Kaudunde Kautwange
JF-Expert Member
- Nov 15, 2011
- 1,600
- 1,567
Habari waungwana!
Nimekuwa nikijiuliza maswali haya Juu ya hizi ndege za abiria, naomba mwenye uelewa anisaidie:
1. Mechanism gani inafanya ndege ku float angani!?
2. Wakati ndege ikiwa inajiandaa kutua, kwa nini wale wahudumu uimiza kuwa abiria wafungue vioo/madirisha!?
3. Kwenye uwanja wa ndege, kwa nini vitu kama perfume huwa wanazuia!? Achilia mbali hizi international flights, hata hizi local pia wanazuiya!
4. Kwa nini huwa inaamriwa kuwa simu zote zizimwe au ziwe kwenye flight mode??
5. Kwenye gari, ukiweka Jeki, tairi zikainuka ukivuta mafuta, yaani accelerator tairi zinazunguka, lakini kwenye ndege tairi zinaanza kuzunguka pale tu inapugusa njia yake, why yasianze kuzunguka ndege ingali Juu!???
Ahsante.. karibu wajuvi wa mambo!!
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app