jsenyinah
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 249
- 339
Jee...!!! unajua lengo hasa la Kulala..? Hasa wakati wa Usiku..!!! Lengo la kulala ni kukumbushwa Kifo unapoweka Ubavu wako Kitandani ukumbuke siku utayolala katika Kaburi lako,
Unapofunga Mlango ukumbuke Ubao utaowekwa juu yako,
Unapozima taa ukumbuke Giza la Kaburini, na unapojifunika Shuka ukumbuke Sanda ambayo ndio Vazi lako Kaburini..!!
Hakika kila nafsi Itaonja mauti..!!
Unapofunga Mlango ukumbuke Ubao utaowekwa juu yako,
Unapozima taa ukumbuke Giza la Kaburini, na unapojifunika Shuka ukumbuke Sanda ambayo ndio Vazi lako Kaburini..!!
Hakika kila nafsi Itaonja mauti..!!