Ufafanuzi kuhusu Psychrometric Analysis Test Report (PAR)

Feb 15, 2021
72
82
Wakuu habari zenu, Mimi kama kijana mpambanaji nlikutana na tangazo moja nikaaply kama kawaida. Wale watu wakanijibu kwa email kuwa Kuna interview mbili na ya kwanza ni kujaza Staff assessment form na kusubmit Psychrometric Analysis Test Report (PAR). Hapo kwenye PAR ndio kwenye mtihani kwa sababu lazima ulipe pesa hata kama utafanyiwa na sehemu nyingine wasiohusiana na kampuni!

Kwa aliyewahi kukutana na hii kitu naomba aniambie mbivu na mbichi tafadhali
 
Wanakupiga hao.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom