Search results

  1. Kaudunde Kautwange

    Nahitaji Gari kwa budget ya Tshs. 6.5M

    Habari! Nahitaji gari aina ya: 1. Runx, au 2. Allex, au 3. Spacio Kwa budget tajwa hapo Juu. Namba kuanzia C na kupanda Juu. Tuma picha WhatsApp tu: 0656142433
  2. Kaudunde Kautwange

    Wajuzi na wenye uzoefu na Subwoofer

    Wadau niaje? Naomba kujua kwa wenye uzeofu na subwoofer, ipi ni brand nzuri, ina mdundo mzuri na inajitahidi kudumu. Ukiweka na bei utakuwa umenisaidia sana!
  3. Kaudunde Kautwange

    Nahitaji Gypsum board rejects pc 50

    Watu wa Mungu! Mwenye kuuza Gypsum board ambazo ni reject (zinakuwa na dorari ndogo ndogo sana) naomba aje na offer yake. WhatsApp 0656142433 Calls/Sms 0689629763
  4. Kaudunde Kautwange

    Msaada wa matibabu ya maumivu ya mgongo

    Watu wa Mungu habari! Tangu mwaka 2008 nimekuwa nikisumbuliwa na maumivu kati kati ya mgongo, nilihangaika sana kusaka tiba, ila mambo bado. Tangu mwaka Jana nikaanza kuhusi maumivu ya mgongo yanasababisha menu kufa ganzi, kama wiki mbili hivi nikaenda Kairuki, wakanipiga x rays, nikaambiwa...
  5. Kaudunde Kautwange

    Changamoto na ushauri wa gari aina ya Honda Fit GE6 ya mwaka 2009

    Watu wa Mungu habari! Naomba kujua toka kwa mwenye uzoefu wa kutumia hii gari aina ya Honda Fit GE6. Ina changamoto gani, ina ubora gani na bei yake hapa Tanzania, upatikanaji wa spare zake n.k Natamani sana kumiliki hili gari! Ahsante
  6. Kaudunde Kautwange

    Maswali fikirishi Juu ya Tozo za Majengo kupitia mfumo wa kununua Luku

    Kuanzia leo Agosti 20, 2021 rasmi serikali imetangaza kuanza kukusanya kodi ya majengo kupitia ununuzi wa umeme kwa njia ya Luku. Ni wazo jema lakini limegubikwa na utata, ni wakati sasa wa serikali kujitokeza hadharani na kutolea ufanunuzi na kujibu hoja hizi hapa chini: 1. Tozo ya majengo...
  7. Kaudunde Kautwange

    Fursa zipo nyingi sana, 5 Online Projects

    Habari wana board! Namshukuru Mungu kwa uzima aliotukirimia, sifa, heshima na utukufu ni kwake Yeye Pekee! Miaka 5 iliyopita nilianza kupata hamasa ya kujifunga mambo ya kuunda tovuti, hii ilichochewa na kuwepo kwa fursa nyingi sana ambazo mimi binafsi niliziona kwenye upate wa IT...
  8. Kaudunde Kautwange

    Uzi Maalum wa kutaja na kukemea tabia za kishenzi na za kishamba

    Habari wana board! Huu ni uzi maalum wa kutaja tabia ambazo sio njema ambazo zipo miongoni mwa Jamii. Lengo la kuzitaja ni pamoja na kuzikemea ili wenye nazo wazikane kabisa. 1. Kufokonyoa pua mbele ya Halaiki (Nose picking). 2. Kutopokea simu eti kisa unapigiwa na namba ngeni. 3. Unakuta...
  9. Kaudunde Kautwange

    Je, yapi ni majukumu ya Waziri wa Ulinzi na JKT ukiachilia mbali yale ambayo ni general!?

    Habari wakuu... Nimekaa hapa najaribu kutafakari kwa kina sana, yapi hasa ni majukumu ya waziri wa ulinzi na JKT ukiachilia yake ambayo ni general kwa cheo cha waziri!?? Najua humu ndani kuna wajuvi wa mambo, na nitapata majibu mujarabu kabisa ya hoja yangu! Nauliza hivi kwa sababu za msingi...
  10. Kaudunde Kautwange

    Maswali fikirishi Juu ya ndege za abiria

    Habari waungwana! Nimekuwa nikijiuliza maswali haya Juu ya hizi ndege za abiria, naomba mwenye uelewa anisaidie: 1. Mechanism gani inafanya ndege ku float angani!? 2. Wakati ndege ikiwa inajiandaa kutua, kwa nini wale wahudumu uimiza kuwa abiria wafungue vioo/madirisha!? 3. Kwenye uwanja wa...
  11. Kaudunde Kautwange

    Watumishi wa Umma, inakuwaje wanavaa Sare za Chama?

