Hashimu Rungwe Spunda:Serikali isifanye biashara

Alipanda kwenda Zanzibar na Pangaboi ndani walikuwa watu 3 pekee ndege nzima
Magu kulazimisha NSSF kufungua viwanda ni kosa
 
Tumeshakuwa na serikali isiyofanya biashara, tumeshakuwa na serikali isiyotia hofu wafanyakazi, matokeo yake tukaona jinsi wanavyogeuza nchi shamba la bibi.

Hatuna haja ya kurudia makosa
 
Inategemea baada ya serikali kujiondoa kwenye kuendesha. Viwanda vya sukari na saruji wrote tunaona uhuni unaofanywa na viwanda hivyo pia viwanda Vinci vilivyobinafusishwa vomefungwa au kugeuzwa maghara ajira zimekufa nafikiri badala ya kulaumu serikali angetoa suluhisho mini kifanyike
 
Tatizo la huyu kiongozi wetu anakurupuka sana, angalia sasa pangaboi imeenda zanzibar na watu watatu tu, sijui lengo ni kumfurahisha jecha kuwa nakujali sana
 
Hashim Rungwe Spunda,huyu si mtu wa kumbeza ni mtu ambae anajua anachokisema na kumaanisha.
 
Kwa mfano................

Probably the most common example of a government-owned corporation is the United States Postal Service. Other examples include the National Fish and Wildlife Foundation, the National Park Foundation, the Export-Import Bank of the United States, the Peace Corps and Amtrak.
 
Back
Top Bottom