Chama kinachotaka kuhudumia watanzania, kinabagua na kuweka nongwa maendeleo yakipelekwa sehemu fulani ya nchi

Sep 8, 2020
67
150
Kampeni za vyama mbalimbali vya siasa zimeendelea kutimua vumbi maeneo mbalimbali ya nchi yetu. Kwa mshtuko sana nimesikitika kuona baadhi ya vyama vya upinzani kuanza ubaguzi wa waziwazi kwa kuumia na kuweka nongwa Serikali kupeleka maendeleo na kutekelezwa kwa miradi mbalimbali ya maendeleo kwenye maeneo fulani ya nchi.

Inashangaza sana lakini ni hatari unapoona mtu anayetaka nafasi kubwa kabisa ya uongozi kwenye nchi kuanza kubagua mapema watu anaotaka kuwaongoza kwa kuweka chuki za hadharani na kuumia eneo fulani la nchi kupelekewa maendeleo.

Kwani Chato iko nchi gani? Sio Tanzania. Sasa kwanini pakipelekwa maendeleo yaliyopelekwa pia sehemu nyingine za nchi mtu ateseke? Kwani Chato hakuna Watanzania mpaka wasipelekewe maendeleo wao?

Kama ni viwanja vya ndege vimejengwa kila mahali nchi nzima. Kama ni barabara kila wilaya na halmashauri kipindi hiki zimepelekewa fedha za miradi ya barabara. Kama ni taa za barabarani zimejaa kila miji nchi nzima. Sasa kwanini ikiwa Chato mtu aumie na kuweka nongwa? Kwani Chato wanaishi Wahutu au Wazuru? Si Watanzania kama Watanzania wowote popote pale nchi nzima?

Hii ni hatari sana kwa mtu tu anayeomba Urais kuanza kugawa watu na kuona kuna watu wanapaswa wapate maendeleo na wengine hawapaswi kupata. Hii ni ishara mbaya sana kwetu Watanzania. Watanzania wote popote walipo wanapaswa na wana haki ya kupata maendeleo. Si dhambi wala uvunjifu wa sheria, ni wajibu kwa kiongozi yeyote yule.

Kwa wana Chato na Watanzania wote nchi nzima hii ituamshe kama bado kuna watu wako usingizini. Hakuna kilichofanyika Chato ambacho hakijafanyika popote pale nchi nzima. Jambo gani lipo Chato na halipo kwengine Tanzania? Lipi?

Narudia tena hii ni hatari na haifai kuungwa mkono. Mwisho ni kwa Watanzania wote, tuwe makini na macho sana na baadhi ya wagombea walio tayali kutumia hila na kila aina ya njia na njama kupata uongozi, walio tayali kutugawa na kutuchonganisha ili wao wapate uongozi. Karma ya kwanza ya kiongozi ni kuunganisha na kuongoza watu kuelekea maendeleo. Sasa unapoona kiongozi anaanza kuwagawa na kuwapasua inahatarisha sana.

Twende tukawanyime kura Oktoba 28.
 
torosi

JF-Expert Member
Aug 12, 2020
309
1,000
EiHzO3kUYAAPqWK.jpg
 
Bekiri

Member
Jun 30, 2013
14
75
Kampeni za vyama mbalimbali vya siasa zimeendelea kutimua vumbi maeneo mbalimbali ya nchi yetu. Kwa mshtuko sana nimesikitika kuona baadhi ya vyama vya upinzani kuanza ubaguzi wa waziwazi kwa kuumia na kuweka nongwa Serikali kupeleka maendeleo na kutekelezwa kwa miradi mbalimbali ya maendeleo kwenye maeneo fulani ya nchi.

Inashangaza sana lakini ni hatari unapoona mtu anayetaka nafasi kubwa kabisa ya uongozi kwenye nchi kuanza kubagua mapema watu anaotaka kuwaongoza kwa kuweka chuki za hadharani na kuumia eneo fulani la nchi kupelekewa maendeleo.

Kwani Chato iko nchi gani? Sio Tanzania. Sasa kwanini pakipelekwa maendeleo yaliyopelekwa pia sehemu nyingine za nchi mtu ateseke? Kwani Chato hakuna Watanzania mpaka wasipelekewe maendeleo wao?

Kama ni viwanja vya ndege vimejengwa kila mahali nchi nzima. Kama ni barabara kila wilaya na halmashauri kipindi hiki zimepelekewa fedha za miradi ya barabara. Kama ni taa za barabarani zimejaa kila miji nchi nzima. Sasa kwanini ikiwa Chato mtu aumie na kuweka nongwa? Kwani Chato wanaishi Wahutu au Wazuru? Si Watanzania kama Watanzania wowote popote pale nchi nzima?

Hii ni hatari sana kwa mtu tu anayeomba Urais kuanza kugawa watu na kuona kuna watu wanapaswa wapate maendeleo na wengine hawapaswi kupata. Hii ni ishara mbaya sana kwetu Watanzania. Watanzania wote popote walipo wanapaswa na wana haki ya kupata maendeleo. Si dhambi wala uvunjifu wa sheria, ni wajibu kwa kiongozi yeyote yule.

Kwa wana Chato na Watanzania wote nchi nzima hii ituamshe kama bado kuna watu wako usingizini. Hakuna kilichofanyika Chato ambacho hakijafanyika popote pale nchi nzima. Jambo gani lipo Chato na halipo kwengine Tanzania? Lipi?

Narudia tena hii ni hatari na haifai kuungwa mkono. Mwisho ni kwa Watanzania wote, tuwe makini na macho sana na baadhi ya wagombea walio tayali kutumia hila na kila aina ya njia na njama kupata uongozi, walio tayali kutugawa na kutuchonganisha ili wao wapate uongozi. Karma ya kwanza ya kiongozi ni kuunganisha na kuongoza watu kuelekea maendeleo. Sasa unapoona kiongozi anaanza kuwagawa na kuwapasua inahatarisha sana. Twende tukawanyime kura Oktoba 28.
 
Tate Mkuu

JF-Expert Member
Jan 24, 2019
4,643
2,000
UVCCM mnakosea wapi!! Mbona mada zenu zinafanana? Ni nani anayewaandalia? Polepole au Katibu Mkuu?
 
Benny Haraba

JF-Expert Member
Dec 7, 2012
6,213

Swali fikirishi je kodi wanalipa wana CCM peke yao?. Hata kodi basi ziwe za kichama
 
Kinyungu

JF-Expert Member
Apr 6, 2008
10,368

Chato watozwe kodi kubwa zaidi kwa sababu maendeleo ya kisasa yanapelekwa kwao kwa kasi kuliko hata Chamwino ilipo Ikulu
 
Louis II

JF-Expert Member
Mar 9, 2018
3,026
2,000
Tatizo sio kujenga uwanja Wa ndege! Tatizo ni kujenga uwanja wa ndege wenye hadhi ya kimataifa Chato wakati hakuna economic potential yoyote ya maana zaidi ya siasa mfu, at the same time Bunge halijashirikishwa kwa chochote. Huu ni wizi na upendeleo Wa waziwazi...Hii haina tofauti na kujenga Mall kubwa Mgwashi-Bumbuli ukitegemea wateja wakijijini.
 
Mr. Zero

JF-Expert Member
Jun 5, 2007
12,573
2,000
Mkuu mwnyewe kishasema kuwa kuna majimbo aliyaruka ... hawakupelekewa maendeleo kwa kuwa walichagua upinzani. Na mwaka huu wasifanye makosa .... sasa mbaguzi ni nani hapo!!?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom