Search results

  1. Lord Lofa

    DED Temeke: Tangazo lako lina malengo gani?

    Kipindi huyu Mwalimu anapewa vibali na Katibu Mkuu ofisi ya Rais ofisi yako haikuweka Tangazo kuupa umma taarifa. Hili tangazo umelitoa kwa msukumo wa kisiasa ukiamini unawafurahisha wakubwa zako, inasemekana Mwalimu huyu ni miongoni mwa waliokataa uteuzi wa Rais. Hapa busara haijatumika...
  2. Lord Lofa

    DP World wameachia Bandari? TPA yatangaza kutafuta Mzabuni kuhudumia Makasha katika Terminal II

    Haya kelele za Watanzania wengi zimesikilizwa, Wenye sifa waombe kazi hiyo, tupunguze lawama.
  3. Lord Lofa

    Waliokosa Admission kozi za Uhandisi (Engineering)

    *UNATAKA KUWA MHANDISI?* Kama umemaliza *kidato cha sita* katika masomo ya *PCM* au *Diploma (NTA Level 6)* na unataka kuwa mhandisi, Basi jibu ni moja tu. Karibu na ujiunge na chuo cha St. Joseph ili *ufuliwe* katika fani mbalimbali za uhandisi ili kwenda na kasi ya uchumi wa viwanda...
  4. Lord Lofa

    Naomba msaada wa tatizo la internet Connection

    Wakuu habari za humu ndani Nina tatizo la device zangu kushindwa ku access emails za gmail, ninatumia mtandao wa TTCL ninatumia hotspot tethering kutoka kwenye Tablet ya Lenovo. Website nyengine zote ninaweza kuzi access isipokuwa gmail, na bittorrent haidownload files zangu. Nikiweka line ya...
  5. Lord Lofa

    Nahitaji chumba maeneo ya chuo cha st. joseph camgus ya luguruni.

    Habari za shughuli wana bodi. ni mwanafunzi wa chuo tajwa hapo juu. nahitaji chumba kwaajili ya kupanga. kiwe na kodi ya kati ya Tsh.50000-70000 kwa mwezi. kiwe self contained na maji yasiwe shida kupatikana. uwezo wangu naweza kulipia kwa awamu 2. miezi 6 afu namalizia. natanguliza shukrani.
  6. Lord Lofa

    Kweli tumekosa Haya majibu wake kwa waume wataifa hili

    Dr.Mvungi Dr.Mwangosi Mhariri. Absoloni Kibanda
  7. Lord Lofa

    Raia wa Ufaransa aokolewa na Samsung Galaxy S6 edge

    Ni baada ya maadui kulipua bomu na vipande vyenye ncha kali kuruka hovyo vipande vivyo havkuweza haikuweza kuleta madhara baada ya kutua kwenye simu na kuitoboa bila kuleta madhara makubwa kwa raia huyo. source.CNN Nasubiria kuona response ya hii kitu kwenye hisa za samsung.
  8. Lord Lofa

    Nini mustakabali Zanzibar?

    Tarehe ngapi uchaguzi unarudiwa? Nini hasa kinaendelea huko? Kama ni majadiliano ni ya pande zipi na zipi na kuna uelekeo gani hadi sasa? Natamani kufahamu nini hasa kinaendelea Zanzibar.
  9. Lord Lofa

    Mwaka 2010 Pongezi kwa Rais ziligharimu zaidi ya millioni 500 vipi mwaka huu

    Mwaka 2010 Rais J.Kikwete alipomaliza kula kiapo kama Rais wa nchi yetu pongezi zilizotolewa na Taasisi,Mashirika ya Serikali na mashirika binafsi pongezi zilizotolewa kwa njia ya matangazo ya Television na Radio ziligharimu zaidi ya millioni 450 huku pongezi zilizotolewa kwa njia ya magazeti...
  10. Lord Lofa

    Mwalimu Nyerere Taifa linavuna ulichokipanda

    Hawa ni watoto wako,
  11. Lord Lofa

    Lowassa awe kielelezo cha kuigwa katika kutimiza malengo yetu

    Mara kadhaa nilikuwa na mtazamo
  12. Lord Lofa

    Maalim Seif sharif Hamad ni Aug San Suu Kyi wa nchi ya Burma

    Aug San Suu kyi alikuwa ni mtoto wa mkuu wa majeshi ya nchi ya Burma
  13. Lord Lofa

    Naomba kueleweshwa kuhusiana na gharama za Umeme

    Mwezi sept nyumbani tumenunua umeme awamu 2. Awamu ya kwanza tulinunua umeme wa 20,000. Makato yalikuwa jumla ya Tsh.9000 kwa maana ya service charge,REA,VAT, EWURA. gharama ya units ilikuwa ni tsh 11000. Mwishoni mwa mwezi tukanunua umeme tena wa 20000 makato yakawa VAT,EWURA na REA. ukitoa...
  14. Lord Lofa

    Naomba msaada wa ku repair touch screen ya HP SLATE 7 HD

    Habarini sana wakuu kama kichwa kinavyojieleza.Nilihangaika kwa takribani wiki 2 nikitafuta touch screen ya replacement ya hii tablet ya HP SLATE 7 HD sikufanikiwa kuipata kwa maduka ya posta na kariakoo. item kwa bahati mbaya si yangu ni ya jamaa yangu aliniazima kwa bahati mbaya ikavunjika...
  15. Lord Lofa

    Unatuachaje? Falsafa iliyo na majibu mengi ya quantitative approach kuliko qualitative approach

    Wakubwa shikamoni wadogo mambo wapendwa. Mara kadhaa nimepokea ujumbe kupitia simu ya kiganjani ukiwa na umesajiliwa na namba iliyo na jina "unatuachaje" hii ni hudua abayo sijawahi kuiomba lakini nashangaa nimekuwa nikipata ujumbe wake kwa muda wa takribani wiki mblli sasa. kimsingi namba hii...
  16. Lord Lofa

    Je Sarafu ya Tsh.100 ni kielelezo cha ukomo wa chama tawala?

    hii nimewahi kusikia japo siamini hata sasa naamini uwepo wa utabiri na mambo takawa sawia na utabiri. Niliwahi kusikia wale swala wa nyuma ya sarafu ya Tsh.100 huwakilisha tawala za chama tawala kwamba chama tawala kitatawala kwa vipindi 4 mfululizo Na nguvu na uwezo wa hizo tawala...
  17. Lord Lofa

    Kampala University na Vyuo vingine iwe fundisho kwetu vijana wa Tanzania

    Wakuu kwa mfumo wa utendaji wa vyombo vya serikali ni complicated. mfano kesi ya hiki chuo. hiki chuo hawatoi kozi za afya tu kuna kozi mbalimbali ambapo nina uhakika kwa kozi zisizo za afya TCU itakuwa imeona hicho chuo kimekidhi vigezo shida ni hapo kwenye kozi za Afya ambazo kimsingi ili chuo...
  18. Lord Lofa

    Natafuta wi-fi

    Mwenye kifaa cha wireless kinachoweza kuconect device mbili mpaka tatu kama anauza tuwasiliane
Back
Top Bottom