Search results

  1. M

    Ninahitaji kazi, professional au non professional

    Habari za majukumu waungwana! Mimi ndugu yenu mwanafamilia wa Jamii Forum nimerejea tena nikihitaji kazi. Mimi ni mhitimu wa shahada ya kwanza ya Sayansi Akua na Uvuvi (Aquatic Sciences and fisheries) katika chuo kikuu Cha Dar es Salaam mwaka 2020. Umri wangu ni miaka 27, mwanaume na mkazi wa...
  2. M

    Nimerejea tena wakuu, nahitaji kazi

    Habari za majukumu waungwana! Mimi ndugu yenu mwanafamilia wa Jamii Forum nimerejea tena nikihitaji kazi. Mimi ni mhitimu wa shahada ya kwanza ya Sayansi Akua na Uvuvi (Aquatic Sciences and fisheries) katika chuo kikuu Cha Dar es salaam mwaka 2020. Umri wangu ni miaka 27, mwanaume na mkazi wa...
  3. M

    Ninatafuta kazi

    Waungwana habari zenu! Nimekuja tena hapa kutafuta kazi maana hali yangu kiuchumi ni mbaya sana! Nina shahada ya Aquatic sciences and fisheries (Sayansi Akua na Uvuvi) niliyohitimu mwaka 2020. Kwa sasa sina kazi, Kuna sehemu nlikuwa najitolea kupata uzoefu katika taaluma yangu ila napo...
  4. M

    Natafuta kazi baada ya kupoteza nyingine

    Wakuu habari zenu, mie ni kijana wa kiume Mtanzania mwenye umri wa miaka 27. Kwa sasa makazi yangu ni Mkuranga Pwani! Nlikuwa ninafanya kibarua X katika taasisi moja hivi nlipokuwa nmejishikiza nkipata hela ya kula n.k ila mkataba umeisha na siwezi kuendelea. Elimu yangu ni degree ya Aquatic...
  5. M

    Ufafanuzi kuhusu Psychrometric Analysis Test Report (PAR)

    Wakuu habari zenu, Mimi kama kijana mpambanaji nlikutana na tangazo moja nikaaply kama kawaida. Wale watu wakanijibu kwa email kuwa Kuna interview mbili na ya kwanza ni kujaza Staff assessment form na kusubmit Psychrometric Analysis Test Report (PAR). Hapo kwenye PAR ndio kwenye mtihani kwa...
  6. M

    Nimepoteza kazi na Nina balance ya 500,000/- pekee

    Wakuu habari zenu, Nilikuwa nafanya kazi ndogo sehemu fulani na ilikuwa inanisaidia sana kupata mahitaji muhimu. Kazi yetu ni ya mkataba na umeisha mwezi uliopita, tumejaribu ku-renew lakini uongozi hauna mipango na sisi Tena. Kazi haina mafao na hivyo nimetoka kama nilivyo na hiyo laki 5...
  7. M

    Ndugu yangu wa Kidato cha Nne anatafuta kazi

    Habari wakuu! Kuna ndugu yangu wa kike mwenye umri wa miaka 23 na mwenye elimu ya kidato cha nne anatafuta kazi au shughuli ya halali ya kumsaidia kupata kipato cha kukidhi mahitaji yake. Amehangaika sana bado hajapata. Hana proffesion ya kielimu bali ana ujuzi wa kusuka. Anaishi vikindu...
  8. M

    Mwajiriwa wa serikali wa TGS E anakatwa kiasi gani kwenye kila mshahara wake?

    Habari wakuu, Mimi sio mwajiriwa ila ni mtafutaji ambaye ikitokea nkaingia kwenye mfumo basi ntakuwa kwenye daraja la TGS E. Kujua jambo ni vyema sana, mimi nilikuwa mnufaika wa bodi ya mikopo (HESLB). Napenda kujua taasisi husika kama NHIF, NSSF, PSSSF, HESLB na TRA (PAYE) wanakata kwa...
  9. M

    Raha kamili ya matumizi ya kinga

    Wakuu napenda kukubaliana na taasisi za afya kote duniani zinazosisitiza matumizi ya kondomu kama njia sahihi ya kujikinga na mimba zisizotarajiwa na magonjwa ya zinaa ikiwemo UKIMWI. Binafsi huwa situmii mara kwa mara kwa sababu nafanya tendo na mwanamke wangu mmoja ninayemwamini. Changamoto...
  10. M

    Natafuta kazi nina Shahada ya Sayansi Aqua na Uvuvi (Bachelor of science in Aquatic sciences and fisheries)

    Habari zenu ndugu, Mimi ni Kijana wa kiume umri miaka 24 na mhitimu wa Chuo kikuu cha Dar es salaam (UDSM) katika shahada ya Sayansi Aqua na Uvuvi (Bachelor of science in Aquatic sciences and fisheries). Naishi Ubungo Dar es salaam kwa sasa.Ninatafuta kazi katika sekta resmi na isiyo rasmi...
  11. M

    Natafuta kazi katika Sekta ya Kilimo na Uvuvi

    Habari zenu ndugu, Mimi ni Kijana wa kiume umri miaka 24 na mhitimu wa Chuo kikuu cha Dar es salaam (UDSM) katika shahada ya Sayansi Aqua na Uvuvi (Bachelor of science in Aquatic sciences and fisheries). Naishi Ubungo Dar es salaam kwa sasa. Ninatafuta kazi katika Rekta resmi na isiyo rasmi...
  12. M

    Katika shahada ya Sayansi Aqua na Uvuvi Mimi ni mhitimu wa Bachelor of Science in Aquatic Sciences and Fisheries. Natafuta kazi ya halali

    Habari zenu ndugu, Mimi ni Kijana wa kiume umri miaka 24 na mhitimu wa Chuo kikuu cha Dar es salaam (UDSM) katika shahada ya Sayansi Aqua na Uvuvi (Bachelor of science in Aquatic sciences and fisheries). Naishi Ubungo Dar es salaam kwa sasa.Ninatafuta kazi katika sekta resmi na isiyo rasmi...
  13. M

    Natafuta kazi ya ualimu

    Hello, Mimi ni mhitimu wa chuo kikuu UDSM mwaka jana. Sijasomea ualimu lakini nina passion ya kufundisha hasa masomo ya Physics, Chemistry na Biology kwa O level na Chemistry na Biology pekee kwa A level. Taaluma niliyosomea ni Aquatic science and fisheries technology na kwa sasa siwezi...
Back
Top Bottom