Raha kamili ya matumizi ya kinga

Feb 15, 2021
72
82
Wakuu napenda kukubaliana na taasisi za afya kote duniani zinazosisitiza matumizi ya kondomu kama njia sahihi ya kujikinga na mimba zisizotarajiwa na magonjwa ya zinaa ikiwemo UKIMWI.

Binafsi huwa situmii mara kwa mara kwa sababu nafanya tendo na mwanamke wangu mmoja ninayemwamini.

Changamoto inakuja pale anapokuwa kwenye siku zake za hatari na tukawa na hamu ya kunyanduana inatulazimu tutumie ndomu, yaani huwa sihisi chochote kabisa tofauti na tukienda nyama nyama yaani bora ya nyeto.

Cha ajabu yeye ni makelele na miguno mtindo mmoja. Sijui shida yangu inakuwa wapi? Je shida ni nini wakuu?
 
Ongera sana inaonekana auna ata kamchepuko wewe, wanaume wote wangekuwa kama ww basi panyaroad wasingekuwepo.
 
Badirishen njia ya kuzuia ujauzito ili na ww uweze kuenjoy tena hizo siku huwa wanakuwa. Sijui ata nataka kusema nini, ila kaa nae umueleze ukweli mjadiri ni njia gan mtatumia mbali na condom
 
Back
Top Bottom