Watumishi wa Umma, inakuwaje wanavaa Sare za Chama?

Kaudunde Kautwange

JF-Expert Member
Nov 15, 2011
1,276
2,000
Habari wajuvi wa mambo!?

Nimekuwa nikifuatilia sana kampeni za uchaguzi mwaka huu 2020, lakini kuna mambo kadha wa kadha yananitatiza kidogo, naomba kueleweshwa.

1. Wale watu wa usalama ambao huwa wanamlinda Rais sio watumishi wa Umma!?

2. Kama watumishi wa umma, inakuwaje wanavaa sare za chama (angalia video ya leo akiwa kwa Mama Sitta)!?

3. Je, ikitokea chama kingine kikashinda, huyu mtu wa usalama ambaye amevaa sare za chama ataaminiwa tena na Rais mwingine!?

Msaada Jamani
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom