Waliokosa Admission kozi za Uhandisi (Engineering)

Waliokosa Admission kozi za Uhandisi (Engineering)

Lord Lofa

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2011
Posts
2,525
Reaction score
2,802
*UNATAKA KUWA MHANDISI?*

Kama umemaliza *kidato cha sita* katika masomo ya *PCM* au *Diploma (NTA Level 6)* na unataka kuwa mhandisi, Basi jibu ni moja tu.

Karibu na ujiunge na chuo cha St. Joseph ili *ufuliwe* katika fani mbalimbali za uhandisi ili kwenda na kasi ya uchumi wa viwanda.

Fani zinazotolewa ni kama:

*1. Electrical and Electronics Engineering*👨🏾‍🔧.

*2. Electrical and Communications Engineering*👩🏾‍🔧.

*3. Mechanical Engineering*👨🏾‍🚒.

Fani hizi za uhandisi ni kwa ngazi ya *shahada*. Na ni kwa muda wa miaka *minne (4)*.

Namna ya kuomba kujiunga ni kupitia wavuti ya chuo SJUIT au kufika chuoni *luguruni kibamba, Dar es Salaam* ofisi ya admission nawe utapokelewa na kusajiliwa.

Vigezo vya chini vya kujiunga ni *D* mbili kwa wale waliosoma *PCM* na kwa wale waliohitimu *NTA level 6* ni GPA ya *3.0*

Wale wote wenye vigezo na bado hawajapata chuo basi wanakaribishwa kujiunga na chuo cha St. Joseph ili kufikia ndoto zao za kuwa wahandisi nchini Tanzania.

Wahi maana nafasi ni chache na muda uliobaki ni mchache.

Kwa mawasiliano zaidi piga nambari zifuatazo:

*A. 0685061723. (Airtel)*

*B. 0679264357. (Tigo)*

*C. 0624051909. (Halotel)*

*D. 0764951519. (Voda)*

*E. 0766500601. (Voda)*

Au jiunge group letu la whatsapp ili kupata taarifa zaidi kupitia link iliyotumwa na taarifa hii.
*WhatsApp Group Invite

*👨🏾‍🎓St. Joseph University👨🏾‍🎓*

*🎓Where your dreams are Nurtured🎓*
 
Vijana kweli wanatamani uhandisi,tatzo vyuo vyenu siku hizi haviaminiki kabisa maana haipitagi muda unakuta vimefungiwa
 
Waambie waindi waache tamaa na migogoro na wanafunzi wanaua chuo , na kupoteza sifa yake chanzo cha kufungiwa kwa baadhi ya kozi hapi ilikua ugomvi wa kijinga kati ya uongozi na wanafunzi ugomvi ulikua mkubwa mpaka TCU na wizara ya elimu ikabidi ifike hapo , kufika wakakuta na mengineyo , hadhi ya chuo inakufa kwa chokochoko za kijinga sana st Joseph hakikua chuo cha kuomba udahiri kwenye mitandao shame on you.
 
s

ACHA KIJITEMBEZE SASA MANAKE KIMESHINDWA KUJIUZA
 
Back
Top Bottom