    Habari wajuvi wa mambo!? Nimekuwa nikifuatilia sana kampeni za uchaguzi mwaka huu 2020, lakini kuna mambo kadha wa kadha yananitatiza kidogo, naomba kueleweshwa. 1. Wale watu wa usalama ambao huwa wanamlinda Rais sio watumishi wa Umma!? 2. Kama watumishi wa umma, inakuwaje wanavaa sare za...
  12. Kaudunde Kautwange

    Tujuzane bei ya Mahindi hapo ulipo, na trend kwa Mwaka huu 2020 kuelekea 2021

    Habari wakuu, Kama kichwa cha habari kinavyojielezea. Tujuzane bei ya mahindi kwa kipimo cha debe. Kwa mkoa wa Ruvuma, wilaya ya Namtumbo, bei ina range elfu 6 hadi elfu 7 mia 5. Je, huko kwenu bei ipoje, ili tuwekeze kwenye fursa! Karibuni!
  13. Kaudunde Kautwange

    Msaada wa haraka wa tatizo la meno

    Msaada waungwana, Meno yangu ya Juu upande mmoja yanakufa nganzi mara kwa mara, pia nina continuously backbone pain.. sina hakika sana kama kuna mahusiano. Shida yangu kwa anayejua tiba aisee.. tukianzia na haya meno. Update Wakuu... ila sio backbone wakati mwingine.. mara nyingi pia ni...
  14. Kaudunde Kautwange

    Computer4Sale Dell desktop ipo sokoni

    Habari! Nauza Dell Desktop: Processor: Duo HDD: 320GB RAM: 2GB Bei: 230,000 Tshs. Location: Kibaha, Picha ya Ndege Mawasiliano: 0752647796 Imetumika miezi miwili tuu, ina movies, nyimbo na mazaga zaga mengine! Karibuni sana! Sent using Jamii Forums mobile app
  15. Kaudunde Kautwange

    Msaada wa kutatua hili tatizo kwenye hii Sony Home theatre

    Habari wakuu, Nina Sony home theatre, hivi karibu iligoma kuonesha any signals pale mbele kwenye kidude cha ku display. Nikaipeleka kwa fundi, katika uchunguzi alisema kifaa ambacho nimeweka picha yake kimekufa, hivyo basi, msaada ninao ujitaji: 1. Je, naweza pata hicho kifaa...
  16. Kaudunde Kautwange

    Msaada wa kujua Jina au kuipata movie hii

    Habari wakuu!! Ni movie ya kitambo mno, na hata jina silikumbuki. Ni ya vijana fulani ambao wazee wao walikuwa wanajeshi, ikatokea mission wazee wote wakatekwa. Serikali ya nchi yao ikawa inafanya mchakato wa kwenda kuwaokoa kuwa mrefu mno, ikabidi hawa vijana waji organize waend kuwaokoa...
  17. Kaudunde Kautwange

    Pitia hapa, kama unapenda kufanya biashara mtandaoni (Drop shipping), na hatimaye tuwe na online store ya ukweli Tanzania

    Habari wadau! Hope mko poa kabisa, na kwa neema za Mungu tunatumai atatuvusha mwaka salama, kwa wale ambao ni wagonjwa na wenye shida mbalimbali, basi ni maombi yangu kwa Mungu wa Mbinguni akuponye na kukupatia wepesi kwa yale unayopitia. Teknolojia inakuwa kwa kasi sana, na kila siku mambo...
  18. Kaudunde Kautwange

    VodaCom MasterCard rekebisheni hii kasoro ya kiusalama

    Kwanza kabisa niwape pongezi VodaCom kwa kutuletea huduma ya MasterCard. Kwa kweli mmetukomboa. Lakini mbali na yote, suala la usalama hamjalizingatia kabisa! Ukiingia kwenye menu ya M PESA, chukulia tayari umesha create MasterCard yako, sasa ili kupata taarifa za card yako, baada ya kungia...
  19. Kaudunde Kautwange

    Msaada wa tatizo la simu yangu Samsung A10s

    Wakuu, habari! Nina simu tajwa hapo juu, ambayo nimenunua kama mwezi hivi umepita. Shida kuu ni ku stuck/freeze mara kwa mara, zaidi sana nikiwa naandika sms.. na wakati mwingine kioo kinakuwa kama kina tetemeka. Msaada kwa wajuvi.. UPDATE Leo ( 19 December) nilienda duka la Samsung...
  20. Kaudunde Kautwange

    Nahitaji simu, Nokia Asha 202

    Habari wakuu! Mwenye kujua kwa DSM wapi naweza pata simu aina ya Nokia Asha 202 anisaidie kunipa direction. Naipenda sana hii simu, ni ya zamani kidogo!
Back
Top Bottom