Uzembe Traffic Moshi: Magari 3 yamegongana KCMC Moshi,nusu saa sasa traffic/polis hawajafika

jsenyinah

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
249
338
Nakata tamaa, tamaa ya kuwq kwenye security nzuri ya mali za raia.

Magari 3 yamegongana saa 12:13 jion hii hapa KCMC Moshi.Land cluiser, Toyota Hilux na corrola ....sijaona chochote hapa.Usalama Mdogo msaada mdogo.Raia wapo tu wanawasubiri.

ikumbukwe, KCMC mpk Polis station (KCMC) n mita 40 tu.

mm nipo hapa kwenye tukio
 

Attachments

  • tmp-cam-34019935.jpg
    tmp-cam-34019935.jpg
    107.1 KB · Views: 34
Umewapa taarifa!.... ama unalaumu tu.... kabla ya kupost huku ungewapa taarifa aidha kwa kupiga simu ama ungeenda kituoni huo ndio uzalendo.... sio lawama..... wale nao ni watu wanapata taarifa za matukio kutoka kwa raia laiti ungewapa taarifa wakagoma kuja hiyo ingekuwa issue nyingine
 
watumishi hawapandishwi madaraji unategemea nni, na tutarajie makubwa zaidi ya haya
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom