Search results

  1. Sami Omary Khamis

    Makosa ya Lissu, Membe ni fundisho chaguzi kuu

    Na Mwamba wa Kaskazini Ni dhahiri kuwa tathmini ya kampeni, kura za maoni na matakwa ya wapigakura wengi (election issues) vinahitimisha kuwa ni dhahiri wagombea wawili mashuhuri wa upinzani, Tundu Lissu na Bernard Membe wameadhibiwa na wapigakura kwa sababu zile zile za kimkakati za makosa ya...
  2. Sami Omary Khamis

    Uchaguzi 2020 EAC: Uchaguzi Mkuu umefuata taratibu, hongereni Watanzania

    Jopo la waangalizi 89 waliobobea kwenye masuala ya demokrasia kutoka Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) likiongozwa na Mhe. Silvestre Ntibantunganya limesema uchaguzi wa Tanzania umefuata utaratibu, hivyo watanzania wanatakiwa kuendelea kuimarisha amani iliyopo. Wabobezi hao, wenye weledi na...
  3. Sami Omary Khamis

    ACT-Wazalendo na CHADEMA mnajitekenya huku mnacheka

    Nimezinyaka nyepesi nyepesi kwamba Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA na ACT-Wazalendo wanapanga mkakati wenye nia ovu, eti kuanzia Jumatatu Novemba 2 mwaka huu wanapanga kuitisha maandamano ya kitaifa. Mpango ambao utatangazwa kwenye Press Conference ya kesho iliyoitishwa na...
  4. Sami Omary Khamis

    Uchaguzi 2020 SADC yaipongeza Tanzania kwa kuendesha Uchaguzi halali

    Jukwaa la Tume za Uchaguzi la SADC limeipongeza serikali ya Tanzania kwa kuendesha Uchaguzi halali. Jukwaa hilo linaundwa na tume za uchaguzi za mataifa 14 ya SADC. Tamko lililotolewa na jukwaa hilo kutoka makao makuu yake yaliyopo Botswana, linasema NEC na ZEC zimeendesha uchaguzi huru, wa...
  5. Sami Omary Khamis

    Uchaguzi 2020 Tusimjibu Shekhe Ponda mitandaoni, tujiandae kupiga kura

    1. Shekhe Ponda anataka kutanua goli la udini, mkimjibu mnachochea udini, mtazigawa kura zetu bure achaneni naye tujiandae kupiga kura Oktoba 28. 2. Shekha Ponda anataka kuhamisha goli la USHOGA kumjibu ni kukubali kuhama, achaneni nae tujiandae kupiga KURA kupinga ushoga Oktoba 28. 3. Shekhe...
  6. Sami Omary Khamis

    Wafuatao tukutane tarehe 28 Oktoba vituo vya kupigia kura

    1. Viongozi wote wa Dini na Madhebu, wale waaminio ktk Mungu/Allah na watu wote wenye maadili mema, Wanawake wanauomizwa zaidi na USHOGA tukutane katika vituo vya kupigia KURA kuchagua kupinga USHOGA kwa kuichagua CCM. 2. Watanzania wote wapenda AMANI, UTULIVU na MSHIKAMANO kutoka BARA na...
  7. Sami Omary Khamis

    Zanzibar 2020 Usafiri wa anga: Tutatekeleza Zanzibar (2020-2025)

    #USAFIRI WA ANGA. CCM inatambua kuwa usafiri wa anga ni njia muhimu na ya haraka inayounganisha visiwa vya Zanzibar na sehemu nyingine duniani. Katika Ilani hii, Chama cha Mapinduzi kitaelekeza SMZ kuongeza uwezo na ufanisi wa viwanja vya ndege kwa kuzingatia viwango vya kimataifa ili kuendana...
  8. Sami Omary Khamis

    Zanzibar 2020 Kura kwa Dkt. Mwinyi; Chagua ilani bora, chagua umeme wa uhakika

    Kwa kipindi cha miaka mitano ijayo (2020-2025), CCM itaielekeza SMZ kufanya mambo yafuatayo kwa ajili ya UMEME na NISHATI mbadala Zanzibar; 1. Kusimamia utekelezaji wa Sera ya Nishati ya Mwaka 2020 na kuendeleza juhudi za upatikanaji wa umeme na nishati mbadala. 2. Kuimarisha shughuli za...
  9. Sami Omary Khamis

    Juhudi kubwa zimechukuliwa katika kuimarisha sekta ya mawasiliano Zanzibar ili iweze kusaidia kukuza uchumi na shughuli za kijamii

    #MAWASILIANO. Juhudi kubwa zimechukuliwa katika kuimarisha sekta ya mawasiliano Zanzibar ili iweze kusaidia kukuza uchumi na shughuli za kijamii. Mafanikio yaliyopatikana wakati wa utekelezaji wa Ilani ya CCM ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2015 ni kama ifuatavyo: 1. Kuanzisha Wakala wa Mkongo...
  10. Sami Omary Khamis

    Chama Cha Mapinduzi kinatambua kuwa sekta ya viwanda ni nguzo muhimu katika kukuza uchumi wa nchi

    Chama Cha Mapinduzi kinatambua kuwa sekta ya viwanda ni nguzo muhimu katika kukuza uchumi wa nchi, kukuza pato la mwananchi, kupunguza umasikini na kuongeza uwezo wa Taifa kujitegemea. Katika Kipindi cha miaka mitano iliyopita (2015 - 2020), Serikali imepata mafanikio yafuatayo katika Sekta ya...
  11. Sami Omary Khamis

    Uchaguzi 2020 Sisi ni mashahidi, tutapiga kura kumchagua tena

    SISI NI MASHAHIDI, TUTAPIGA KURA KUMCHAGUA TENA 1. JPM alipotangaza kufufua shirika la Ndege Tanzania (ATCL) kwa kununua Ndege mpya kwa ajili ya usafiri wa anga tulikua hapa #FikraHuru tukicheka kwa dharau. Zikanunuliwa ya kwanza hadi ya nane, usafiri ukaboreka, ATCL ikarudi sasa inapasua anga...
  12. Sami Omary Khamis

    Uchaguzi 2020 Lissu, Kiburi si maungwana!

