Licha ya kuwa na matumizi makubwa ya pesa, bado wapo juu tu

jsenyinah

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
249
500
Wachaga wana matumizi makubwa sana,lakini wameendelea sana!

Ukilinganisha na makabila mengine, wachaga wanakula sana bata! Wana matumizi makubwa sana karibu kila siku.

Cha ajabu, walianza kuendelea wao, walianza kusoma sana wao, walianza kuwa na miundombinu mizuri wao, wanywaji wao.

Wanamiliki vitega uchumi vingi, wana majumba ya kutosha na ya maana, wana usafiri wa hatari, wanalima sana, wanachimba madini sana, wanamiliki kampuni za ndege. Hawabani bani hela kama wenzangu wapare na wale wa kusini (majina yamehifadhiwa).

Wachaga wana undugu sana na network kubwa na watu wa kutukuza kwao sana. Watu wanaopenda kuhesabiwa kila mwaka!

Hii situation vipi jamani?
 

Mbojo

JF-Expert Member
May 31, 2011
1,408
2,000
Acha uongo nimekaa na mchaga nyumba moja.Yaani ni bahili kama nini.Jamaa alikuwa anakula ugali na matembele kila siku.Mpaka leo ni maskini hajaendelea kwa kujibana.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom