kuona kuna nini, hali ikoje na shamrashamra za sikukuu zimekaeje! Nikapita kijiji cha Chekereni Wilayani Moshi Vijijini,njia kuu ya Moshi - Dsm. Cha ajabu,na tofauti na miaka mingine...
  15. jsenyinah

    Christmas 2016: Shamrashamra hakuna

    Heri ya sikukuu ya kuzaliwa Bwana wetu Yesu Kristo,mwokozi wa maisha yetu. Awali ya yote, napenda kumshukuru Mungu wangu, mwingi wa rehema kwa kuiona siku hii adhimu ya Krismasi. Krismass ya leo mwaka 2016 imekuja kipindi ambacho waTZ wakiwa kwenye malalamiko, manung'uniko, hasira, gadhabu...
  16. jsenyinah

    Christmass 2016: Shamrashamra hakuna

    Heri ya sikukuu ya kuzaliwa Bwana wetu Yesu Kristo,mwokozi wa maisha yetu. Awali ya yote, napenda kumshukuru Mungu wangu, mwingi wa rehema kwa kuiona siku hii adhimu ya Krismasi. Krismass ya leo mwaka 2016 imekuja kipindi ambacho waTZ wakiwa kwenye malalamiko, manung'uniko, hasira, gadhabu...
  17. jsenyinah

    Tutapona kwa style hii?

    Salam wapendwa wa Bwana! Amani iwe kwenu. Kwa madereva wa magari,hali hii tutapona kweli? Angalia hizi picha hapa chini. Sikukuu njema
  18. jsenyinah

    UTAMU:Mkristo anatema mayai kama Yesu

    Yaani,Mungu n mkubwa sana.Tena sana
  19. jsenyinah

    Uzembe Traffic Moshi: Magari 3 yamegongana KCMC Moshi,nusu saa sasa traffic/polis hawajafika

    Nakata tamaa, tamaa ya kuwq kwenye security nzuri ya mali za raia. Magari 3 yamegongana saa 12:13 jion hii hapa KCMC Moshi.Land cluiser, Toyota Hilux na corrola ....sijaona chochote hapa.Usalama Mdogo msaada mdogo.Raia wapo tu wanawasubiri. ikumbukwe, KCMC mpk Polis station (KCMC) n mita 40...
  20. jsenyinah

    VIDEO: Top 10 ya nyoka hatari zaidi duniani

    Waungwana, nyoka kama viumbe hai wengine, n wadudu hatari sana hasa kwa mwanadamu. Nyoka hana mikono, miguu, mabega wala kiuno. Nyoka ye kichwa na meno yake yenye sumu plus mkia wake ambao huutumia kutandika kisawasawa! Tazama hapa chini picha ya hawa viumbe wabaya zaidi duniani:-
Back
Top Bottom