Natafuta wi-fi

Natafuta wi-fi

Lord Lofa

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2011
Posts
2,525
Reaction score
2,799
Mwenye kifaa cha wireless kinachoweza kuconect device mbili mpaka tatu kama anauza tuwasiliane
 
Mwenye kifaa cha wireless kinachoweza kuconect device mbili mpaka tatu kama anauza tuwasiliane

Nenda madukani zipo.. ulizia router zipo kibao kwa bei ya kawaida elf 60 na kuendelea .. me nlikuwa nayo ya elf 60 nilikuwa naweka pc zaidi ya kumi na zina run vizuri sana
 
Back
Top Bottom