jsenyinah
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 249
- 339
Hodi humu ndani!
Kifo ni LAZIMA, kifo ni safari ya kwenda mbinguni, kifo ni mapenzi ya Mungu.
Naongea haya kwa uchungu sana.
Nimezunguka na kuishi maeneo mengi nchin Tanzania, swala la vifo (vya kasi) kwa wenzetu Wachaga,ni kubwa sana. Siongei kwa ushabiki au napenda iwe hivyo,la hashaa!
Kwa wanaoishi, kufanya kazi au wanatembelea sana mkoani Kilimanjaro watakuwa wanaelewa vizuri hii concept.
Kwa wanaoufahamu mji wa Mombo, Korogwe Tanga. Mji huu n centre kubwa sana kwa ajili ya kutoa huduma za vyakula (hasa mbuzi choma) kwa wapita njia wa barabara ya Dsm Moshi,hasa wanaopita na misiba kuelekea mkoani Kilimanjaro. Kuna wakati nilikaa Mombo miezi 5, kila siku ya Mungu lazima coaster, hiace, pick up ipack hapo Mombo ikiwa na msiba. Utakuta watu wanajidunga vitu ili waamkie uchagani wakiwa na msiba.
Ukiwa Moshi mjn, habari za misiba kwa wenzetu wachaga n kubwa sana.Utasikia tu "naelekea mlimani kuzika".
Hii hali ni tofauti kabisa kwa maeneo mengine nchini.
Ni kwa nn vifo uchagani n vingi sana?
Mbele yao, nyuma yetu!