Natafuta kazi baada ya kupoteza nyingine

Joined
Feb 15, 2021
Posts
77
Reaction score
89
Wakuu habari zenu, mie ni kijana wa kiume Mtanzania mwenye umri wa miaka 27. Kwa sasa makazi yangu ni Mkuranga Pwani! Nlikuwa ninafanya kibarua X katika taasisi moja hivi nlipokuwa nmejishikiza nkipata hela ya kula n.k ila mkataba umeisha na siwezi kuendelea.

Elimu yangu ni degree ya Aquatic Sciences and Fisheries. Japo nahangaika huku na kule ila bado sijapata na naendelea kupambana. Kwa sasa nahitaji kazi hata ya internship maana akiba niliyonayo ni ndogo siwezi kufanyia kitu Cha kueleweka
.
Mwenye connection, idea, kazi nahitaji anisaidie wakubwa[emoji120]
 
Hiyo degree yako kwa kiswahili inaitwaje?
 
Mkuranga kazi kibao viwandani mkuu unafeli wapi
 
Back
Top Bottom