Naomba msaada wa tatizo la internet Connection

Lord Lofa

JF-Expert Member
Dec 26, 2011
2,359
2,315
Wakuu habari za humu ndani
Nina tatizo la device zangu kushindwa ku access emails za gmail, ninatumia mtandao wa TTCL ninatumia hotspot tethering kutoka kwenye Tablet ya Lenovo. Website nyengine zote ninaweza kuzi access isipokuwa gmail, na bittorrent haidownload files zangu.
Nikiweka line ya tigo kwenye Tablet hakuna tatizo lolote, mtandao uko vizuri na ninaweza kusoma email na kudownload file zangu kwenye bittorrent.
Nimewapigia simu TTCL wameniambia nifanye config za internet sehemu ya Name ya ISP niandike TTCL kwa herufi kubwa na sehemu ya ANP niandike internet, nimefanya hivyo lakini bado tatizo liko palepale naomba msaada wenu wataalamu wa haya mambo
 
Walichokushauri hawa TTCL nadhani sio sahihi maana hiyo solution huwa inatumika kama hupati net kabisa ,lakini kesi yako wewe ni tofauti ,hapo jaribu kufungua gmail kuyoka kwenye browser nyingine.
 
Wakuu habari za humu ndani
Nina tatizo la device zangu kushindwa ku access emails za gmail, ninatumia mtandao wa TTCL ninatumia hotspot tethering kutoka kwenye Tablet ya Lenovo. Website nyengine zote ninaweza kuzi access isipokuwa gmail, na bittorrent haidownload files zangu.
Nikiweka line ya tigo kwenye Tablet hakuna tatizo lolote, mtandao uko vizuri na ninaweza kusoma email na kudownload file zangu kwenye bittorrent.
Nimewapigia simu TTCL wameniambia nifanye config za internet sehemu ya Name ya ISP niandike TTCL kwa herufi kubwa na sehemu ya ANP niandike internet, nimefanya hivyo lakini bado tatizo liko palepale naomba msaada wenu wataalamu wa haya mambo
Yaan majibu wanayoyatoa bahadhi ya ya customer care wa Ttcl kwenye swala la internet muda mwingine unaweza kulia,wanaonekana mambo ya internet kwao ni mageni kabisa
 
Shida ni kwamba wanawaachia watu ambao wasiokuwa na training nzuri kuhusu ishu za data,inatakuwa sasa waajiri wataalamu wa masuala ya data.

Sent from my Infinix X572 using JamiiForums mobile app
 
Toka lini customer care wa mitandao ya simu wakatoa solutions za kueleweka kuhusu matatizo ya simu ya mteja wao?? Labda kama tatizo lina relate na servers zao uko...
 
Kuna kipindi nilikua dar napata hilo tatizo,gmail pekee haifunguki lakini kwngne kote fresh,nilikausha kama wiki likajisolve lenywe,but sikuwahi pata connection ya gmail na ttcl
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom