UTAMU:Mkristo anatema mayai kama Yesu

Mlaleo

JF-Expert Member
Oct 11, 2011
11,256
2,000
Yaani,Mungu n mkubwa sana.Tena sana
Mkuu acha hizo hao ni waigizaji tu wanaitwa Jambo na vijimambo wanavichekesho tu na wala si kama Yesu... video ya Yesu ilitolewa kwa Lugha ya Kiingeleza na ikatafsiliwa kwa lugha ya kiswahili so aliyeitafsiri ndio aliamua kutumia ancient hiyo so jamaa si Yesu... ni maigizo tu... wacha kufanananisha vitu halisi na maigizo.. na kuna thread kadhaa za hawa jamaa tumeshawajadili

MJJ

JF-Expert Member
Feb 24, 2016
313
500

Naamini hakuna aliye record voice ya yesu katika miaka hiyo. Iwe Mzungu ama Mswahili wote ni sawa tu ni usanii.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom