Search results

  1. B

    Mwanamke yoyote aliye mpweke kama mimi tuungane na kupeana kampani

    Habari za jioni ndugu zangu, Nimeamua kuja hapa kueleza hisia zangu yawezekana kuna atakayeguswa na Mimi. Mimi Nina miaka Kati ya 30-36 naishi Dar es salaam, nimekuwa mpweke Kwa muda mpaka nimechoka sasa, naomba mwanamke yoyote aliye mpweke kama Mimi tuungane na kupeana kampani, umri wowote...
  2. B

    Biashara ya miwa

    Habari wakuuu, Mimi nauza miwa kutoka shamba moja Kwa moja, miwa mizuri kabisa Kwa matumizi ya juice na kutafuna. Pia naomba Kwa anayejua sehemu ya uhakika nayoweza kushusha mzigo nikauza Kwa juamla anisaidia Kwa hapa Dar es salaam. 0658644485 number yangu
  3. B

    Kuna Soko la pumba Moshi na Arusha?

    Habari za majukumu ndugu zangu, Naomba kufahamu na connection ya soko la pumba Kwa mikoa ya Arusha na Moshi. Ni pumba laini kabisa za maindi na mpunga Mimi na pumba ya kutosha nipo tabora. Mawasiliano zaidi 0658644485
  4. B

    Naomba kufahamu fursa za biashara zilizopo Ukerewe

    Habari za jioni Ndugu zangu, Naomba kufahamu fursa za biashara zilizopo Ukerewe, pia kama kuna mwenyewe hapa aliyepo kule naomba tuwasiliane, nimesikia kuna fursa nyingi za biashara maana hakuna Huduma nyingi saana mpaka usogee Mwanza kabisa!
  5. B

    Nahitaji Mwenza kwa ajili ya kuendelea na Maisha ya mahusiano, mapenzi mpaka ndoa

    Habari zenu ndugu zangu!!? Mimi ni mwanaume wa miaka 35 sasa, nimekuwa sipo katika mahusiano Kwa muda mrefu kiasi na sasa nahitaji nipate Mwenza Kwa ajili ya kuendelea na Maisha ya mahusiano, mapenzi mpaka ndoa. Natamani Sana nipate mtu sahihi ambaye tutapenda tutakuwa marafiki she is...
  6. B

    Nauza mziki wa gari full kabisa

    Habadi z majukumu, Nauza mziki wa gari full kabisa, busta Watts 1,3000 Speaker JBL Watts 1,200 (zipo mbili katika box moja) Equlaizer Vyote Kwa pamoja nauza 800,000 Unachukua na kufunga katika gari, ni mziki mkubwa saana unafaa hata katika coaster ama Escher na gari yoyote Mawasiliano...
  7. B

    Navuna matikiti hivi karibuni, dalali anayeweza kunipa connection anitafute

    Habari za wakati huu, Nategemea kuvuna matikiti yangu Jumamosi hii tarehe 7, naomba kama kuna muhitaji / Dalali au anayeweza kunipa connection ya kuuza naomba saana msaada wenu. Nimelima mkulanga, nategemea kuvuna 3.5tons na zaidi Mawasiliano 0658 644485
  8. B

    Naomba kujuzwa chimbo la vitambaa vya kushona

    Habari za muda huu, Naomba Kwa anayejua machimbo ha vitambaa Kwa bei nzuri ya Jumla na vijora! Vitambaa nataka nikauze nje ya mji na huwa Mita inakuwa 3,000 na 3,500 naomba anayejua wanapouza Kwa Jumla hapa dar na bei nzuri.
  9. B

    Looking for a partner

    Habari Ndugu, naomba niende moja Kwa moja kwenye point. Nimekuwa single Kwa muda mrefu Sana na nimejaribu kutafuta mahusiano Kwa muda mrefu kidogo(japo sijakazania saana) lakini naona kama sipati mtu sahihi na aliye seriously. Kwa sasa naomba kama kuna msichana, mdada ama Mwanamke yoyote aliye...
  10. B

    Ni wapi pa uhakika unazoweza kuagiza vitu used (electronics) za USA, UK na Dubai

    Habari wana jukwaa, Naomba msaada kwa anayejua site za kweli na uhakika unazoweza kuagiza vitu used (electronics) za usa,uk na dubai. Asanteni kwa muda wenu, naomba saana msaada huu
  11. B

    Mimi nitaoa 2021

    ..
  12. B

    Natafuta karanga/ndizi

    Habari ndugu zangu, Naomba kwa anayejua mkoa naoweza kupata karanga nzuri zile kubwa kubwa kidogo, sio hizi ndogo ndogo (wakulima / wauzaji wanajua) Pia, naomba kwa mtu anayeweza kujua zinakopatikana ndizi za kuiva zile ndogo ndogo. Karanga nataka zije Dar!! naombeni bei elekezi kwa kilo.
Back
Top Bottom