Kaudunde Kautwange
JF-Expert Member
- Nov 15, 2011
- 1,695
- 1,771
Wakuu, habari!
Nina simu tajwa hapo juu, ambayo nimenunua kama mwezi hivi umepita.
Shida kuu ni ku stuck/freeze mara kwa mara, zaidi sana nikiwa naandika sms.. na wakati mwingine kioo kinakuwa kama kina tetemeka.
Msaada kwa wajuvi..
UPDATE
Leo ( 19 December) nilienda duka la Samsung, wameicheki, wamegundua tatizo ni Display, ila kwa sasa wameishiwa, zinakuja mwezi wa kwanz, hivyo wameniambia nirudi mwezi wa kwanza.
Na huduma ni bure kabisa, kwa kuwa bado ina warrant....
Sent using Jamii Forums mobile app