Trump kuingia Ofisini January 20,2017.Amwaga ajira 8,000

jsenyinah

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
249
339
Rais mteule Donald Trump ambaye anaingia ofisini January 20,2017, amemwaga ajira 8,000 kwa wamarekani hasa walio nje ya Taifa hilo ili warejee kwenye Taifa hilo ambalo yeye anasema "limeshakuwa na mabadiliko makubwa".

Takribani ajira 5,000 ni za wataalam wa mawasiliano.

Source: Foxy News
 
Attachments

  • Screenshot_2017-01-05-06-42-33.png
    Screenshot_2017-01-05-06-42-33.png
    28.6 KB · Views: 50
Mkuu umeandika kama magazeti pendwa ya uhuru,mzalendo,majira na habarileo
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hii ndiyo aina ya marais tunaowataka siyo rais ambaye kila siku anapunguza ajira na hana mpango wa kuongeza
 
Hapa kazi tu

kweli unaakili ndogo sana, marekani ni sawa na tanzania mara 53, sasa waziri mkuu wa tanzania amesema anaajiri waalimu 39,000 na ni wa sayansi tuu, je, linganisha ajira 8,000 na ukubwa wa nchi ni sawa na umwage maji ya kikombe kwenye bahari
 
Duh sasa kati Yako na Jamaa nani mwenye Akili ndogo? ......au wote mnalingana?........

Waziri mkuu ametangaza ajira 4000 kwa walimu wa sayansi sio nafasi 39,000 kama ulivyosema wewe......

Usiwe mwepesi wa kukosoa wenzako
 
kweli unaakili ndogo sana, marekani ni sawa na tanzania mara 53, sasa waziri mkuu wa tanzania amesema anaajiri waalimu 39,000 na ni wa sayansi tuu, je, linganisha ajira 8,000 na ukubwa wa nchi ni sawa na umwage maji ya kikombe kwenye bahari
Je umeuliza ukajua ni idadi ya watu wangapi hawana ajira huko ,? Na unadhani hao 8000 walimaliza vyuo awamu ya Obama? Je utaratibu wa kutoa ajira kwa marekani unaujua? Na umesoma kwa makini hao wanaopewa ajira ni akina nani ? Ukipata majibu ya maswali hayo ndipo utaelewa
 
DT kashawapanikisha na makampuni makubwa ya uundaji magari marekani,Ford na General Motors.Ford wamesitisha investment yao mpya yenye dhamani ya $I.2bil,nchini mexico na kuamua ku move kurudi marekani,GM nao wanafikiria the same thing.Trump aliwaambia wazi kabisa,either watengeneza hayo magari in US au wa face a haeavy import tax.''Make it here or face import tax''..Akiendelea hivi tutashuhudia makampuni makubwa mengi ya US yakirudi nyumbani coz mwanzo walikuwa wanaingiza products zao bure,ila kwa sasa watapigwa kodi kama makampuni mengine...
 
kweli unaakili ndogo sana, marekani ni sawa na tanzania mara 53, sasa waziri mkuu wa tanzania amesema anaajiri waalimu 39,000 na ni wa sayansi tuu, je, linganisha ajira 8,000 na ukubwa wa nchi ni sawa na umwage maji ya kikombe kwenye bahari

ajira 8,000 bado hata hajaingia ofisin, je hao unaowasema walitoa ajira ngap kabla hawajachukua ofisi?!
 
kweli unaakili ndogo sana, marekani ni sawa na tanzania mara 53, sasa waziri mkuu wa tanzania amesema anaajiri waalimu 39,000 na ni wa sayansi tuu, je, linganisha ajira 8,000 na ukubwa wa nchi ni sawa na umwage maji ya kikombe kwenye bahari
Hata mbuyu ulianza km mchicha hpo ukijumlisha na zile ajira 700 za Fords, bado hajakanyaga WH je akiingia.
 
Back
Top Bottom