Msaada wa haraka wa tatizo la meno

Kaudunde Kautwange

JF-Expert Member
Nov 15, 2011
1,600
1,567
Msaada waungwana,

Meno yangu ya Juu upande mmoja yanakufa nganzi mara kwa mara, pia nina continuously backbone pain.. sina hakika sana kama kuna mahusiano.

Shida yangu kwa anayejua tiba aisee.. tukianzia na haya meno.

Update
Wakuu... ila sio backbone wakati mwingine.. mara nyingi pia ni maumivu ya mifupa ya mgongo... nilifanya sana vipimo.. na wakasema hawaoni tatizo.

Ilaanza ghafla sana, back those days nikiwa nasoma o level.

Niliamka asubuhi na kuanza ku experience haya maumivu ya mgongo.
 
Mkuu... ila sio backbone wakati wengine.. mara nyingi pia ni maumivu ya mifupa ya mgongo... nilifanya sana vipimo.. na wakasema hawaoni tatizo

Okay, kama siyo backbone sawa.

Lakini si vibaya ukafanya hicho kipimo, kama ukikuta uko negative, tafuta pia wataalamu wa lishe, unaweza kukuta ni ukosefu wa madini fulani mwilini.
 
Back
Top Bottom