    LISSU; KIBURI SI MAUNGWANA!! Imeandikwa, kiburi si maungwana na mtoto mkaidi hawezi kufaidi hadi siku ya Iddi. Tundu Lissu anaingia ktk kundi hili kwa kushauriwa vibaya au kukaidi ushauri mzuri. 1. Aliemshauri Lissu kuwa baada ya kuadhibiwa na Kamati ya Maadili ya NEC anaweza kuendelea na...
  13. Sami Omary Khamis

    Uchaguzi 2020 Nitamchagua tena Dkt. Magufuli kwa sababu hizi...

    Tuelewane vizuri hapa, tusilazimishane. Sisi tulioguswa na JPM tutamchagua tena Oktoba 28. Tutamchagua JPM tena kwakuwa SABABU tunazo, NIA tunayo na UWEZO tunao; #SisiTumeamuaKumchaguaTenaJPM. 1. SISI Wananchi wa vijijini huku ndani ndani ambao hatukuwahi kuona balbu ya umeme miaka yote tangu...
  14. Sami Omary Khamis

    Dkt. Bashiru Ally: CCM tuna viongozi wenye msimamo wa kulinda rasilimali za nchi

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Bashiru Ally amefafanua sababu za viongozi wa Upinzani kuikejeli na kuitukana CCM. Akizungumza na wazee Afisi Kuu Zanzibar, tarehe 05 Oktoba, 2020 pamoja na masuala mengine ameeleza kuwa, "Wazee wangu tumetukanwa sana hatujajibu mapigo kwa Matusi...
  15. Sami Omary Khamis

    Uchaguzi 2020 Chagua CCM 28 Oktoba 2020

    Ni uchaguzi rahisi kwa CCM, uchaguzi mwepesi kuwahi kutokea katika historia ya nchi hii. Ni uchaguzi wa mafanikio ya CCM dhidi ya ahadi za Wapinzani. CCM inakwenda ktk uchaguzi huu kuonesha mafanikio iliyoyafanya kwa miaka mitano iliyopita (ambayo kimsingi ni mengi) wakati wapinzani wanakwenda...
  16. Sami Omary Khamis

    Uchaguzi 2020 Membe, ACT Wazalendo kukata pumzi na unafiki wa Zitto

    MEMBE, ACT WAZALENDO KUKATA PUMZI KAMPENI NA UNAFIKI WA ZITTO Na Mwamba wa Kaskazini Jana au juzi nimesoma andiko la vijana wa ACT wakiuliza swali muhimu sana ambalo naona limeibua mambo ndani ya Chama hicho kuhusu yu wapi mgombea wao wa Urais Benard Membe? Mwanadiplomasia anayeelezwa kuwa si...
  17. Sami Omary Khamis

    Uchaguzi 2020 Yaliyojiri Kutoka Uwanja wa Lake Tanganyika, Kigoma: Kampeni za Dkt. Magufuli kusaka urais 2020-2025

    Mgombea Urais wa JMT, Dkt. John Magufuli yupo Kigoma leo Septemba 18, 2020. Updates zote zitawekwa hapa: Video: Ngoma ya kinamama wa kabila la Wabembe wa kata ya Kitongani Kigoma mjini wakitumbuiza katika Uwanja wa Lake Tanganyika mkoani humo katika kunogesha mkutano wa kampeni wa JPM leo...
  18. Sami Omary Khamis

    Chama kinachotaka kuhudumia watanzania, kinabagua na kuweka nongwa maendeleo yakipelekwa sehemu fulani ya nchi

    Kampeni za vyama mbalimbali vya siasa zimeendelea kutimua vumbi maeneo mbalimbali ya nchi yetu. Kwa mshtuko sana nimesikitika kuona baadhi ya vyama vya upinzani kuanza ubaguzi wa waziwazi kwa kuumia na kuweka nongwa Serikali kupeleka maendeleo na kutekelezwa kwa miradi mbalimbali ya maendeleo...
  19. Sami Omary Khamis

    Kishindo cha Rais Magufuli katika uhusiano wa Mataifa

    Na Debora C. Kiyuga ✍🏽 Miaka Mitano ya Magufuli Serikali imeimarisha uhusiano na ushirikiano na Mataifa ya nje pamoja na taasisi za kimataifa. Hii ndiyo sababu Serikali iliweza kupokea viongozi wa Nchi na Taasisi mbalimbali za kimataifa, ikiwemo Vietnam, India, Uturuki, Afrika Kusini, DRC...
  20. Sami Omary Khamis

    Nani kama Dkt. Magufuli? Huo ndio uongozi wa kujitoa kwa maarifa na nguvu zako zote ili kuwainua wananchi wako

    Jumapili Septemba 13 mwaka huu tulishuhudia tukio kubwa la kihistoria la kiuchumi, ustawi wa watu, undugu na maendeleo ya nchi yetu kwa kushuhudia utiaji saini wa utekelezaji wa mradi mkubwa wa Bomba la mafuta lenye urefu wa takriban Km 1445 kutoka Hoima nchini Uganda mpaka Tanga Tanzania wenye...
Back
Top Bottom