jsenyinah
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 249
- 339
Habarini za leo wanaJF, hongereni na mapumziko ya mwisho wa wiki, wiki ya mwisho ya mwaka 2016!
Ikumbukwe pia, mshahara uliotoka December 22 & 23 unaendelea kutumika mpaka mwisho wa mwezi wa January, 2017, mwezi wa kodi za pango, ada za watoto nk.
Nije kwenye mada tajwa hapo juu. Ndani ya mwaka 2016 pamoja na mambo mengine yote mazuri kufanywa na serikali yetu ya awamu ya 5,napenda kuipongeza serikali yangu katika mambo haya matatu (3):-
1. Serikali kuhamia Dodoma
2. Jumamosi siku ya usafi nchi nzima
3. Katazo la kunywa pombe muda wa kazi au masaa ya kazi.
Kwakweli mm niliguswa sana na haya maswala 3,sana. Na nimeona utekelezaji wake, siyo nguvu ya soda. Leo huku mkoani kwetu Arusha, nimeshuhudia Sana ganja bias hara wakisafisha maeneo yao kwa tamko lililotolewa miez kadhaa iliyopita. Nampongeza sana Mh Rais, Dk JPM.
Mengine kama Faru John, Maiti 7 mto Ruvu, Lema ndani ya Kisongo, kuzuia siasa mpaka uchaguzi ujao...n mapito tu.Ni viupepo vinavyokatiza na Kupotea!
Mungu ibariki Tanzania.
Nawatakia mwaka mpya mwema.
Asanteni sana.